Kihongi 7

1 Baada ya Yesu kuyomora kila kileve kyakarongera kwa wandu wawakanyohaniragha, akayingiri Kaperanaumu. 2 Mtuimwa fulani wa akida, ywakavili na thamani sana kw ayweni, akavi mtamwa sana na akavi karibu na kuhwegha. 3 Lakini akayohini kuhusu Yesu yora akida akamtumiti kirongosi wa kiyahudi , kunyopa awuyi kunwokoa mtumwa waki ili akotokuhwegha. 4 Pakahika karibu na Yesu wakamsihiti kw abidii na kurongela anastahili kwamba unapaswa kufanya hivi kwaajili yake, 5 kwa sababu alipaliti taifa litu, na ndiye ywakasengiti sinagogi kwa ajili yetu." 6 Yesu aendili na lyanja pamonga na veni lakini kabla anayendaye kutali na nyumba, afisa yumonga akawatumiti marafiki wake kurongera na yweni,"Bambu usijichoshe, mwenyewe kwa sababu nenga sistahili wenga kuyingira kwenye dari yangu. 7 Kwa sababu hii nakolindeka hata nenga na mwene kkuwa ninafaa kuwuiya kwa wenga, lakini longera uhuru tu wa utumisi wangu andaponayi. 8 Kwa nenga pia namundu niliyewekwa kwenye mamlaka na nina askari pahi ya nenga, nkorongera kwa oyo,"Yara" na huenda na kwa yongi,"Wuya" naye huja na kwa ntumizi wangu,'Tenda eke! na yweni itenda." 9 Yesu pakayohini agaha akakangisi na kuwapendukira makutano wwakavi vimfuata na kurongera," Niwarongerela, hata katika Israeli, sijawahi kurora mundu mweni imani kuu anda oyo. 10 Kisha wara wawatumwili wakakerewiki ukaya wakunkolera ntumishi akiwa mzima. 11 Tena baada ya haya ikapitiri kuwa Yesu akavili nsafari kuyenda kumjini kuvikema naini. wanafunzi wake wakayawili pamonga na yweni warongahini na umati wa wandu. 12 Pakahikiti karibu na lango la jiji rora, mundu ywa ahwiri akavimpapiti, na ni mwana wa pekee kwa mai wake. Ywakavi mjane, na umati wa wawakilishi kuhuma kwenye jiji wakavi pamonga na yweni. 13 Pakamweni, Bambu akanheghalili kwa huruma ngoronga sana kunani na ananongolili,"Kutokulela". 14 Kisha akaheghilili akaligusiti jeneza ambalo wakagheghi mmeri, na wara wawakagheghiti wakayemiti wakarongili," Nchongoro nirongera yimka." 15 Mfu akayinwiki na kutama pahi wa kutumbura kurongera. Kisha Yesu akankabidhi mai wake. 16 Kisha hofu yakawatwalili woha wakaendilii kumtukuza Sapanga wakarongili nabii mkuu ameinuliwa miongoni mwetu wa sapanga awarokiti wandu waki." 17 Hizi habari njema za Yesu zikaenea Yudea yoha na kwa mikoa yoha ya jirani. 18 Wanafunzi wa Yohana wakamnongolili mihalu ele yoha. 19 Ndipo Yohana akawakemiti wawili wa wanafunzi waki na kuwatuma kwa Bambu kurongera wenga ndiye yora ajaye au kuna mundu yongi tunnorarele? 20 Pwakahika karibu na Yesu awa wakarongiri," Yohana mbatizaji autumiti kwa wenga kurongera,' mwenga ni yora ywiiwuya au avimundu yongi tumrolele?" 21 Kwa wakati ogho akawaponyiti wamaheri kuhuma katika matamwa na mateso, kuhuma kwa roho wachafu, na kw awandu wenye upofu akawaperi kurora. 22 Yesu akajibu na kurongwra kwavi. Baasa ya kuwa nnyawili kuuhumiti mtamjulisha Yohana kimikiweni na kukiyoha wenye upofu wapokili kurora na kiwete andatyangayi wenye marohi wawatakasika, wangayoha andawayohayi, wafu wata fufuliwa na kuwa hai tena, masikini wanaambiwa habari njema. 23 Na mundu ambaye hataacha kuniamini nenga kwa sababu ya matendo yangu amebarikiwa." 24 Baada ya wara wawakatumwiti wa Yohana kukerewuka kwa wahuniti Yesu akatumbwili kurongera kw amakutano kunani kwa Yohana," Makayawi panja kurora niki nahi ukavi unatikiswa wa mpogho? 