Kihongi 22

1 Kisha malaika akamwonishi wa mase ya uzima maji yakavile kama ibilauli yakevile kuhuma katika enzi Chapanga na Chamwana kondoo 2 Kupitila katika ya mtaa ya mujikila pembe ya munte paka vile mkongo wa uzima upetite aina vine na za matunda,kila mwehe inapapa kila mundu mahaba kila mundu ya kwajili ya uyonga wamataifa. 3 Waha hapata kuvengwa nahana yoyote kavina kiti cha chapanga na chamwene kondoo itakuemu nkante ya muji lyena watumishi ghake wantumikile. 4 Makavoniteneka miho ghake nalihina lywake vya nyoso zao. 5 Havile ndeka kuvindu tena wala hawakuwa na huhitaji kwa mwenga wala liuve kwasababu bwena Chapanga ataangaza kunani ghao nao watatawa milelemile. 6 Malaika ikanongolile mihaleghale ya kuumihika bwana Chapanga ewe Roho za manabii akantumite kuvavo nesha. vatumishi vake kinacho huma.'' 7 Kataizime ni vuya halaka amebala kiwe anetii mihalo ya unabii walitabu kinu.'' 8 Nenga,Yohana,ndiyo akiyuhine na kuvona mambo ghano nikiyehune na,nkunola nikaguile ma mwenene mbele ya maghalo ya malaika kwamwidual maila yemwenishi mambo gheno. 9 Akinongolile,'' Ukotokutendanaa,nenga! mutumishi mwenzako pamonga na nonga ghuiko manabii pamonga na vala wanao tii mihalo ya kitabu kino mwabudu,Chapanga!'' 10 Akanongolile usiwatii mihalo ya unabii.Vitabu kino maana wakati. 11 Asio mwenye haki,aendelehe kutokuvegha aliye mtakatifu na andelehe mtakatifu.Ambaye ni mchafu kimaadili, na aendelee kuwa mchafu kimaadili. Mwenye haki, na aendelee kuwa mwenye haki. Aliye mtakatifu, na aendelee kuwa mtakatifu." 12 Kulolokea na jaupesi ujila wangu uvile na pamonga namkunepa kila umonga kulengana na alatendite. 13 Nenga ni alufu omega, kwa kwanza na Mwisho,mwanzo na mwisho. 14 Walibalikiwa valala washao vaazi ghaa ilikwamba apate haki ya kulywengha kuhuma nkonko wa uzime kunyiila muji kupitila mulamzulango kuyingila muji mufyanko. 15 Panja avile galo muhave wanzinzi wankomaye,waabudu,sanam,na apalile na ashudiaye,ushahidi wa ulywenge. 16 Nenga Yesu ninhtumite malaika shungu kuwashuhudia kuhusu mihalo kwa makanisa.Nenga ni munzinzi wadau ya Daudi,yota lukela ughano.'' 17 Roho na mbuya halasi alongle,''Uvuye!'' nayuene yuhine alongilaye ,''Uvuye?Yayuhayuha avile na kio na wayuhayuha na apatite uzima bule. 18 Namushudia kila mundu ayuhaye mihalo ya wanabii wa kitabu kino kama yoyote alongile, Chapanga anokwase katika kitabu kino. 19 Kama mundu yayahuha navuaye kitabu kino unabii,Chapanga na vuhaya sehemu ghake kutika munko wa uzima na katika muji mataifa ambayo habari ghake yiyandike katika ambayo habali ghake nkante ya yiyandike katika habali. 20 Yuene ashudia kutika alongile ndiyo, ''Naje! upesi aminafi uvuye,bwana Yesu! 21 Neema ya bwana Yesu ivile na kila mundu .Amina.