Kihongi 1

1 Na niyupa kwamba kupola kwinu kuyonsekea zais na zaid katka kumonya na malangu woha . 2 Niyupa kwa ajili ya hili myeghe nauweso wa kupima na kuhaghala mihalo iwi yamaha sana paia nivayupira myeghe safi pakofuku nyegha na hatia yoyoha katika linjiku la kristo 3 Ninsuru chapanga wangu kila panivakumbuka mwenga mavoha. 4 Mara yoho katika kila paniyupa nenga kwaajili yinu mwenga maroha/naha ni hekerera paniyupila. 5 Minayo sukurani ya mahele kwa sababu ya kumanyana kwinu katika injili tangu linjiku la kwanza mpaka lilinu. 6 Ni manya ni yweneakatumbili lihengo lamaha nkati mwinu andayendelaeye kuikamilisha mpaka linjiwa ya bwana yesu kristo. 7 Ena nenga kukiyuha naha juu yinu mwenga kwa sababu nivavvekite mumoyo wangu maana mwenga mili pamonga wenzeo katika neema katika kifungo changu na katika utetezi na uthibitishaji wa injili. 8 Chapanga nichaidi mwangu pamili na furaha mwenga yinu mavoko katika nkati kwa kupala kristo yesu. 9 Na niyupa kwamba kupala kwinu kuyonjekea zaidi na zaidi katika kumanya na malangu waho. 10 Niyupa kwa ajili ya hili myeghe nauweso wa kupima na kuhaghula mihali iwi yamaha sana pia niva yupika myeghe safi pakotukuwyegha na hatia yoyoha katika linjiku la kristo. 11 Na pia ili ntwililina uhohe wahaki lilipatikana katika yuse kristo kwa utukufu na sifa ya chapanga. 12 Hina walongo vangu nipala mmanye kuvyegha, mihalu yiyipititi kwa nenga yitenditi injili iyende kurongoro sana. 13 Ndi mana ifungo hyangu katika kristo imanyikini kwa viviyimila ikulu yaha na kwa kila mundu pamonga. 14 Na warongo wa mahele katika bwana kwasababu ya ifango hyangu wawakongite na kuyiga kulongera nhoro bila kuyogopa 15 Vangi vintangasa kristo kwa fitina navulwana pamonga vangi kwa nia yamaha . 16 Vala vintangasa kristo kwa kupala vimanga na vamekiti hapa kwa ajili ya kukenyerela wa anjili. 17 Bali vangi vintangasa kristo kwa kukivona na nia mbayo Ni hara kuwa vivileta matatisu kwa menga katkika mighoyi yangu 18 Kwanaha; nijali ndeka aidha ndira ikiwa ni kwa kila au kwa kweli kristo vintangasa na katika hali nina fulahai ; ndiyo nifutahi. 19 Kwa kuwa nimanya hili lileta kunindulila kwa nenga .nhoro hili kipitila kwa sababu ya kuyupa yinu na kwa kuntanga waroha wa yesu kristo 20 Kulingana na matalajio ghangu ghauha kikana kweli ni kwamba nivona ndeka honi panyuma yaki kwa kukangamara woha kama ambayo manjiku waho na hinaa, ni hora anda kristu anda vayinulae katika nvili iyangu ikiwa katika kulamau katika kuwhegha. 21 Kwa maana kwangu nenga kutama ni kristo na kuhwegha ni faida. 22 Lakini kama kutumakatika nmili kupapauhoye katika lyengo lyangu, nimanyite ndeka lyoki la kuhagula. 23 Maana vinganya sana mawaso mavina nina hamuya kuuleka nmilina kuvye pamonga na kristo kiliwi kyene kya thamani sana . 24 Ingawa kuhighara katka nmili ugha ili nharo la muhimu sana kwa ajili yinu. 25 Kwa kuwa nimanya kunani yaili , nimanya nihighara na kurongolea kunani yaili nimanya nihighara na kurongolea kuwa pamonga namwenga woha kwa ajili ya maendeleo na kuhangana ya imani yinu . 26 Na iyi andaiteta kuhangana yinu nkurubgwa katika kristo yesu kwa sababu ya nenga iyonjekea kwa sababu ya kuvyegha kwangu pamonga na mwenga. 27 Mitakiwa ntame maisa ghinu kwa ndira yamaha vipo sayo injili ya kristo ntende naha ili panivuya kuwavona au nikosa kuvuya nyuhi kuvyegha yimiti imara katika roho imonga nipila kuyuha kuwa imonayo roho imonga andanshindini imani kwa pamonga 28 Na kikotokuvatisa kiliwi chochoha kikitendewa na maaduiwavi hiyi kwavini ishara ya kuhalibiha Bali kwinu ni ishara ya wokovu kuvuka kwa chapanga. 29 Kwa mona mwenga vavapelile kwa ajili ya kristo si kumwamini tuibali na kuvatesa pamonga katika ywene. 30 Kwa mana muna vuhwa ghughuru ghura kama pamuowonite kwa nenga na miyuha kwamba minayo hatalinaa.