Sura 2

1 Kwa ado ngileamua nyaani sehemu yakwa ngimoni kwamba ngeshesha seku kwa mwani katika hali ya ushungu. 2 Kwa kfali ngilevasababishia nywaanyo maumivu ni veivi evenfurahisha nyaani, lakini ni ula amba ealeumishwa na nyaani? 3 Ngileandika shali ngilefanya ili kwamba wakati ngesha kwa mwanu ngitadime iumishwa na vala ambao veveva velenfanya ngikunde. Ngire ujasiri kuhusu nywaanyo voosapyu kwamba ikunda lakwa ni furaha yaaya mkeri nayo nywaanyo nyoosapyu. 4 Kwa kfali ngilevaandikia nywaanyo ifumana na mateso maduvu na siki za moyo, na kwa masoru meengi. Ngivekundiku ivasababishia nywaanyo maumifu ku. Badala yakwe ngivekundi mmanye upendo wa kina nyikeri nasho ni kwa ajili ya mwanu. 5 Kolia kure mndu mwoosapyu alesababisha maumifu, elesababisha kwakwa tikiku, lakini kwa kiwango fulani- bila ivikia ukali saidi - kwa mwanu voosapyu. 6 Yahai adhabu kwa mndu shwahashu kwa veengi yeshika. 7 Kwa ado luvaha badala ya adhabu mwepaswa mumsamehe na imfariji. Vikeni adi ili kwamba atadime ilemwa na huzuni iliyosidi. 8 Kwa ado ngivatia moyo ithibitisha upendo wa mwanu hasarani kwa ajili yakwe. 9 Yahai yo sababu ngileandika ili kwamba ngidime ivajaribu na imanya kwa kolia mwetii katika kila nndo. 10 Kolia mwemsamehe mwosapiyu na nyaani ngesamehe mndu sho. Kila ambacho ngilesamehe - kolia ngilesamehe choosapyu - kilesamehewa kwa faida ya mwanu katika uwepo wa Kristo. 11 Hii ni kwamba shetani atashe ikifyania madanganyo. Kfali swaaso duvajingaku kwa mipango yo yakwe. 12 Mlango ulefutiliwa kwakwa na Bwana ngishe mji wa Troa ihubiri injili ya Kristo hala. 13 Hata ado, ngivere amani ya moyo sababu ngilemkolia mwana ndiakwa Tito halaku. Ado ngilevata na iulia Makedonia. 14 Lakini Ruva ashukuriwe ambaye katika Kristo mara soosa iduongosa swaaso katika ushindi. Ihidia swaaso nisambasa harufu nsha ya maarifa yakwe sehemu soosa. 15 Kfali swaaso kwa Ruva ni harufu nsha ya Kristo voosapyu kati ya vala valeokolewa na kati ya vala veamgamia. 16 Kwa vandu ambao veangamia, ni harufu ifuma kifo hadi kifo. kwa vala viokolewa ni harufu nsha ifuma usima hadi usima. Ni ungau estahili findo fyaafi? 17 Kfali swaaso dukeri sha vandu veengi vekumba checha la Ruva kwa faida. Badala yakwe kwa usafi wa nia, dweikimba katika kristo shali dwedumwa ifuma kwa Ruva, mbele ya Ruva.