Kihongi 1

1 Wamaheri wamejitahidi kuvika katika mpangilio simulizi kuhusu masuala ambayo yametimizwa kati yeti, 2 kama walivyotupatia twenga, ambayo tangu mwanzno ni mashahidi wa mihu wa watumishi wa ujumbe. 3 Hivyo nenga pia, baada ya kuchunguza kwa uangalifu chanzo cha miharu ehe yoha tokea mwanzo mweni ni vema kwangu pia kukuyandikire katika ,mpangilia wake-mheshimiwa sana Theofilo. 4 Ili kwmaba uweze kumanya ukweni wa miharu ulivofundishwa. 5 Katika siku za Herode, mafalme wa Yudea, pakavili na kuhani temu yawamkema Zekaria wa lukoro rwa Abiya nnara wake akawokiti kwa binti za Haruni na lihina lyake wakankemwa Elizabeti. 6 Woha wakavili wenye haki kuurongoro kwa Sapanga wakafyongiti sanga lawama katika amri hyoha na maagizo ya Bambu. 7 Lakini wakavindeka wa mwana kwa sababu Elizabeti akavitasa, na kwa wakati huu woha wavina wakavili waghoghoro sana. 8 HInaha ilitokea kwamba Zekaria avili katika uwepo wa Sapanga akiendelea nawajibu wa kuhani katika utaratibu wa zamu yake. 9 Kulinganila na desturi ya kuhagura ni kuhani ghani atakayehudumu, alikuwa akahaghulini kwa kura kuyingira katika hekalu la Bambu wa hivyuo angefukiza kuhumba. 10 Likundi lyowa la wandu lyakavi liyopa panja wakzi wa kufukizwa kwa luhumba. 11 Hunaha mahola gha bambu ghakampitiri na kuyema upande wa kuleta wa madhabahu ya kufukiza. 12 Zakaria alitishika pakamweni, hofu yakau nyingi. 13 Lakini mahoka akannongilili," Ukotokuyoghopa Zakaria kwa sababu maombi ghaku gha ytohawki. Nwara waku Elizabethi andakupapara mwana lihina lyaki andaunkema Yohana. 14 Ndauvya na furaha wa uchangamfu na wamaheri andawafurahia kwaneka kwaki. 15 Kw akuwa andamkuu kuurongoru kw amihu gha bambu. Andanywendeka divai au kinywaji kikali na andavya amejazwa na Roho Mtakatifu tangu muntumbu mwa maimundu. 16 Na vandu wamaheri wa Israeli watageuzwa kwa nahota Sapanga wavi. 17 Andayara kuurongolu kumihu kwa makota katika roho wa likakala lya Eliya. Awatenda waha ili kurejesha mioyo ya Tati kwa wana, ili kwamba wasiotii wataenenda katika hekima ya wenye naki. Andatenda naha kuvika tayari kw anahota wandu ambao wameandaliwa kwaajili yake." 18 Zekaria akanngolili mahoka,"Nitawezaje kumanya ele? Kwa sababu nenga na ngongoro na nnoara wangu miaka yaki ivili yamaheri sana." 19 Malaika wakamjibu na kunnongolela,"Nenga Gabrieli, ambaye ni yema kuurongolu kwa Sapanga. Akandumiti kukurongelera, kukuletera habari hii njema. 20 Na rora wirongera ndeka amavya muntu. anauwesa ndeka mpaka siku ile miharu eye piipara kupitira. Hii ni kwa sababu ulishindwa kuamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati mwafaka." 21 Hinaha wandu wakavili winenderera Zakaria wakungisi kwamba akavili itumia muda wa maheri hekaluni. 22 Lakini pakapititi panja awesindeka kurongera nao. Wakatambua kwamba akavili apatiti maono pakavili hekaluni. Akaendelii kurangili ishara wa kulighara nu. 23 Ikapitiri kwamba siku za huduma yake pakayo mwiki avawukili kuhimila uakaya kwaki. 