25 Lakini mwakayawi panja , mundu ywahwaliti yamaha? Rora wandu wera wiwihwara mavazi ya Kifalme na kuishi maisha starehe wawili kwenye nafasi ya wafalme. 26 Lakini mwiyara panja kurora niki, nabii? Ndiyo nirongera kwa mwenga na zaidi sana kuliko nabii. 27 Oyo ndiye andikiwi," Rora nintuma kijumbe wangu kuurongolu pa mihu ywiandaa ndera kwaajili yangu, 28 nirongera kwa mwenga kati ya wara wawawoniki namna, avindeka mkuu kama Yohana, lakini asiye muhimu sana ywipara karama na Sapanga mahali pa vyweni andavya nahota kuliko Yohana." 29 Na wandu woha pawakayohini agha pamonga na watoza ushurui wakatangasi kuwa Sapanga ni mwenye haki. Walikuwepo kati yao wara wawakabatizwi kwa ubatizo wa Yohana. 30 Lakini mafarisayo wataamu wa sheria ya kuyahudi amba hawakubatizwa na yweni wakakaniti hekima za sapanga kwaajili yao wenyewe. 31 Tena niwesa kulinganisha na niki wandu wa kiza eke wawulili hasa? 32 Vihwanwa wa wana vivikuwa kueneo la soko vivitama na kukemana mmonga baada ya yungi vorongeraye tupulizi filimbi kwaajili yenu, na nkimiti ndeka tumeomboleza nneliti ndeka.' 33 Yohana mbatizaji akawuyiti alindeka mkate wala anywindeka divai mkarongiri avina pepo. 34 Mwana wa mundu avuyiti alili na kunywagha na mkarongingili,"Rola ni malafi, rafiki wa mtoza ushuru na mwenye dhambi! 35 Lakini hekima imetambulika kwa ina haki kw awana haki woha." 36 Yumonga wa Mafarisayo akanyapili Yesu ayawuli kulyegha pamonga na yweni. Baada ya Yesu kuyingira munyumba ya wafarisayo, akayeghemuki pameza ili alyeghe. 37 Rora akavi mara yumonga katika jiji hilo ywakavi na dhambi. Akagundua kuwa akavi atamiti kwa farisayo akaletitichupa ya manukato. 38 akayemiti kunyuma yake karibu na makongono ghaki ipeta kulela. Tena akatumbwili kulowanisha makongona ghaki kw amaholi, na kuifuta kwa nywele za kichwa za mutu wake. Akayabusu makongono ghani na kupaka makongono. 39 Na yora farisayo ywakavi amemwalika Yesu akaweni naha, akawasiti yweni akarongiri," Anda oyo mundu ugavye nabii, ngamanyiti oyo ni ghani ni aina ghani ya nnara ywingusa, yakuwa ni mwenye sambi. 40 Yesu akajibwiti na kunongerera,"Simoni nina kirewe cha kukurongwlela. Akarongiri,"Ronga tu mwalimu!" 41 Yesu akarongiri," Wakavili wadaiwa kwa mkopeshaji yumonga yumonga akavili idaiwa dinari matano na wapili alidaiwa dinari hamsini. 42 Na pawakawindeka hera ya kumlipa akawasamehe woha. Hinaha ni ghani andampara zaidi? 43 Simoni akamjibu na kurongera,"Nkumbuka aliyesamehewa zaidi." Yesu akamnongolili uhukumuli kwa usahihi." 44 Yesu akampendukiri nnara na kurongera kwa Simoni, wuuwona oyo nnara nginyiri mu nyum,ba yako. Umperi ndeka masi kwaajili ya makongono ghangu. Lakini oypo kwa mawoli ghaki atepatiri makongono ghangu na kuifuta ka mayunju ghaki. 45 Hukunibusu lakini yweni tangu pakakakuyingira omu atekiti ndeka kunibusu makongono ghangu. 46 Upakiki ndeka makongoru ghangu kwa mahuta , lakini upakiki makongono ghangu kwa manukato. 47 Kwa uharu ogho nikurongelera kwamba akavi na sambi na amesamehewa zaidi na pia akapatiti zaidi hakini ywasamehine kidogo hupenda kidogo tu." 48 Baadae akamonongoli nnara ," Sambi hyako isamehehiwi" 49 Wara wakatamili pameza pamonga na yweni wakatumbwili kurongehana veni kwaveni,"O yo ni ghani mpaka isamehe sambi?" 50 Na Yesu akanongoleli nnara," Imani yaku ikuokwi yara na amani.