1 Sasa katika kanisa la Antiokia, palikuwa na baadhi ya manabii na walimu. Walikua Barnaba, Simeoni (aliyeitwa Nigeri). Lukio wa Kirene, Manaeni( ndugu asiye wa damu wa Herode kiongozi wa mkoa), na Sauli. 2 Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu alisema, "Niteengeeni pembeni Barnaba na Sauli, waifanye kazi niliyo waitia." 3 Baada ya Kanisa kufunga, kuomba, na kuweka mikono yao juu ya watu hawa, wakawaacha waende. 4 Kwa hiyo Barnabas na Sauli walimtii Roho Mtakatifu na walitelemka kuelekea Seleukia; Kutoka huko walisafiri baharini kuelekea kisiwa cha Kipro. 5 Walipokuwa katika mji wa Salami, walilitangaza neno la Mungu katika Masinagogi ya Wayahudi. Pia walikuwa pamoja na Yohana Marko kama msaidizi wao. 6 Walipokwenda katika kisiwa chote mpaka Pafo, walikuta mtu fulani mchawi, Myahudi nabii wa uongo, ambaye jina lake lilikuwa Bar Yesu. 7 Mchawi huyu alishirikiana na Liwali Sergio Paulus, aliyekuwa mtu mwenye akili. Mtu huyu aliwaalika Barnaba na Sauli, kwa sababu alihitaji kusikia neno la Mungu. 8 Lakini Elima "yule mchawi" (hivyo ndivyo jina lake lilivyo tafsiriwa) aliwapinga; alijaribu kumgeuza yule liwali atoke kwenye imani. 9 Lakini Sauli aliyeitwa Paulo, alikuwa amejazwa na Roho Mtakatikfu, akamkazia macho 10 na akasema "Ewe mwana wa Ibilisi, umejazwa na aina zote za udanganyifu na udhaifu. Wewe ni adui wa kila aina ya haki. Hautakoma kuzigeuza njia za Bwana, zilizonyooka, je utaweza? 11 Sasa tazama, mkono wa Bwana upo juu yako, na utakuwa kipofu. Hautaliona Jua kwa muda" mara moja ukungu na giza vilianguka juu ya Elimas; alianza kuzunguka pale akiomba watu wamwongoze kwa kumshika mkono. 12 Baada ya liwali kuona kilichotokea, aliamini, kwa sababu alishangazwa kwa mafundisho kuhusu Bwana. 13 Sasa Paulo na rafiki zake walisafiri majini kutoka Pafo na wakafika Perge katika Pamfilia. Lakini Yohana aliwaacha na kurudi Yerusalemu. 14 Paulo na rafiki yake walisafiri kutoka Perge na wakafika Antiokia ya Pisidia. Huko walikwenda katika sinagogi siku ya Sabato na kukaa chini. 15 Baada ya kusoma sheria na manabii, viongozi wa sinagogi aliwatumia ujumbe wakisema, "Ndugu, kama mnao ujumbe wa kutia moyo watu hapa, semeni" 16 Kwa hiyo Paulo alisimama na kuwapungia mkono; alisema, "Wanaume wa Israeli na enyi mnao mtii Mungu, sikilizeni. 17 Mungu wa hawa watu wa Israeli aliwachagua baba zetu na kuwafanya watu wengi walipokaa katika nchi Misri, na kwa mkono wake kuinuliwa aliwaongoza nje yake. 18 Kwa miaka arobaini aliwavumilia katika jangwa. 19 Baada ya kuyaharibu mataifa saba katika nchi ya Kaanani, aliwapa watu wetu nchi yao kwa urithi. 20 Matukio haya yote yalitokea zaidi ya miaka mia nne na hamsini. Baada ya vitu hivi vyote, Mungu aliwapa waamuzi mpaka Samweli Nabii. 21 Baada ya haya, watu waliomba mfalme, hivyo Mungu aliwapa Sauli mwana wa Kishi, mtu wa kabila la Benjamini, kuwa mfalme kwa miaka arobaini. 22 Kisha baada ya Mungu kumuondoa katika ufalme, alimwinua Daudi kuwa mfalme wao. Ilikuwa ni kuhusu Daudi kwamba Mungu alisema, 'Nimempata Daudi mwana wa Yese kuwa mtu apendezwaye na moyo wangu; ambaye atafanya kila kitu nipendacho.' 23 Kutoka kwenye ukoo wa mtu huyu Mungu ameiletea Israeli mkombozi, Yesu, kama alivyoahidi kufanya. 24 Hili lilianza kutokea, kabla ya Yesu kuja, Yohana kwanza alitangaza ubatizo wa toba kwa watu wote wa Israeli. 