24 Baada ya Zakaria kukimila ukaya kuhuma kwenye huduma yaki hekaluni, nnara wake akavi mjamzito naye awokitiye ukaya mwake kw amuda wa myehi uhano. Akarongiri, " 25 Hili na lilo ambalo Bambu atenditi kwa nenga pakalirola kw aupendeleo ili kuiwoha honi yangu kuurongoru kwa wandu." 26 Hinaha katika mwehi wa sita wa ndumbu ya Elizabethi, Sapanga akannongolili malaika Gabrieliu kuyara kumusi wa Galilaya wivikema Nazarethi, 27 kwa bikra ywakavili ameposwa wa mng'osi ambaye lihina lyake lyakavi Yusufu yweni akavili rukolo lya Daudi na lihina lya bikra lyavili Mariamu. 28 Akawuyiti kwa yweni na akarongili," Salamu wenga uupokiri neema kuu! Bwana amependezwa naye." 29 Lakini miharu ya maika ihangahini sana wa hakuelewa kwa nini malaika akarungiri salaam hii ya ajabu kwake. 30 Malaika akannongoli," Kotokutira Mariamu, maana upatili nehema kuhuma kwa Sapanga. 31 Na rora randaugwegha nchumbu katika rutumburwa na upap mwana nawe andamkema lihina lyake Yesi' 32 Anavyo mkuu na ataitwa mwana ywavili kunani sana. Bambu Sapanga andampera kiti cha enzi cha Daudi tati waki. 33 Andatawala kunani ya rukolo nwa Yakobo milele na ufalme wake vivyendeka na mwisu. 34 Mariamu akanongolili malaika ele andalipitira kwa namuna ghani, maana sijawahi kughoroka na ghosi ywoha yora? 35 Malaika akajibwiti na akannongoli,"Roho ntakatifu andakuwuyirayi kunani yako na likakala lya ywavili kunani sana andaiwuya kunani kwa wenga. kwa hiyo ntakatifu ywipara kuzaliwa andawankema mwana wa Sapanga. 36 Na rora, nnongo waku Elizabethi avina ndumbu ya mwana kwenye umri wake wa ughoghoro. Ogho ni mweni wa siota kwa yweni, ambaye akavili ti mkema mgumba. 37 Maana livindeka lilisunduka kw aSapanga." 38 Maria akarongiti," rora, nenga ni utumisi wa nnara wa bambu ireka myeghi hivyo kwa nenga sawasawa na ujumbe wako." Kisha malaika akannekiti. 39 Ndipo katika siku hizo Mariamu akawokiti wa kwa mangupa akayawili dhayawiri katika rehema wa vilinda kwenye mji katika nnema wa yuelewa. 40 Akayawili ukaya kwa Zekaria na akannya mkwisi Elizabethi. 41 Hinaha, payajkapiliu kwamba Elizabethi pakayohi ni salamu ya Mariamu, mwana munitumburwa ahombiti na Elizabethi akajazwa wa Roho mtakatifu. 42 Akapaza lilowi lyake na kurongera kwa lillowi likuu," Umebarikiwa wenga zaidi miongoni mwa wadara mwana ywavili murutumbu lyaku amebarikiwa. 43 Na ivivoli kwanenga kwamba mama na bambu wangu ilipasa awuyi kwa nenga? 44 Kwa kuwa rora pakayahoniki mumasikiru ghangu lilovi lyakusalimia kwaku, mwana murutumbu lyangu akahombiti kwa furaha. 45 Na abarikiwi nnara yora ambaye ywakaamini ya kwmaba ungetokea ukaminifu wa miharu yoha yawamnongolili kuhuma kwa Bambu." 46 Mariamu akarongili, wafasi yangu hamsifu Bambu, 47 na roho yangu ifurihi kwa Sapanga mwakazi wangu. 48 Kwa maana aroriti hali ya pahi ya mtumishi waki imara. Rola ytangu hinaha katika kizazi vyote andawengema mbarikiwa. 49 Kwa mama yweni ywasiti atendili miharu mikorongo kwa nenga, na lihina lyake ni takatifu. 50 Rehema yake idumnu kuhuma kizazi hata kizazi kwa wala wiwinheshimu yweni. 