Kihongi 16

1 Nakayohini lilove likoronga kuhuma sehemu patakatifu na rongili kwa wara malaika saba,''Yenda na ukayiti kunani ya dunia mabakulisaba ya dhahabu ya Sapanga.'' 2 Malaika wa kwanza akayawili na kuyita nakuli lyaki katika chumia:majeraha mabaya na ghaghavili na maumivu makali ghaghawuyiti kwa vandu wenye alama ya Mnyama kwa wara ambao wakaabudu sanamu yaki. 3 Malaika wa pili akayititi bakuli yaki katikabahari ikiwe kama myahi ya Mundu ywa hwiri wa kila kiumbe hai kyakahutii. 4 Malaika wa tatu akayititi bakuli lyaki kazi lukamba na katika chembu ya masi yakavi myani. 5 Nakayohini malaika wa masi irongera wenga ni mwaminifu yummonga uliyepo na uliyekuwepo mtakazifu-kwa sababu uletiti hukumu ehe. 6 Kwa sababu uyititi myahiza waamini na manabii uwaperili eni kuunywegha myalu udicho wandostahili'' 7 Nakayolini madhabahu ikajikwati,''Ena zambu sapanga mwenye kutawala kunani ya yoha hukumu hyanu ni kweli wa hyahaki.'' 8 Malaika wanacheche akayatiti kuhuma mubakuli lyaki kunani pa lyova na linapatiti ruhusa kuunguza wandu na moto. 9 Waliunguzwa kwajoto lenye kutisha na wakalikufuru eneo la sapanga wenye likakala kumani ya mapigo ghoha.Hawakiduku wala kumpera yweni utukufu. 10 Malaika wa tano akayititi kuhuma mubakuli lyaki katika kiti cha enzi cha mnyama na ruvendo hunagubiki ufarme waki.wakaliyaghiti minu kwa maumivu makali. 11 Wakanninghiti Sapanga wa Mbinguni kwa sababu ya maumivu ghari na majeraha ghavi,na yamera wakaendelii kutokulubu kwa kila kyavatenditi. 12 Malaika wa sila akayitili kuhuma mubakuli lyaki katika lukemba lukoronga,frati na masi ghaki ghakayomili ili kuwesa kuandaa udera kwa wafalme vivipara kuwuya kuhuma kuunashariki. 13 Nikaihwani roho itatu ichafu ikawoni kini anda lidokwa vivipita panja ya nnomo wa liyoka yera mnyama na yora nabii wa ukowohi. 14 Ni roho za pepo iitenda ishara na miujiza wakavili viyawula kwa wafalme wa dunia yoha ili kureza kuwahusanya pamonga kwa vita katika sikukuu ya Sapanga,mwenye kutawale kunani kwa ghoha. 15 (''Rola!niwuya anda mwili!Heri yora ywirama katika kukenikila ywitunza ngowu hyakali ili akotokuweza kuyara panja kibuna na kuiona honi hyaki.'') 16 Wakawaletili pamonga katika sehemu yivikema katika kiebrania Amagendoni. 17 Malaika wa saba akajititi kuhuma mubakula lyaki katika anga kisha lilovi likuu liyohiniki kuhuma patakatitifu na kuchuma pakiti cha enzi ,yakarongiragha ''Iyomwiki!'' 18 Yakari miale ya mwanga wa radi ngurumo vishindo vya radi,na tetemeko la kutisha tetemeko likoronga lya mwema ambalo tangu lyanapitira ndeka panuema tangu wanadamu wavipannema.Hivyo ni tetemeko likoronga zaidi. 19 Mjimkuu ukawanjili katika sehemu itatu wa miji ya mataifa ikagwiri.Kisha Sapanga akaukomokiri Babeli mkuu na akaperi mi ogho kikombe kyaka vili kitwilivi divai kuhuma kwenye ghadhabu yaki yayakavili kali. 20 Kila kisiwa kikahoviti na itombi kikawanikani ndeka kavele. 21 Hura ngoronga ya maganga yakari na uzito wa talanta,ikahurwiki kuhuma mbinguni kunani ya wandu,na wakamilaniti Sapanga kwa mapingo ya hura ya maganga kwa sababu pigo lyakavi libaya sana.