1 Kwa yeneyo shelia ni chiwili cha mabo gamboni gagavili,si galayaliyo halisi.shelia kamwa jiweza jeka kukamilisha wala ambao vavambaliki chapanga kwa ndila ya dhambi yela yela ambayo makuani vajendilile kuwoa mwaka baada ja mwaka. 2 Au yenginevyo dhabiu hajeje ngawezitijeka kukoma kutolewa? kwa kigezo hicho waabuduo,vakavaye vajoite mala jimonga.ngavavili na kumanya zaidi wala dhambi. 3 Bali katika dhambi yeneyo kuna kumbusho wa dhambi itendike mwaka baada ja mwaka. 4 Kwa kuvega haiwezikani kwa miyai ya mafaali na mbui kuwoa dhambi. 5 Wakati kristu paikiti pachilambo,alongile,"mwanogileyeka matoleo au dhabiu,badala yake tatailishe yega kwa ajili yangu. 6 Mwavilenayo na thamani katika matoleo goka ya kutekeleza au dhabiu kwa ajili ya dhambi. 7 Kisha alongile,"Nnole pambano nateite mapenzi gako,chapanga,ngati chavayandike kuhusu nenga katika gombo," 8 Alongile ngati chilongeleka kulongela pambano panane:"mwanogile yeka dhabiu, matokeo, au sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya dhambi,wala njeta kuhengwa mkati yake"dhabiu ambazo vawoa kulengana na shelia. 9 Kisha alongile,"nnolai mile pambano kuhenga mapenzi yako"avekite palupenja polepole chivile za kwaza ili kuhimalisha yela ya pili. 10 Katika talatibu ya pili,vatitengwite kwa chapanga kwa mapenzi yake kupitia kuliwoa kwa yega ya yesu kristu mala jimonga kwa nyakati yoka. 11 Nikweli kila kuhani ajema kwa huduma siku kwa siku ngatiawoite dhabiu yela yela,ambayo kwa yoyoka,kamwe ngawezikini jeka kuhiwoa dhambi. 12 Lakini baada ya kristu kuwoa dhabiu mala jimonga kwa dhambi milele yoka,ataite chiwoko cha kulome wa chapanga. 13 Alendai mpaka vafitina vake vavalekelai pai na kuvatenda chiti kwa ajili ya magendelu gake. 14 Kwa kuvega kwa ndila ya toleo limonga avamalishe milele vala ambao avatengite kwa chapanga. 15 Na roho mtakatifu pia ashuhudie kwitu.kwa kuvega kwanza kulongela. 16 Alele ni agano chinalitendaye pamonga nao baada ya siku hizo alongela Bambo:chimekaye shelia yangu mkati ya mitima yao na chinaiyandikaye katika malango. 17 Kisha alongela,"chavakumbuka tena dhambi na matendu yao mafu." 18 Yenu mahali papavile na msamaha kwa hawa,njeta kavena dhabiu yoyoka kwa ajili ya dhambi. 19 Kwa henu, nnongo, tivinao ujasili wa kujingila mahali patakatifu zaidi kwa miyai ya yesu. 20 Jeneyo ni ndila ambayo adwindite kwa ajili hitu kwa ndila ya yega wake,wampya na hai jipitila kwenye pazia. 21 Na kwa sababu tunayo kuhani nkolongwa panane ya nyumba ya chapanga. 22 Na tamandakiyaye na ntima wa kweli katia utiifu wa uhakika wa imani takavai na mitima inyunyuzele safi kuwoka na yega hitu jajogie kwa machi safi. 23 Basi na tukamwilikaye kwa utabili katika ungano la ujasili wa tumainilitu,bila ya kugeuka kwa sababu chapanga ahaidi ni mwaminifu. 24 Na zaidi kutafakali namna ya kumtia mtima kila mmonga na matendu gambone. 25 Na tukokuleka kukusanyika pamonga,ngati chavatenda vangi.Badala yake kutiana mtima kila mmonga zaidi na zaidi ngati chinola siku ikalibia. 26 Ngati tuteile makusudi kujendelea kutenda dhambi baada ya kuvega tupokile elimu ya ukweli dhabiu jenge ya dhambi haisali kavena. 27 Baadala yake,livile lalajio pekee la hukumu ya kutisha na ukali wa moto ambao utawateketezwa maaduhi wa chapanga. 28 Yeyoka ambaye akanite shelia ya musa chawege bila lehema palongolo ya ushuhuda wa mashaidi vavena au vadatu. 29 chiwango gani zaidi cha adhabu mfikili kinamsitahili kila mmonga ambaye azaliwe mwana wa chapanga,jwajoka jola jwaitendie miyai ya agano ngati chindu changavega ivile vavekite wakfu kwa chapanga-yoyoka ambaye anigite roho wa neema. 30 Kwakuwa tumanya mmonga tumanya mmonga ambaye alongile,"kiasi ni changu, chinepai,"Na kavena, "Bambo hatahukumu vandu vake'. 31 Ni jambo la kujogopa mundu kuwega katika mawoko ya chapanga jwavile hai. 32 Lakini mkombokaye siku ipetite baada ya kukemela kwinu nuru,ni jasili gani mliweza kuvumilia maumivu gakali. 33 Mwavile mmekite wazi katika dhiaka ya maligo na mateso,na mavile va shiliki pamonga na vala vavapitile mateso ngati genega. 34 Kwa kuvega mavile na ntima wa huluma kwa venava vavavile wafungwa, na vapokile kwa kuengwa adhabu ya utii winu ngatikite kwamba mwangola mwenga mavene kudumu milele. 35 Kwa heneyo nkotakutaga ujasili winu,chuvile na zawadi jikibwa. 36 Kwa kuvega mpala uvumilivu,ili kwamba mpatae kupokela ambacho chapanga achiaidi baada ya kuvega magateile mapenzi gaki. 37 Kwa kuvega baada ya chitambo kidogo,mmonga ya kuvega chichiike hakika na chakawiaye. 38 Jwavile na haki yangu chatamaye kwa imani.ngati chavuyaye panyuma,chiyengwai yeka najwene. 39 Lakini twenga si ngati vala vavavuya panyuma kwa kuangamia badala yake twenga ni imani ya kuilenda roho hitu.