51 Arongili likakala kwa liwoko lyake amewatawanya wale ambao walijivuna kunani kwa mawazo ya mioyo yao. 52 Awahurwili pahi wanawa wafalme kuhma katika viti vyao vya enzi na kuwayi nura kunani walio wa hali ya pahi. 53 Aliwachibisha wenye njkaa kwa vitu vizuri, bali matajiri awawengiti mavoko matopu. 54 Apiliti msaada kwa Israeli mtumishi wake, ilikumbuka kuwesha rehema. 55 (Anda pakarongeragha kwa tati gwitu) kwa Abrahanu na uzao wake milele." 56 Mariamu akkatamiti na Elizabethi yapata muieli mitatu hivi ndipo akakeriwiki ikaya kwake. 57 Hinaha wakati wakavili uhikiti kwa Elizabethi kupata mwana wake na akapatiti mwana ngosi. 58 Jirani zake wa warongo wake wakayuhini jinsi Bambu alivyoiku rehema kwa yweni, na wakafurahi pamonga na mweni. 59 Sass ikapiti siku ya nane kwamba akayuyili mtumishi kumtahili mwana ingeapasa kuukema lihina lyake,"Zekaria."Kwa kuzingatia lihiwa lya tati mundu, 60 Lakini mai mundu akajibu na kurongera,"Hapana ataitwa Yohana." 61 Akamnongalili akavindena hata yumonga katika warongo wake anayeitwa kwa lihina ele." 62 Wakatendiri ishara tati mundu kuachiria yeye akapaliti lihina wankeni ghani. 63 Tati mundu akapariti cha kuyandikira wa akayayandiki," Lihina lyake ni Yohana." Woha wakakangisi na ele. 64 Ghafla mnomo wake ushindwihi wa rulimu lyake ukawa huru. Akarongiri na kumsifu Chapanga. 65 Hofu iwahikiri woha vivitama karibu na veni miharu aye ieni katika nnema woha wa vilima vya Yudea. 66 N awoha wakyohini wakayatunza mioyoni mwao, wakiema,"Mwan oyo wa namna gani? kwa sababu liwoko lya Bambu livili pamonga wa yweni. 67 Tati gwake Zekaria alijazwa Roho utakatifu na akawaliti unabii akarongiri, 68 "Asifiwe Bambu, Chapanga wa Israeli, kwa sababu amesaidia na alishughulikia wokovu kwa vandu vake. 69 Atuyinuli manyeru gha wokovu katika nyumba ya mtumishi wake Daudi, kuhuma miongoni mwa rukolo kwa ntumishi wake Daudi, 70 Andapakongiri kw anywa cha manabii wake wawakavili katika nyakati za kale. 71 Atatuoka kuhuma kwa adui zetu kuhuma mumawoko gha woha vivitudukia. 72 Andatenda naha kuosha rehema kwa tati witu na kukomboka agano lake takatifu, 73 Marapu ghangiri kwa Abrahamu tati witu. 74 Akarapi kuthibitisha kwa iwesekana kuutumikia yire ni bila hofu, baada ya kuokolewa kuhuma katika mawoko ya adui zetu. 75 katika utakatifu na haki kuurongoru yake masiku ghitu ghoha. 76 Ndiyo, na wenga, vikuhema anakii na ywavili kunani sana, mkwa kuwa uwenenda kuurongolu kwa kumihu bambu ili kimwandalia ndera, kuwaandaria wandu kw ajili ya ujio wake, 77 kuwafahamisha wandu waki kwamba andawaokolewa kwa ndela ya kusamehewa dhambi hyavi. 78 Ele andapitira kwa sababu ya huruma ya Sapanga witu sababu ambayo lyuva kuhurumia kunani litiwuyira, 79 kuangaza kwao vivitawa muruvendo na katika uvuli wa mauti. Andatenda nana kughorongoha manungono ghitu kwenye ndera ya amani." 80 Hinaha, yula mwana andavyakuwa nkora likakara rohoni na akatamiti mumbugha mpaka siku ya kupitira kwake kwa Israeli.