Sura 1

1 Paulo,mtume va Yesu kirisitu kwa mapenzi ga Chapanga kwa vavatengwite kwa ajili ja Chapanga vavatii efeso na mbao ni vaaminifu katika kirisitu Yesu. 2 Neema ivya kwinu na amani jiihuma kwa Chapanga Atati jwitu na Bambo Yesu Kirisitu. 3 Chapanga na Atati va Bambo witu Yesu kirisitu apewa sifa. Ni jwene jwakubarika kwa kila baraka za kimtima, katika pahali pa chilambo mkati ja kirisitu. 4 Kabra ja kuwumba chilambo,chapanga atuhagwile twenga ambau tutuamini katika kirisitu.atuhagwile twenga ili tuweza kuvya vatakatifu na twangalaumwa palongolo jaki. 5 Katika lipendo Chapanga atuhagwie pamwanzo kwa kututwaite ngati vana vao kwa ndela ja Yesu kirisitu. Agahengite gena kwa sababu gampendizwi kuhenga chela chatamine. 6 Matokeo gaki ni kwamba chapanga atutukuza kwa neema ja utukufu waki.chekie ndicho cha tupekie bule kwa ndela ja mpendwa waki. 7 Kwa kuvya katika mpendwa waki, tuvinaukombozi kupetela damu yaki,msamaha ja dhambi. Tuvinaku alee kwa sababu ja utajili va neema yaki. 8 Ahengite neema kuvya jahele kwa ajili jitu katika hekima na kulimanyalila. 9 Chapanga ahengite imanyikanae kwitu jela kweli ijijoviye ja mpango, kuvokana nahamu jaji hirishi mkati ja kirisitu. 10 Vakati nyakati zitime kwa utimilifu va mpango waki, Chapanga chaviveka pamonga kila chindu cha mbinguni na cha panane pa chilambo mkati ja Kirisitu. 11 Katika kirisitu twavile tuhaguliwe na kusudi wa kabra ja vakati.aje javile ni kuhokana na mpango va jwahenga hindu vyoha kwa kusudi lya mapenzi gake. 12 Chapanga ahengite genaga ili kwamba tuweze ya kuvya kwa sifa utukufu waki.twavile va kwanza kuvya na ujasili mkati ja kirisitu. 13 Javile kwa ndela ja kirisitu kwamba mwajowine lilovi lya kweli, injili ja wokovu winu kwa ndela ja kirisitu. Javile katika jwene pia kwamba muhamini na kupenga muhuri na Ntima mtakatifu jwahaidiwa. 14 Ntima ndo ndiwo dhamana ja urithi witu mpaka umiliki pachapatikanai. Haje javile ni kwa sifa ja utukufu waki. 15 Kwa sababu aje, tangu vakati panajoanae kuhusu imani yinu mkati ja Bambo Yesu na kuhusu lipendu linu kwa vale voha ambau vava tengwite kwa ajili jaki. 16 Nekitijeka kunshukuru Chapanga kwa ajili yinu na kwa longela katika mawombi gangu. 17 Nahombite kwa Chapanga va Bambo witu Yesu kirisitu, atati va utukufu, chapekee ntima jahekima,mafunuo ga ufahamu waki. 18 Nahombite kwamba miho gino ga kuntima galekee nuru kwa mwangota mwenga kumanya ni wa ujasili va kukemelwa kwinu.cnahombite kwamba mumanya utajili vautukufu va urithi waki mimiongoni mwa vale vavatengwite kwa ajili yaki. 19 Nahombite kwamba mmanya ukwuzidi va makili gaki mkati yitu ambau tugahamini. Hago ukuu ni kuokana na kuhenga mahengu katika makili gaki. 20 Gena ni makili gagahengite mahengo mkati ja kristu wakati Chapanga pamfufuaje kuhuma kwa wafu na kuntamika katika luwoko lwaki va kulelela katika pahali pa chilambo. 21 Antamike kristu panan mbali na utawala mamlaka,mkilli,enzi na kila lihina lililogelwa. Antamike Yesu si tu kwa wakatago lakini kwa wakati uhika pia. 22 Chapanga avitiishi hindu vyoha pai pamagologa kristu.anhengite jwene mutu pananepa hindu vyoti katika kanisa. 23 Ni kanisa kwamba ndo yega yaki, ukamilifu waki ambayo utwilea hindu vyoha katika ndela zoha.