Kihongi 1

1 Mwanzo pakavile wa uharu, na uharu wakavipamonga wa Sapanga, uharu wakari Sapanga. 2 Ogho uharu mwanzo wakari pamonga wa sapanga. 3 Irewe hyoha yakanyiki kupetera yweni na sanga yweni kivindeka watu kireve kunionga kyakavi ndeka kikitendeka. 4 Nkati wakavili uzima wa ogho uzima wakati nuru ya wanadamu woha. 5 Nuru yang'aa parurendo wala ruvendo ruhi niki ndeka. 6 Pakavi na mundu aliyetuma kuhuma kwa sapanga, ambaye kilima lyaki akavili Yohana. 7 Akawoniti anda shahidi kushuhudia kushuhudia kushuhudia kuhusu yera huru, ili kwamba woha wawese kwamini kupetera yweni. 8 Yohana akavindeka yakavi nuru ya kweli ambayo yakavi ashuhudie kuhusu ile nuru. 9 Hivyo yakavi nuru ya kweli ambayo yakavi iwuya katika dunia nayo humtia nuru kila yumonga. 10 Akavi katika dunia na dunia ili wambwa kupetera yweni na dunia yakammanyiti ndeka. 11 Akawuyiti kwa irene hyaki, na wandu waki wakampoki ndeka. 12 Bali kwwa vara wamaheri wawakamponiri ambao waliamini lihina lyaki, kwa hao akawaperi haki ya kuwa wana wa Sapanga, 13 ambao wakawoniki, sio kwa myahi wala kwa mapenzi ya mundu bali kwa Sapanga yweni. 14 Naye uharu akafanyiki mwili wa akaishi miongoni mwetu tuuweni utukufu waki, utukufu kama mundu pekee wa kipee ywaka wayiti kuhuma kwa Tati atweti neema na kweli. 15 Yohana alishuhudia kuhusu yweni na akapaza lilovi akarongiri habari hyaki nikisema ,"Yula ajaye baada yangu ni wahota kuliko nenga kwa sababu amekuwako kabla yangu." 16 Kwa kuhuma katika utimilifu waki twenga twawona tumpokiri yayi kipawe baada ya kipawa. 17 Kwa kuwa sheria iletwa kupetera Musa, neema wa kweli vakawuyiti kupetera Yesu Kristo. 18 Hakuwa mwanadamu ywamweni sapanga wakati wowore mundu wa -pekee ambaye ni Sapanga, aliye katika kifuko cha Baba, amemfanya yaveveni ajulikane. 19 Na huu ndio ushuhuda wa Yohani wakati makuhani wa walawi waliotumwa kwake wa wayahudi kunkonya wawaghani?" 20 Bila kusitasita na akanitendeka bali akajibwili nenga sio Kristo." 21 Hivo wakankonyiti ,"Kwa hiyo wenga ni ghani?" Wenga ni Eliya? akarongalili,"Nenga siye." Wakaronga, wenga ni nabii? Akajibwite," Ndeka." 22 Kisha akanongalili," wenga wa ghaniili kwamba tuwape njike walotutma wajishuhudieaje wenga wamweni?" 23 Akarongalili, nenga lilove lyake ywa avi nyikani inyosheni ndera ya Bwana hambuka nabii Isaya pakarongili." 24 Basi wakavina na vandu watumwiti para kuhuma kwa mafarisayo wakankonyiti na kurongera, 25 "Kwa niki wababatisa kama wewe sio Kristo wala Eliya wala nabii?" 26 Yohana akawajibwite akarongiri,"Ninabatiza kwa masi.Hata hivyo miongoni mwetu iyema mundu ywanga kuutambura. 27 Oyo ndiye ywiya baad aya nenga, "Nenga sistahili kulegeza ruwoyi rwa iratu hyaki." 28 Mihalu eye yatendeki oko Bethania, ng'ambo ya Yordani, mahali ambapo Yohana alikuwa akibatiza. 29 Siku yafatitu Yohana akamweni Yesu andawuyiti kwa mweni akarongiri,"Rora mwanakondoo wa Chapanga atole zambi ya ulimwengu! 30 Nenga ndiye wakarongiri miharu yaki wakarongiri,"Ywaha yipara kuwuya kunyuma yangu ni mkuu kuliko nenga , kw akuwa akavi kabla ya nenga.' 31 Nakamanyiti ndeka yweni lakini ilifanyika hivyo ili kwamba afunuliwe katika Israeli, nakuwuyiti kubatisa kwa masi." 32 Yohana akashuhudia,"Nakamweni Roho ihuruka kuhuma kumbinguni mfano wa hua, na yakaghahiri kunanio yake. 33 Nenga nakamnyilindeka lakini yweni ywandandumitiili nibatize kwa masi akamwongalili yera ambaye anda urora Roho piihuruka na kutama kunani kwaki oyo ndiye ywibatisa kwa Roho matakatifu.' 34 Noliti na nimeshuhudia kwmaba oyo ni mwana wa Sapanga." 35 Kavele siku iifatiti Yohana akavili ayemiti pamonga na wanafunzi waki wawili. 36 Akamweni Yesu ityango na Yohana wakarongiri rora mwana la limerere wa sapanga!" 37 Wanafunzi wawili wakayohini Yohani wakarongili agha wakamfatiti Yesu. 38 Kavele Yesu akapendiki wa kuwaona wanafunzi wake vifuata na kavarongalili,"Mwipara niki? wakankonyiti,"Rabbi( maana yake mwalimu,' witama kogha?" 39 Akawarongalili,"Mwinyi n annole." Kisha wakayawili na kurora mahali pakatamanya, wakatamili pamonga na yweni siku hiyo kwa kwa yakavili yapata kama saa kumi naha. 40 Mmoja wa wala wavele wawakanyohini Yohana irongera na halafu kumfata Yesu akavi ni Andrea, nnongo wake Simoni Petro. 41 Akamweni mmongo wake Simoni wa akanongali,"Tumpatiti masihi( ambayo inatafsiriwa Kristo). 42 Akanetili kwa Yesu Yesu akannoliti wa akarongiri wenga ni Simoni mwana wa Yohana wiwukema Kefa," Maana yake Petro) 43 Siku yayakafatitu wakati Yesu pakaparakuwoka kuyara galilaya akampetiti filipo na akammongaliti uvuwati nenga." 44 Filipo akavi ni mwenyeji wa Berthsaida musi wa Andrea na Petro. 45 Filipo akampatiti nathanaeli na kunongelela tumpatiti yora ambaye Musa akayandiki habari yake katika sheria na manabii Yesu mwana wa Yusufu kuhuma Nazarethi. 46 Nathanaeli akanongalili,"Je kirevi chema kiwesa kupitira Nazareti? Filipo akanongalili wuya na uroli." 47 Yesu akamweni Nathanaeli iwuya kwa yweni na akarongili ,"Rora, mwisraeli kwelikweli asiye na ufdanganyifu nkati mwaki!" 48 Nathanaeli akanonongalili,"Umanyiti wuli nenga? Yesu akajibwili na akamnongalili, kabla Filipo anakukemaye pakavya pahi ya libeki nikakuvyeni." 49 Nathanaeli akajibwite,"Rabi wenga u wana wa Sapanga wenga ni mfalme wa Israeli" 50 Yesu akajibwite akamnongalili kw asababu nikongoli nikuwene pahi ya libeki Je wiamini? andaurola matendo makoronga kuliko agha." 51 Yesu akarongili,"Amini, Amini ninongelera andaa mwiwona mbingu itindira na kuwaona malaika vikwera wa kuhuruka kunani ya mwana wa Adamu."