1 Enu katika likanisa la Antiokia, pavile na baadhi ya manabii na walimu. Wavile Barnaba, Simeoni (jwavakemile Nigeri).Lukio wa kirene, manaeni (nnongo asiye wa mihai wa Herode kiongozi wa mkoa), na Sauli. 2 Pavavile vaabudu Bambo na kutava, Ntima mtakatifu alongile, "Niteengeeni papembeni Barnaba na Sauli, vatende maengao ganavakemile." 3 Baada ja kanisa kudinda, kuwomba, na kuveka mavoko gao kunani ja vandu havava, vakavaleka vajaule. 4 Kwa hiyo Barnabas na Sauli vatiite Ntima mtakatifu na haelile kujaula Seleukia; kuuma kweneko vasafili kubahari kuelekea kisiwa cha Kipro. 5 Pavavile katika muchi va Salami, vatangize lilovi la Chapanga katika katika masinagogi ja Vayahudi. Pia vavile pamonga na Yohana Marko ngati msaidizi vao. 6 Pavajawile katka kisiwa choka mpaka Pafo, vakolile mundu fulani mhavi, Myahudi nabii wa hunami, ambaye lihina lake lavile Bar Yesu. 7 Havi ajojo ashirikiine na Liwali Sergino Paulus, jwavile mundu juna malango. Mundu hajojo avalalike Barnaba na Sauli, kwa sababu apalaye kujoana lilovi la Chapanga. 8 Lakini Elima "jola mhavi" (hivyo ndivyo liina lake lilivyo tafsiriwa) avamenyite; halengite kungeuza jola liwali javawoke kwenye imani. 9 Lakini Sauli jwavakemile Paulo, avile atwelile na Ntima mtakatifu, akakazila mio. 10 Na akalongela "Ewe mwana wa ibilisi, umejazwa na aina yoka za kukonga na udhaifu. Mwenga ni adui wa kila aina ja haki. Hautakoma kuigeuza ndila za Bambo, hiyanyokite, je chaweze? 11 Henu mnole, mawoko va Bambo uvile kunani jake, na chivege chipofu. Haliwonejeka lyuva kwa muda" mara moja ukungu na livendo lagwile kunani ja Elimas; awazite kutindila pala akawomba vandu wamwongoze kwa kukamula luwoko. 12 Baada ja liwali kulola chichakopokile haamini, kwa sababu alishangazwa kwa mafundisho kuhusu Bambo. 13 Henu Paulo na waganja vake vajawile mumachi kuuma Pafo na vakaika Parge katika Pamfilia. Lakini Yohana akavaleka na kuwuya Yerusalemu. 14 Paulo na mganja wake vasafili kuuma Perge na vakaika Antiokia ja Pasidia. Kwene vajawile katika sinagogi licho va ja Sabato na kutama pai. 15 Baada ja kusoma sheria na manabii, viongozi va sinagogi avatumile ujumbe vakalongela, "Valongo, ngati mna ujumbe kulekela ntima vandu bahapa, mnongele" 16 Kwa yeneyo Paulo ajemite na kuvapungila mawoko; akalongela, "Vagosi va Israeli na enyi mnao mtii Chapanga, mjoenele. 17 Chapanga wa havava vandu va Israeli avaagwile tate witu na kuvatenda vandu vamaena pavatamite katika chilambo misri, na kwa luwoko lwake kuinuliwa avalogwie kunja kwake. 18 Kwa miaka arobaini avavumilie katika lijangwa. 19 Baada ja kujaharibu mataifa saba katika chilambo ja kaanani, avapekie vandu vake chilambo urithi. 20 Matukio gena yoka gakopokile zaidi ja miaka mia nane na hamsini. Baada ja hindo haehe yoa, Chapanga avapekie maamuzi mpaka Samweli Nabii. 21 Baada ja hagaga, vandu vajopite mfalme, yeneyo Chapanga avapekie Sauli mwana kishi, mundu va kabila la Benjamini, kuvega mfalme kwa miaka alubaini. 22 Kisha baada ja Chapanga kumoa katika ufalme, anyakwite Daudi kuvega mfalme wao. Yavile ni kuhusu Daudi kwamba Chapanga alongile, 'Napatite Daudi mwana wa Yese kuwa mundu jwapendezwe na ntima wangu; ambaye ahengite kila chindu chachipala.' 23 Kuwoka kwenye lukolo va vandu ajojo Chapanga ailetile Israeli mkombozi, Yesu, ngati chaaidi kutenda. 24 Hili aweze kukopokela, kabla ja Yesu kuhika, Yohana kwanza atangize ubatizo wa toba kwa vandu woa wa Israeli. 