Sura 4

1 Hatimaye ndugu tuvaininge moyo naivasii kwa Yesu Kristu shamwaambilia maelekezo ifuma kwa modu namna yevaa ienda na impendeza Ruva kwa shia yohohoyo pia muenende na itenda zaidi. 2 Kwa kfa muishi ni maelezo ho maki ngilevaininga ihitia kwa Bwana Yesu. 3 Kwa kfa nikuto mapenzi yab Ruva utakaso wa monu kwamba mlekane na zinaa. 4 Kwamba kila umu naishi namna yemiliki mfele wakwe mweni katika utakatifu na heshima. 5 Utave na mvele kwa ajili ya tamaa ya mwili sha mtaifa etemmanya Ruva, 6 Atavee mruu wosapia erunduka mbaka na imkosea nduguye kwa ajili ya jambo lii kwa kfa Bwana niwe mweni eliba kisasi kwa mambo hose hia shakundu tuletangulia ivaonya na hishuudia. 7 Kwa kfa aletuamkua kwa uchafu. bali kwa utakatifu. 8 Kwa hiyo ishonelea yahaya elea vandu bali nemlea Ruva emninga Roho mtakatifu wakwe. 9 Kuhusu upendo wa ndugu kure haja ya mru mosee imwandikia mlefundiswa na Ruva ikundana nyue kwa nyue. 10 Hakika mlerunda hia yose kwa ndugu vali Makedonia yose lakini twavasii ndugu mrunde na zaidi. 11 Twavasii mtamani iishi maisha au utulivu ijali shuhuli za monu nairunda kazi kwa maoko amonu shakundu tulevafia. 12 Fanya iha iliuidime ienenda usha na kwa heshima kwa hivoo vali njaaya imani ili itapungue na hitaji losa. 13 Dukundi mmanye kitekiri sahihi enyi ndugu doka ye ivoo valele ili mtashe huzunike shaa vengi vetere uhakika kuhusu wakati wesha. 14 Kama tweamini Yesu alefaa na ifufuka se kutokuto Ruva atavale pamoja na Yesu naivo valele mauti katika vee. 15 Kwa ajili ya hiyo tulivavia nyue kwa neno Bwana kwamba sue tuli hai Tuve voo wakati nesha kwake bwana hakika twevatangulia vayavalele mauti. 16 Kwa kfa Bwana mweni nesoka ifuma mawinguni nesha na sauti kuu pamoja nasauti za malaika mkuu pamoja na parapanda ya Ruva naivo valefa katika Kristu va fufuke kwanza. 17 Kisha sue dulihai dulebaki tuungane katika mawingu pamoja na foo imlakii Bwana hewani kwa njia hii hoii twevaa na Bwana mfiri sose. 18 Kwa hiyo mfarijiane nyue kwa nyue kwa mateta yahaya