25 Naye Yohana alipokuwa akimalizia kazi yake, alisema, 'Mwanifikiri mimi ni nani? mimi si yule. Lakini sikilizeni, ajaye nyuma yangu, sisitahili kulegeza viatu vya miguu yake.' 26 Nnongo,bhanabha lukolo lwa Ablahamu,na bhala ambao katiinjhino mwabudu Chapanga,nikwajilinjhito kwamba ujumbe ghune wa ukombozi bhautumite. 27 Kwa bhalabhabhishi Yerusalemu,na bhatawala wabhe,bhakammanyite njhii kwa uhalisia,na wala bhakaumanyitenjlie ujumbe wa manabii ghwausomwa kilasabato,kwahiyo bhakakamilishe ujumbe wamanabii kwa kumuhukumu kuwegha Bhambo. 28 Japakuwa bhakapatitenjhe sababu nzuri kwa kunkhoma ndani yake,bhakamwombite pilate ankhome. 29 Pabhakanjhomwile mamboghoa,ghabhakanjhandike kuhusu sujwene,bhakauhelie kuhuma nuikhongona kughoneka mulikabuli. 30 Ila Chapanga akafufwie kuhuma wafu. 31 Akabhonikine kwamachubha ghamahena kwabhala bhabhanjha mbhwile pamonga najho kuhuma Galilaya kuelekea Yerusalemu.bhando abhaliaa nimashahidi bhabhandu. 32 Hinu tubhaletela habalinjema kuhusu ahadi yaphakapeile akahokobhito. 33 Chapanga akabhekite ahadi yhenukwite,bhana bhabhe,katika lyene akamfufwie bhambo na kumunjhicha kabhena katika uhai.Lenupia bhakanjhandee katika Zaburi ya pili.wenga nimwanawango,leleminatetewako' 34 Pia kuhusu ukweli ni kwamba akafufwie kuhuma wafu ili kwamba mbhelewake usihalibike,alonginae chanimbhekhehe utakatifu na balaka halisi za Daudi' 35 Njhinji ndosababu akalengi pia katika zaburi njhengine,'Chankhanakia nd-hakatifu wako kuubhona uozo.' 36 Kwakuwa baada ya Daudi kutimika mapenzi ya Chapanga katika kizazi chake,akagholwikembhakaghonike,pamonga na akatate bhake,na makambhweine uhalibifu, 37 Ila njhwabhakafufwie na Chapanga akaumbhweinenhi uharibifu. 38 Hivyo ifahamike kwino,akalengo,kup-hetela mundo njhone,msamaha wa dhambi utangize. 39 Kwanjhwene kilanjhwamini ihesabila haki na mambo ghwa ghashelia ya musa ngaimbhatinjhe haki. 40 Hivyo basimmbhe maangalifu kwa kil-hebhe cha bhalengile manabii kikota kuhuni kwino: 41 'Nolakea,makanghuta mamizalau,na makashangae na mikaanganie;kwasababu nihenga mahengo katika,machubha ghino,mahengo ghamichindwa kuamini,hata kana mundo chanongalela.'' 42 Wakati Paulo na Barnaba pabhakabhukite,bhandobhakanhupite bhalengele malonjeagha machubha gha sabato ijayo. 43 Wakati mkutano wa Sinagogi pabhaka njhomokile,wayaudi bhamahena na bhawange thabiti bhakafatile Paulo na Barnaba,bhakibha bhakalonginabho na bhakahimize bhaendelee katika neema ya Chapanga. 44 Sabato njhapambele,katibu muchewoa ukakusanyike kunjhwa neno la Chapanga. 45 Wayahudi pabhakilela makonganiko,bhakabhina wivu,na kulengela maronje gha kuphenga ilebhe yailengalike na Paulo nabhakannighite. 46 Ila Paulo na Barnaba bhakalengile kwaujasili na kulongee,''Yakabhiimuhimu kwa uhwalo wa Chapanga ulengeleke kwazakwino.Kwa sababu milikanga kutale kuhuma kwino nakujibhona kuwa mitakwiwanjhe kubhena ghume wa milele,mikilelakea chatinghalambukila Mataifa. 47 Kama chaibhi bhambo Chatiamuru,pailengele,Nimbhekite manghula kana nuru kwa bhando bha mataifa,kwamba makate mabhanga kwa pande hyowa yadunia.'' 48 Mataifa paghakanjhuline l-hend-he bhakahangine na kusi uhale wa Bhambo.mahena bhabhikahaghuliwe kwa ghume ghwa milele bhakaamini. 49 Uhalo wa Bhambo wakatangachike nchimyoa. 50 Ila wayahudi waliwasii bahhakibhuite na bhakaikheghe muhimu,pia na akaiongozi bhanyi.Agha ghichochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na bhakataghite panja njhamipaka ya mji. 51 Ila Paulo na Barnaba bhakakughwinde lutukunda lwa maghole ghabhe alafu bhakanhambwii kumjii wa Ikonia. 52 Na bhanafunzi bhakatwelie na fulaa pamonga na Roho mtakatifu.