25 Naye Yohana paavile ayomolekea liengu lake, alongile, 'muolela nengani ndava yakyani? nenga si yola. Lakini njonele, ajaye kunyuma jangu, sisitahili kulegeza ilatu vya magendelu gake.' 26 Valongo, vana wa lukolo wa Abrahamu, na vale ambao kati yino mnamwabudu Chapanga, ni kwa ajili yetu kwamba ujumbe huu wa ukombozi umetumwa. 27 Kwavala waishio Yerusalemu, watawala wao, hawakumtambua kwa uhalisia, na wala ambao husomwa kila sababto; kwa hiyo walitimiliza ujumbe va manabii kwa kumhukumu kifo Yesu. 28 Japokuwa vapatiteyeka sababu yahamboni kwa kifo munkati jake, vanjupite Pilato ankome. 29 Pavajomwile mambo goa gagajandikwe kuhusu yeye, vanhuluye kuwoka mtini na kumgoneka mulikabuli. 30 Lakini Chapanga alimfufua kuwoka wafu. 31 Awonekine kwa machova gamaena kwa vala vavajawile pamonga naye kuwoka Galilaya kuelekea Yerusalemu. Vandu havava henu ni mashaidi va vandu. 32 Yeneyo tannetela habari njema kuhusu ahadi yavaoewite vaokulu yitu. 33 Chapanga avekite ahadi hayeye kwetu, vana vao, katika halolo alimfufua Yesu na kummujia kavena uhai. Hili pia lilia ndikwa katika Zaburi yapili: 'Mwenga ni Mwanangu, leleno nimekuwa Tati wino' 34 Pia kuhusu ukweli ni kwamba alimfufua kuwoka wafu ili kwamba yega yake ukota kualibika, alongile naa: chinampekee utakatifu na baraka halisi za Daudi' 35 Hii ndio sababu alongile pia katika zaburi yenge, 'Haturuhusu mtakatifu wino kuuwona uzao.' 36 Kwa kuwa baada ya Daudi kutumikia mapenzi ya Chapanga katika chizazi chake, agolwike apangwite pamonga na tati zake, na auwene uharibifu. 37 Lakini aliyefufuliwa na Chapanga auwene yeka uharibifu. 38 Hivyo na ifahamike kwino, valongo, kupetela mundu hayoyo, msamaha wa dhambi umehubiriwa. 39 Kwa yeye kila aamniye anahesabiwa haki na mambo goa ambayo sheria ya Musa isingewapitia haki. 40 Hivyo basi kuweni waangalifu kwamba chindu chavachilongalile manabii chikota kuwokela kwino: 41 Nnole, enyi mnaodharau, na mkashangae na mkaangamie; kwa vile nahenga maengu katika machova gino, maengo ambayo hamwezi yeka kuamini, hata ngati mundu chanhelekee.'' 42 Wakati Paulo na Barnaba pavavokite, vandu vavajopite varongele malovi hagaga lichova la Sabato ijayo. 43 Wakati mkutano wa sinagogi paujomwike, Vayahudi vamaena na waongofu thabiti waliwafuata Paulo na Barnaba, ambao valongile navo na waliwahimiza waendelee katika neema ya Chapanga. 44 Sabato iliyo fuata, karibu muchi mzima wakusanyike kujoonela lilovi la Chapanga. 45 Wayahudi walipoona makutano, walijawa na wiu na kulongela malovi gavabulite hindu yavalongile na Paulo na vannigite. 46 Lakini Paulo na Barnaba valongile kwa ujasiri na kulongela, ''yavile ni muhimu kwamba lilovi la Chapanga lilongeleke kwanza kwino. kwa kuwa mulikangila kutali kuwoka kwino na kujiwona kuwa hamkustaili wome wa milele, nnolee chitu ngeukile mataifa. 47 Ngati ambayo Bambo ametuamuru, akilongela, 'Nimewaweka mwanguta ngati nuru kwa vandu wa mataifa, kwamba mlete wokovu kwa pande yoa za dunia.'' 48 Mataifa pavajoine halele, walifurahi na kulisifu lilovi la Bambo. Vamaena vavaaguliwe kwa wome wa milele waliamini. 49 Lilovi la Bambo laenie chilambo yoa. 50 Lakini Vayaudi wahuwasihi waliojitoa na vadala muhimu, pia na viongozi wa muchi. Hagaga yalichochea matesu dhidi ja Paulo na Barnaba na waliwatupa kunja ja mipaka ya mji. 51 Lakini Paulo na Barnaba walikung'uta lububu ya magendelu gao. kisha vajawile kwenye muchi wa Ikonia. 52 Na Vanafunzi yatwelile furaha pamonga na Ntima mtakatifu.