Sura 7

1 Vapendwa vakwa, kwa kfa dure ahadi saasi, na dujitakase dumoni kwa kila jambo ambalo ledufanya dukava washafu katika mmbili sa modu na katika ngoo. Na duuse ngete utakatifu katika hofu ya Ruva. 2 Rundeni nafasi kwa ajili ya modu! Dulemkosea mndu mwoosa pyu ku. Dulemsuru mndu mwoosa pyu ku. Dulejinufaisha kwa faida ya mndu mwoosapyu ku. 3 Ngaamba lahali siyo kwa inaumu ku. Kwa kfa ngileamba kwamba mkeri mioyoni mwamodu, kwa modu swaaso ifa pamoja na ishi pamoja. 4 Ngire ujasiri mwingi ndani ya mwanu na ngejifuna kwa ajili ya mwanu. Ngijaiwe na faraja. Ngijaiwe na furaha hata katikati ya mateso amodu moosapyu. 5 Dulesha Makedonia, mmbili samodu sivere mapumsiko. Badala yakwe, dulekolia taabu kwa namna soosa kwa ikabwa vita upande wa sha na hofu upande kiidi. 6 Lakini Ruva,aledufariji kwa vala velekata tamaa dedufariji kwa isha kwa Tito. 7 Ileva kwa isha kwakwe tiki ku kwamba Ruva dedufariji na akdo. Ileva faraja sila sa Tito elesiambilia ifuma kwa modu. Ve eleduvia upendo mduve duutute, husuni samoni na shali mvere wasiwasi kwa ajili yakwa. Kwa akdo ngilesidi iva na furaha saidi. 8 Hata ingawa waraka wakwa ulevafanya isikitika, nyaani ngeujutia ku. Lakini ngeujutia wakati ngilelolia waraka shoosho ulevafanya nywaanyo muve na husuni . Lakino muverewe na husuni muda mfuhi. 9 Luvaha ngire furaha, shi kwa sababu mvere shida ku lakini kwa sababu husuni samwani silevaende katika toba. Mlekolwa na husuni ya kiruva, kwa ado mleteswa nanga kwa hasara ku ila kwa sababu yamodu. 10 Kwa kfa husuni ya kruva yehende toba ambayo yekamilisha wokofu bila iva na majuto. Husuni ya kidunia, hata ado, yehende mauti. 11 Lolieni husuni yahai ya kruva ilesalisha asma yonki?nduve kiidi yamwanu. Jinsi yonkiasma ileva nduve kiidi yamwanu ithibitisha kfa mvere hatia ku. Kwa jinsi choiki ushungu wamwanu uvekeri mduve, hofu yamwanu, matamanio yamwanu, bidii samwanu, na shauku yamwanu ilolia kwamba haki yepaswa itendeka! katika kila jambo mlesibitisha mumoni kutevere na hatia. 12 Ingawa ngilevaandikia nywaanyo, ngileandika kwa ajili ya ula elekosia ku, nanga kwa mndu eleteswa na maofu ku. Ngileandika ili kwamba udhati wa mioyo yamwanu kwa ajili yamodu irundwe imanike kwa monu mbele ya meso ya Ruva. 13 Ni kwa ajili yahai kwamba dwefarijika. Katika nyongesa ya faraja yamodu dumoni, hata dwekunda saidi sababu ya ikunda kwa Tito, kwa kfa ngoo yakwe ileburudishwa na nywaanyo nyoosapyu. 14 Kwa kfa shali ngilejifunia kwakwe ihusiana na nywaanyo, ngivere na aibu ku. Kinyume chakwe shali kila iteta duteliamba kwa mwanu livekeri loi, majifuno yamodu kuhusu nywaanyo kwa Toto yalesibitisha iva loi. 15 Upendo wakwe kwa ajili ya modu ni mduve saidi shali ekumbua utii wa mwanu nyoosapyu shali mlemkaribisha ve kwa hofu na itetemeka. 16 Ngekunda kwa sababu ngire ujasiri kamili ndani ya mwanu.