Sura 1

1 Ifuma kwa mmeku ienda kwa mfele mteule na vana vake,ambapo ngivakundi katika loli na nyaani ku, bali na wose waishi ukweli, 2 Kwa sababu ya ukweli ulifo mbaa ya motu ambayo yedumu na sue milele . 3 Neema rehema na amani sive na sue ifuma kwa ruva papa ifuma kwa yesu kristo, mwana wa papa katika loli na upendo. 5 Ngakunda sana kwamba ngamanya baadhi ya vana veenda katika uloli. Sha kundu tuleambilia amri ifuma kwa papa. 4 Na kahindi ngakusii vave, mfele, ni kwamba ngilikuandikia amri nashabali ni iyatuveli nayo tangu mwanso kwamba dhepaswa ikundana sue kwa suena hiwu niwo upendo,twepasua ienda nawo kulingana na amri sakwe. 6 Hii ni amri iya shakunda mleishwa ifuma mwanzo kwamba mwepaswa kwiisilia katiak iyo. 7 Kwa kuwa velemba vengi vakeri kila handu na vaemba yesu krito alesha katika mwili. Kwi ishu nive nelemba na imlea kristu. 8 Jisakulieniuveni ne mtanehepoteza vindo vila duleranyia kai lakini kwamba mwiidime iambulia tuzo kamili. 9 Wose vaende mbele vafundishe mafundisho ya kristu na ruva. Ishonedumu katika mafundisho nete papa na mwana pia. 10 Shamruu esha kwa monuu halafu etade lali mtanikaribishe katika mba za monu na mtamuidikire. 11 Kwa kfaa sho amdikira katika matendo mafishwa. 12 Mgeete mambo mengi ngevaandikia, na ngilekunda iandika katika ikaritasi la winoku lakini ngete matumaini isha kwa monu naiteta chamu kwa chamu kwamba furaha ya motu iidime irundwa kamili. 13 Vana va mshiki ya motu navaidikira.