Kihongi 1

1 Paulo mtumishi wa yesu kristo wakamkemili kunyeha mtume wa kutengwa kwa ajili yalujili ya sapanga. 2 Eye ndio lijili yaka haidi zamani kupetera manabii waki katika maandiko matakatifu. . 3 Ni kuhuma mwana waki ywawowiki kuhuma rukoro rwa Daudi kwa jinsi ya mmeri 4 Yweni alitangazwa kwa mwana wa chapanga kwa likakala lya Roho ya utakatifu kwa ufufuo wa wafu yesu kristo Banbu witu. 5 Kupetera yweni tupoki neema na utume kwa utii wa imani kati ya mataifa ghoha, kwaajili ya lihina lyaki. 6 Kati ya mataifa agha mwengapia mmedwa kuwa wa yesu kristo . 7 Barua eye ni kwa woha wawavihi Rumi wapendwao na chapanga wawakemiti kuwa wandu watakatifu. Neema na iwe kwinu na amani kuhuma kwa chapanga yati winu Bambu yesu kristo. 8 Kwanza ni ushukuru chapanga wangu katika yesu kristo kwa ajili yinu mawoha kwa sababu kwa sababu imani yinu ihubiriwa katika dunia uzima. 9 Kwa maana chapanga ni shahidi wangu ambaye wintu mwikia kwa roho yangu katika injili ya mwana waki jinsi pinirama katika kuwataja. 10 Daima niyupa katika sala zangu kwamba kwa ndera yoyote mbati mwishowe kuwa na matanikio hinaha kwa mapenzi ya chapanga katika kuwa ya kwinu. 11 Maana nipara kuvarora ili mbati kuwapera mwenga baadhi ya karama za roho ni mbali kuwaimarisha. 12 Yaani niroralela kuliwa moyo pamonga na mwenga kwa ndera ya imani ya kila yumonga w witu ghinu na ghangu . 13 Hinaha nnongu , mbali ndeka mkosi kumanya kwamba mara yamaheri nimekusudia kuwuya kwinu , lakini wanganakihi mpaka limaha. Nakaoaliti naha ili gha vyeghe matunda kwinu kama ilivyopia miongani mwa wandu wa mataifa. 14 Ni daiwa na wayunani na waghenipia werevu na wajinga. 15 Kwa hiyo kwa upande wangu wenga mitayeri kutangasi injili kwinupia mwenga mvioko Roma. 16 Kwa maana siionei heni injili kwa kuwa ni uweza wa chapanga wiwileta wokovu kwa kila aaminiye kwa myehudi kwanza na kwa myunani pia. 17 Kwa maana haki ya chapanga imedhihimshwa kuhuma Imani hata imani kama ilivyo andikwa '' Ywavi haki andatama kwa Imani. 18 Maana ghadhabu ya chapanga imedhihirishwa kuhuma kumbinguni dhidi ya uasi na uovu woha wawandu anbao kwa ndera ya udhalimu huifadia kweli. 19 Hii kwa sababu ghoha ghiwesekana kuhunyi kama kumani kwa chapanga ni wazi kwa veni maana chapanga awafahamishi . 20 Maana mambo yaki yasionekana vizuri ghavi wazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu ghieleweka kupetera ireve iiumbwiti miharu eye ni uwezo waki wa milele n aseli ya uunga .matokeo yaki wandu awa wavinandeka udhuru. 21 Hii ni kwa sababu ungawa wakamanyite kuhuma chapanga hawakumtukuza yweni anda chapanga wala wamperi udeka shukrani. Badala yaki wamekuwa wapumbavu katika mawazo yao na mioyo yao yenye ujinga ilitiwa ruvendo 22 Wakakikemili kuwa ni werevu, lakini wakavi wajinga. 23 Waliubadili utukufu wa chapanga ywanga uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu ywavina uhalibifu nayakiyuni, na wanyama wenye makongonu ncheche na yaviumbe vitambaavyo. 24 Kwa hiyo chapanga akawa lekiti wafuate tamaa za mioyo yao kwa uchafu kwa miili yao kufedheheshwa baina yao. 25 Niveni wawakabadili kweli ya chapanga kuvyegha kuwa uwango na ambao waliabudu na kutumikia viumbe badala ya muumbaji ambaye amasifiwa milele Amina. 26 Kwa sababu hii chapanga akawalekiti wafuate tamaa hyawi hya imani kwa kuwa wadara navi wakabadilishi matumizi ghavi ya asili kwa kale kikivi kinyume cha asili. 27 Hali kadhahika vagosi pia waghalekite matumizi yao ya asili kwa wadara na kuwa kwa na tamaa dhidi yao wenyewe . Hawa wakavi wagosi ambao wa katendite na wagosi wayavi yasiyo wapesa na ambai wakapakiri adhabu iliyostahili upotovu wao 28 Kwa sababu wakakawiti kuwa na chapanga katika fahamu zao akawalekite wafuate maranga ghavi ghangakufaa wafanye mambo yale yasiyofaa 29 Wamejawa na udhahimu wote uovu tamaa na ubaya wanyawe na wivu uuaji ugomvi udanganyifu na mia mbaya . 30 Wenipia ni wahehaji wiwiwakopokeha na vivinchukia chapanga wawinavurugu kikuri na kuroka veni vitunga mabaya na wangakutii wazazi wavi. 31 Veni wawinandeka ufahamu wangu kuaminika wangu mapenzi ya asili na wanga huruma. 32 Wielewa kanunu za chapanga ya kwamba wandu vitenda miharu ya jinsi hiyo wanastahili kuhwegha lakini situ vitenda miharu eye veni pia wakubalini na wara vivitenda miharu ehe.