1 Yesu akavalolite akavywenevaka nahi,e majitari vakalile vakaikisha zaidi zao kwa hazina. 2 Akamwene nnyane yumonga masikini akavika senti vyake ivina. 3 Hivyo akalongile," Kweli nonongelela , oyo nyane masikini avikite yamahele kuliko vangi voha. 4 Ava voha vavuhikite ehe za wadi kuhuma yamahela yavavinayo lakinioyo nyane katika yumaskini wake avahokite mapesa ghoha ghakavinako kwaajili kutamanako." 5 Vakati vangi vakavile vilongela kuhusu hekalo na muna paghavile vapambite na maganga ghamaha na matoleo, akalongite, 6 "Kwa habari ya miharo eye mvinoma, siku naivulaye ambazo livindeka liganga limonga ambalo navalilekaye kunani la liganga longe ambalo navalibo mwile." 7 Hivyo vakankonyite vakalongile,"Mwalimu, miharo eyee naipitala ndeka? na nike naivyuye ishara kwamba eye miharo yako karibu andaipitilaye?" 8 Yesu akajibwite miaye navaangalifu nauhakatolaka kudanganyika kw asababu vangi vavavunaye kwa lihina lyangu navalingelaye nenge ndiye na muda andawahika nkotoloka kuvafuata. 9 Andanyohini vita n avurugu yamahele nkatake kunyopa kwa sababu eyee mihalo lazima ipitile kwanza lakini mwisho ake naupitalaye upesi." 10 Kisha akavilongilile," Taifa nalivokaye kutokanna taifa lenge na ufahamu ghonge. 11 Nakavikaye na matetemeko makolanga na njala na tauni katika maeneo ghino mbalimbali nakuvyaye na matukio ya kutisa kuhuma kumbinguni. 12 Lakini kabla ya miharo eyee yoha navavikaye mavoko ghave kunane yaani kuvatesa kuwapeleka kumasinagogi na magereza kuvaleta mbela ya ufalme na vene vakolo madaraka kwa sababu ya lihina lyangu. 13 Eye naifungulilaye farasa kwa ushuhuda wino. 14 Kwahiyo amone mumoyo wino kutoveka utetezi wino mapema, 15 Kwa sababu babipikakiaye miharo ya hekima ambao maadui vino voha navawesa yee kupenga au kukana. 16 Lakini navakanilaye pia na vakatati vina valongo vina jamaa vino na mataifa vino na navankomaye baadhi yinu. 17 Navachukiwa kila yumonga kwa sababu ya lihina lyangu. 18 Lakini nauvwayeyii hata unyweli mawongu mutu wino wiwpala kuhova. 19 Katrika kuvumiliya naponyaye nafusi yino. 20 Pinipalakuivona Yerusalemu izungwike na majeshi, baasi umanyage kwamba uharibifu wake andawahika. 21 Apa vavavile kuyudea vakatilile kuitombe, na vala vavile katikati ya musi vakavokite, na nkota kavakuleka vavavile kumusi kuyingira. 22 Maana cheheni ni manjova gha kisasi ili kwamba mihalo yagha yandikwe ghapate kutimilika. 23 Ole kwa wale vavavile wa ndumba na vala vivingeha katika siku hizo kwa maana nakuvyegha na adha ngolonga juu ya uchi na ghazabu kwa vandu ava. 24 Na vagwaye kwa ncha ya upanga na navavatoraye mateka kw amataifa ghoha na Yerusalemu navalevetelaya na vandu wa maiafa mpaka wakati vanduva mataifa piwipala kutimilika. 25 Naiwaye katika hyugha mwehe na nyota na katika nchi nakuviaje na dhiki ya mataifa katika kukata tamaa na kuvukana n amelogha gha Bahari na mawimbi. 26 Naivyaye na vando navazimiaye kutona na hofu na katika miharo ghighi pala kupitila jinu ya dunia kwa maana nguvu za mbingu naitikisaye. 27 Kisha navamwonaye mwana wa Adamu akivuya kuhuma kumawinguni katika likakala na utukufu ukolonga. 28 Lakini miharo eye pipala kutumbula naipitilaye nyemaya, nyinulayi mito yino kw asababu ukombozi wivu uheghilile karibu." 29 Yesu akavalongalila kw amfano matokehaye ngongo osho na mikongo yoha. 30 Pipiha machipukizi mivona mavene na kumanya kwamba jkilanga si tayari. 31 Vivyo pinipala kuivona mihala eye yipitala mwenga umanyaye ya kwamba ufalme wa Chapanga ukalibie. 32 Kweli ninongelela kizazi eche`nachipitaye laiki miharo yangu naipita ndeka. 33 Mbingu na dunia mapitaye lakini miharo yangu jnaipita ndeka. 34 Lakini mkilolokeaye haye mavene ili kwmaba mioyo yinu isaijaikaemewa nga ufisadi ,ulefi, na mahangaiko ya maisha agha kwa sababu ile Siku itawajia ghafra. 35 kama ntegho kwa sababu itakuwa juu ya kila yumonga aishie katika uso wa dunia nzima. 36 Lakini mieghe tayari wakati ghoha mnyupa kwamba miaye imara ya kutosha kuyepusha agha shosha ghighipala kutila na kuyima mbele ya mwana wa Adamu." 37 Hivyo wakati wa mchana akavile akifundisha kuhekalu nanna na uhiku ekavukite pacha, na kuyavula kukehuka katika itambi vikema wa mizeituni. 38 Vandu voha vakanunyile lukela na kabisa kunyohanila nkati ya hekalu.