Kihongi 14

1 Nakarolite na nakamwenye mwana kondoo ayemite kurongoro yango kunane ya mlima sayuni.Pamonga nako vakavile 144,000 wenye lihina lake na lihina la tale ghwake valiyandike katika vipaji hyanyuso hyave. 2 Nakayohine sauti kuhuma mbinguni lyukanakika kama ngurumo wa maji ghahele na sauti nkurunga ya radi.Sauti yaniyuhine ni kama wapiga vinubi vitara inubi hyave. 3 Wakiimba wimbo mpya kurongolo ya kiti cha chuva na kurongoro yavene va uhai cheche na vazee.aviye hata thwavina uwezo wa kujifunza ghweni uhambo isipokuwa kwa 144,000 ambaye vakombo liwe kuhuma kuduniani. 4 Vena ni vala ambao vakajichafwiye vene kwa vadara,maana vakajitunzite vene dhidi ya matendo ya zinaa.Ni vena ambao vakamfatite mwana kondoo popote pakaya mvwile.Vena vakakomboliwe kuhuma kwa wanadamu vakiva matunda gha kwaza kwa chapanga na kwa mwana kondoo. 5 Uvithe uwongo ghupatikine katika vinywa hyave;Vila umiwandeka. 6 Nakavwene maika thungi ikelevuka katika ya mbingu ambaye mwenye ujumbe wa mbinguni wahabali njema kwa kwatangazila vivi ishi panduniani kwa kila taifa,kabila,lugha,na vando. 7 Akavakemite kwa sauti kuu,''Mnyoghope Chapanga na mpela utukufu.Kwa maana muda ghwa hukumu ukalibiye mwabudu thwene thwene thwaubite mbingu,,na dunia,na bahari,na chemchemiya mase.'' 8 Malaika yungine-malaika ghwa pili akafatile ilonge ugwile,ugwile Babeli ngurunga,ambaye uvanyweshite mataifa divai ya ukahaba yakaletite ghadhabu kunani yake.'' 9 Malaika yungine-malaika wa tatu-akavafatile akarongi kwa sauti kuu,yoyte thwaimwabudu thweno mnyama na sanamu yake,na kupokera alama alama katika paji lake la uso livoko, 10 Thwene pia nanywaye divai ya ghadgabu ya Chapanga,divai ambayo yavaandiye na kuyita bila kuhangalana katika kikombne cha hasira yake.Mundo thwaipala kunywegha natweswa na moto na moto thwaipala kunywegha natweswa na moto na moto wa kiberiti kulongoro tha malaika ghake matakatifu kurongoro ya mwana kondoo. 11 Na moshi wa maumivu ghave wakayavui milele na milele na vakaviye na mapumziko pamuhe wala kilo-vena viviabudu mnyama na sanamu yake,na kila mundo thapokile alama ya lihina lake. 12 Ghweno ni lukemo lwa subira na uvumilivu kwa vaamini,vala ambao vitii amri ya Chapanga na imani katika Yesu.'' 13 Nakayuhine sauti kuhuma mbinguni irongela yandika ghena:Heli wafu wafao katika Bambo.''Ndiyo ironge Roho,ili vaweze kupumlila kuhuma ku mahengo ghave.Maana m,atendo ghave naghavafuata.'' 14 Nakarolite na nakamwene kukavile na liwingu lihuho,na thwakatamite kuli wingu ni mmonga thwavile na mfano wa mwana wa mundo.Akavile na taji la dhahabu katika muto ghwake na mundu mkali katika livoko lyake. 15 Malaika ghangine kavina akahikite kuhuma kuhekalu na akakemite kwa sauti kubwa kuyenda kwa thweni thwatamite katika wingu :tora mundu ghwako na utumbule kubena.Kwa kuwa muda ghwa kubena uhikite,maana mavuno ghaghavile katika dunia ghayelite.'' 16 Tena yula thwvile kuli wingu aka upitishe mundu gwake kunane ya dunia,na dunia ikavunwa. 17 Na malaika thunge akavuyite kuhuma kuhekalu la mbinguni nathwena akavile mundu mkali. 18 Na badala malaika yungine akavuyite kuhuma ku madhabahu na malaika yakavile na mamlaka kunane ya moto.Akankemite kwa sauti kuu malaika ambaye akavile na mundu mkali tora mundu mkali na ukusanye matawi gha mzabibu kuhuma kwenye mzabibu wa nchi,kwa kuwa zabibu henaha ghayelite.'' 19 Malaika akapelike mundu ghwake katika dunia na akakusinye mavuno gha zabibu ya dunia na akarushite katika pipa kubwa la divai ya ghadhabu ya chapanga. 20 Chuji la divai lavaponditipondite panja ya mji na dam yakathitike kuhuma katika cheni kimo cha hatamu ya farasi,kwa stadia 1,600.