1 Ayeye ndiyo mundu atuhesabu tenga, Ngati vatumishi va kiristu na mawakili wa siri za chakaka za Chapanga. 2 Katika hili, chachitakiwa kwa uwakili ni kwamba vawege vakutumainiwa. 3 Lakii kwangu nenga ni chindu chidogo sana kuwa nina hukumiwa na mwangotamwenga au hukumu ya chibinadamu. Kwa kuwa si jiukumu hata nenga na mwete. 4 Najihukumu yeka nenga namwete,hayeye haina maana kuwa nenga ni nakola haki.Ni Bambo jwa anihukumu. 5 Kwa yeneyo,nkota kulongela hukumu kunani loloka kabra ya vakati,kabra ya kuika kwa Bambo. Chaagalete nuru mambo gaga fichike muluvendo na kuyekula namele ya mitima.Ndipo kila mmonga chaapokele sifa jake kuwoka kwa chapanga. 6 Henu, kaka na dada vangu, nenga na mwete na Apolo ndumile kanuni ayeye ndanyinu.Ili kwamba kuwoka kwitu nwesakulijigana namna ya kulongela, "nkotakujaula zaidi ya chachijandikiwe, "hayeye ni kwamba njeta mmonga wino jwa akeka kunani ya jongi. 7 Maana ni vani jwavona tofauti kati jino na jongi? Ni kwamba mminacho?kupokela waka? ngati mpokile waka,ndava kyani mmeka ngati mwateile yeka yeneyo? 8 Tayali mminayoa ambayo ngampalite! Tayali mminautajili! ntumbwele kutawala, na kwamba mmiliki zaidi nyitu tengakweli nantakila kumiliki mwema ili kwa mba tumiliki pamonga na mwangota mwenga. 9 Kwa yeneyo hambuka Chapanga atuvekite tenga mitume ngati kutulangia wa mwisho katika musitari wa maandamano na ngati vandu vavaukumiwe kunkoma. Tuvile ngati tamasha kwa ulimwengu, kwa malaika na kwa vanadamu. 10 Tenga ni vajinga kwa ajili ya kristu,lakini mwangota mwenga ni wenye hekima katika kirisitu. Tu wanyonge, lakini mwangota mwenga mnamakili. Mnaheshimiwa, lakini jenga tuzalauliwa. 11 Hata saa hii tuna njala na njota hatuna ngowo, tuvinayo mapigo,na kavena maengu. 12 Tuenga maengu kwa bidii, kwa mavoko gitutavene. Pavatuzalau twabaliki wakati patuteswa,twavumilia. 13 Pavatuliga tuvujikia kwa upole. Tukolite, na tutakona yuesabiwa kuwa ngati kukanaliwa na chilambo na takataka kwa mambo goa. 14 Nyandi yeka mambo hagaga kuvaibisha mwangota mwenga, lakini kuwarudi mwangota mwenga ngati vana vangu vanivapala. 15 Hata ngati mna valimu makumi elfu katika kirisitu, njeta Tate vamaena.kuwangolite Tate wino katika Yesu kirisitu kupetela injili. 16 Hivyo nansihi munjige nenga. 17 Hiyo ndiyo sababu nantumite kwino Timotheo, mpendwa vangu na mwana mwaminifu katika Bambo. chankomboshe ndela yangu katika kirisitu, ngati chanamfundisha kila mahali na kila kanisa. 18 Enu baadhi nyinu vajisifu, vakiengakana kwamba chinkeyeka kwino. 19 Lakini chihike kwino kitambo,ngati Bambo ana apalile ndipo chimanye si malovi gaotu vavajisifu lakini chimone makili gao. 20 Kwa kuwa ufalme wa chapanga hauwi katika maneno bali katika makili. 21 Mpala kyani? niike kwino na yatu au kwa upendo nakatika ntima yaupole?