Chamu 1

1 Simoni Petro, mndu atumwa na mndu mtue Yesu , kwa vandu vaya valeishwa kindo kia cha loli kishaa vakakiiria sha sue. kundu sue tuleviiria, kindo kishia tulinacho kwa uloli wa Aba na mwokozi wa motu Yesu Kristo. 2 Kindo kisha cha bure kivee kwa mwanu, utaboruu uvee wingi kwa mwanu ihitia kwa Kristo wa motu. 3 Kwa ihitia usha wa ma Aba tulekolea findo fishia fose piu kwa ienda undusha kimaisha, Iduka kwa Aba aletuamkua idukana na utue wakwee. 4 Kwa kuto kwa iendelea mko wohowo aletuvia mateta madomari mashia sana; Alitufanya kuto na sue tuve vandu va ma Aba, iduka vo kira, sha kundu tulienda tuletaa uvishwa wa uruka-u 5 Kwa ikihoki lee, rundeni kwa undusha na iongeraa kindo kishaa sha kundu mweenda, kwakuto usha, na maarifa. 6 Ihitia ienda undusha, kididi, na ihitia kididi ivetaa, na ihitia ivetaa, ngoo njewa iduka kwa Aba. 7 Ihitia ngoo njewa yevakunda vanamayo na ihitia ikunda vanamayo, uvakunde 8 Kwa kolea findo fo hofo filiifo kwa mwanu, alienda eng'ana fo kwa mwanu, kwakuto mweidima ivaa kindo kiteata kwii, au kiteduwa maberere katika ushia wa ma Aba wa motu na Yesu Kristo. 9 Kwa kuto mndu wose atamevaana aahoa, nievaa ni elolea akaribu tiki, fe mndusho na ruma meso, atekwa shakundu valemsambia sambi sakwe sa kira. 10 Kwa kuto vana mayakwa, rundeni undusha kwacho valekua shikieni na ikudueni na ikuamkweni kwa usha wa mwanu. Temwetunywa mkarunda iyahoa. 11 Kwa kuto ningekolea iheko isha le hita kwa utue wa ma Aba mfiri sose Aba wa motu na mwokozi Yesu Kristo. 12 Kwa kuto ini ngili undusha nje kukumbureni matetaa masaa ose, hara kwa kolea muaishi, na kahindi mmedoma katika loli. 13 Ngafikiria lee njili undusha ivaamsa na ivakumbura doka ya mateta ahoa, ngilali kunu kaa kwa mwanu. 14 Kwa kuto njiishi mfiri wose njiliukia ha kwa mwanu, shakundu Aba Yesu Kristo alengirora. 15 Ngembirikana na nyuee kwa bidii iduka na ngavieni namu ini njiliukia. 16 Kwa kuto sue tulefuata wenu wa mboru, uledederwa ili tuvaindele au tuvavie mateta a ngaro na ijirora kwa Bwana Yesu Kristo, kwa kuto sue tulelolea ushaa- wemetameta na heshima yaduka kwa Aba. 17 Vee aleiria usha wemetameta na utaboru iduka kwa Aba handu haya usha wemetameta uledua sauti ndue yeamba, '' Ishu hoshu ni mwana wakwa njimkundi kwa kuto nani nja mkunda''. 18 Tuleishua ngululu yeduka kwa Aba saasia haya doka mlimeni tuli vose nafe haya kidong'eni kisha cha ma Aba. 19 Sue turile itelali vatukimbia lililaloli, kwa kuto mwenda undusha mkalishenera. Nishe koroboi yeaka mlemeni hadi mjirore sha nyenyeri ya kang'ama ilolekane fo ngooni kwa mwanu. 20 Manyeni iya hoa le, tekwete mkimbi ajikimbie mweni. 21 Kwa kuto tekwete mkimbi alesha kwa ikunda, lakwe kwa chochote sue tuleiningwa na ngoo ng'ishaa ya ma Aba aleiamba iduka kwakwe.