1 Huu ni ufunuo wa Yesu Kristo ambao sapanga aka mperi ulikuwaonesha watumishi wake mambo ambayo lazima yatokee karibuni.Alifanya ghamanyikani kwa kuutuma mahoka wake kwa utumishi waki Yohana. 2 Yohana akapihizi ushuhuda wa kila kireve alicho ona kuhusiana na uharu wa Sapanga na kwa udhuhuda uliotolewa kuhusu Yesu Kristo. 3 Amebarikiwa Yweni asemaye kwa lilovi na wala woha viviyohananira miharu ya unabii ogha na kutii kikiyandikwi amo,kwa sababu ya muda ukaribii. 4 Yohana,kwa makanisa saba ghaghavili Asia:neema kwa mwenga na amani kuhuma kwa yirenia liyepo,aliyekuwepo,ywipara kuwuya na kuhuma kwa roho saba wawavili kuurongoro kwa kili chaki cha enzi, 5 na kuhuma kwa Yesu Kristo ambaye ni shahidi mwaminifu,Mzaliwa wa Kwanza wa wahwili na ntawala wa wafalme wa dunia eye kwake yweni ywatupaliti na atuvikili huru kuhuma katika dhambi hitu kwa myali hyaki, 6 amefunya kuwa ufalme makuhani wa Sapanga wa tati waki-kwa yweni uri utukufu na hekakala milele daima .Amina. 7 Rora iwuya na Mahundi;Kila lihu andali mmonayi,pa monga na woha wawanho miti.Na kabila lyoha za dunia aunda waombolezaji kwa yweni.Ndiyo,Amina. 8 ''Nenga ni Alfa na Omega,''irongera bambu Sapanga ,''Yweni aliyepo na aliyekuwepo na ambaye iwuya,ywana likakala.'' 9 Nenga,Yohana nnongawinu na Yumonga Yirishiki pamonga na mwenga katika mateso na ufalime na urumilivu thabiti uuvili katika Yesu;wakavi katika kisiwa kivikema patimo kwa sababu ya uharu wa Sapanga wa ushuhuda kuhusu Yesu. 10 Nakavi katika Roho siku ya Bambu.Nakayohini kunyuma yangu lilevi lyakunani anda tarumbeta, 11 Yakarongiri,''Yandika katika kitabu unayo yaona,na ughatumi lwa makanisa saba kuyara Efeso,kuyara Smirna kuyara Pergamo,kuyara Thiatira kuyara Sardi kuyara philadelphina na kwenda laodikia.'' 12 Nakapendwiki kurora ni lilovi lya ghani ywakaviirange na nenga,na panapendwiki nika kivyeni kuara cha dhahabu cha taa saba. 13 Pakatikati ya kinara cha taa akavi yumonga anda mwana wa Adamu,ahwaliti kanzu undamahu ya yakahikiti pali ya makongonu ghaki na ukanda wa dhahabu kutindira kifua chaki. 14 Mutu waki wa mayunju ghali yakari ihuchu anda sufuihuhu anda theluji,na mihughaki ghakavi anda mwali wa moto. 15 Njayu lyaki yakari anda shaba iliyosuguliwa sana anda shaba ambayo imekwisha pilishwa moto,na lilovi lyaki likavi anda lilovi lya masi ghamaheri ghighifiri rika kwa kasi. 16 Akavi akamulili ndondo saba katika kiwoko lyaki lya kulele na kuluma munnamo waki ukavi na Upanga nkali ukavi makali kuwili.Uso waki ukavi unganyima anda mwanga nkali wa lyova. 17 Panakaomweni nikagwili pa makongoni paki anda mundu ywa ahwili.Akavikili liwokolwaki lya kwela kunani kwa nenga wa kurongera,''Ukkotokutira!Nenga ni wa kwanza wa na Mwisu. 18 na ambaye nitama.Nikavi hwiri,lakini rora ninaishi milele!Na ninayufunguo za mauti na kuzimu. 19 Kwahiyo,ughayandiki ghaughaweni,ghaghavi hinaha na ghala ghighipara kupitira baada ya agha. 20 Kwa maana ukaghalihiti kuhusu adongo saba yawakaiweni katika liwoko lyuangu lya kuume wa kela kinara cha dhahabu cha taa saba:ndondo saba ni mahoka wa ghara makanisa saba,na kinara chataa saba ni ghara makanisa saba.''