1 Kisha nikaona katika luwokilya kulela wayora ywakavi atamiti katika kiticha enzi,gombo lyawanchiki kuurongoro na kunyuma,''Wakagongili mihuri saba. 2 Nakamweni mahoka ywa avina likakala ihubiri kwa lilove likoronga,''Lihani astahiliye kuidiudula gombo wa kuidenya mihuri yaki?'' 3 Avindeka mundu kumbinguni au kuduniani au fahi ya dunia ywawesili kulidundula gombo au kulisoma. 4 Nakaleliti kwa uchungu kwa kuwa apakanikindeka ywo wayora.ywi stahili kulifungua gombo au kulisoma. 5 Lakini yumonga wa wazee akanongalili.'' Ukotokulela.Rola!Lilihimba lya kabila ya Yuda lihima la Daudi,ameshinda na lwesa kulidindula gombo na Mihuri yaki saba.'' 6 Kati ya kiti cha enzi na wenyeuhai wanne na Miongoni mwa wazee.Nikaneni mwanakondoo ayemiti,akawoniki ni anda ywa wankomiti.Akavina manyeru saba na mihusaba-ehe ni roho saba yeza Sapanga zilizotumwa duniani kote. 7 Akayawili akalitoliti gombo kuhuma muliwoko lya kulela wa yora ywi katika kili cha enzi. 8 Pakatoliti gambo,wawawina uhai wame na waghoghoro Ishirini na wanne wakayini mi hadi nchi kuulongolo mwa mwanakondoo.Kila yumongo akari na kinubi na bakuli ya dhahabu utweri uvumba ambayo ni maombi ya waamini. 9 Wakayembiti uhambu uhyenu:''Unastahili kuitwa gombo na kuzifungua muhuri wake.kwa kuwa ukachinjwiti na kwa myali yako ukanhemeli Sapanga wandu wa kila kabila.Lugha,jamaa na taifa. 10 Ukawafanya ufalme na makuhai kwa ajili ya kumtumikia Sapanga wetu nao watawala kunani ya wahi.'' 11 Kisha wakaroliti wa nikayohivi lilovi lya mahoka kutindira kiti cha enzi idadi yao yakaci 200,000,000 na wawawina uhai na waghoghoro. 12 Akarongi kwa lilovi likoronga,''Astahili mwana kondoo ambaye amechinjina kupokere uwezo,utajiri,hekima,likakala,heshima,utukufu na sifa.'' 13 Nakayohini kila kyana womkiti kikivikumbinguni na kuduniani na pahi ya nchi na kunani kubahari kila kireve nkati yake kikirongera,''Kwake yweni yori itama kunani mukiti cha enzi wa kwa mwanakondoo,kuwe sifa heshima,Utukufu na likakala lya utawala milele na milele.'' 14 Wawina uhai wanne wakarongi.''Amina!''na waghoghoro wakagundini pahi na kuabudu.''