Sura 5

1 Kwa yeneyo mmavai vandu wa kufata Chapanga, ngati vna veki vavapalai. 2 Genda katika pendo, yela ngati kirisitu chatupalite twenga, aliwoite jwene kwa ajili hitu. Jwene avile sadaka na dhabiu, kuvega alufu jizuri ya kufulaisha Chapanga. 3 Zinaa au uhakwa wowoka na tamaa mbaya lazima nkotakuitaja kati hinu ngati chitakiwa kwa vavaamini. 4 Wala kuchukilana nkotakutaja,mazungumzo ya kijinga,au au misaha ya uzalilishaji,ambayo siyo sawa,badala yake avai shukulani. 5 Mwenga kutenda na uhakika ya kwamba kuna zinaa, huakwa, wala kunogela jonoyo nahabudu sanamu njeta ulithi wowoka katika ufalme wa kirisitu na Chapanga. 6 Mundu yoyoka akokukonga kwa malowi gangali chindu,kwa sababu ya mambo genaye hasila ya chapanga ihika panane ya wana vangatii. 7 Yeneyo nkokushiliki pamonga nao. 8 Kwa kuvega mavene mwanzo mavile luvindu, lakini henu mmile nulu katika Bambo. Yeneyo gendelai ngati vana wa nulu. 9 Kwa kuvega matunda ya nulu gajumulisha uzuli woka.haki na ukweli. 10 Nnondai chela chichivile chafulaisha kwa Bambo. 11 Nkotakuvega ushilika katika maengu ya gizayangavega na matunda,badala yake mmekaye wazi. 12 Kwa sababu mambo gagatendeka na vene kusili ni honi sana hata akalongile. 13 Mambo goka chavayayekula na nulu,kuwega wazi. 14 Kwa kuvega kila chindu chayekwili chivega nuluni,yeneyo valongela naha, ''njumuke vala vavagonite na jinuke kwoka wafu na kirisitu changayai panane hinu." 15 Yeneyo mmaye makini jinsi pigenda sio ngati vandu wasio valevi bali ngati valevi. 16 Mukomboe mundu kwa kuvega siku ni za huovu. 17 Nkotakuvega vajinga, badala yake, mmanyaye mini mapenzi ya Bambo. 18 Nkokulewa kwa ugembe, kulongololela kuvile uhalibifu baadala yake tujwanzwaye na Ntima mtakatifu. 19 Nnongilaye na kila mmonga winu kwa zabuli na sifa, na nyimbo za muntima. Jembaye na sifa ye kwa ntima kwa Bambo. 20 Daima mmohai shukurani kwa mambo goka katika lihina la kristu yesu Bambo witu kwa Chapanga Tati. 21 Mwijiwoaye mwaveni kila mmonga kwa yonge kwa heshima ya kirisitu. 22 Mwakambomba,muwohai kwa vagosi vinu ngati kwa Bambo. 23 Kwa sababu mnalome ni mutu wa mmbomba, ngati kirisitu chavile mutu wa kanisa ni mwokozi wa yega. 24 Lakini ngati kanisa lilivile pai ya kirisitu, hela hela mmekai lazima vavatendaye heneyo kwa vagosi vao katika kila jambo. 25 Vagosi mwavapalai vadala vinu ngati jola kirisitu chalipalite kanisa na aliwoite jwene kwa ajili yake. 26 Ateite heneyo ili avai takatifu.Alilita kanisa kwa kulichapa na machi katika lilowi. 27 Ateile heneyo ili kwamba awesaye kuwajiwasilisha jwene kanisa tukufu pangavega na doa wa waa au chindu chichilandana na agaga badala yake ni takatifu jangavega na kosa. 28 Kwa ndila jela, vagosi vatakiwa kuvapala vadala ngati yega yao. Jola jwampala mmbomba wake alipala jwene. 29 Njeta hata mmonga jwachukila yega yake. Badala jake, huurutubisha na kuupenda, ngati kirisitu pia alipendite kanisa. 30 Kwa kuvega twenga ni washiliki wa yega hitu. 31 Kwa sababu ajeje vagosi vaneka tati wake na nyongowake na chaunganaye na mmomba wake na vanayo vavena chavavegaye yega jimonga. 32 Awowo vawile vaihite lakini nongela kuhusu kirisitu na kanisa. 33 Wakati kila mmonga winu lazima ampai mmbomba lazima muheshimu mgosi winu.