1 Naveleketa kwamba kwa kuwa mrithi ni mwana,hangali tofauti na mtumwa,mkali iwaga ni mmiliki jwa mali yowe. 2 Badala yake,pali pai ja waangalizi na wadhamini mpaka muda guvishilwe na awawa yake. 3 Mnepeila mkali uwe,putwaliji wana,tuishiku kamulilwa katika utumwa gwa kanuni ya kwanza ya ulimwengu. 4 Lakini muda sahihi puguishe,Mnungu ashikumtuma mwana jwake,avelekwa na jwandonya,avelekwe pai ja sheria. 5 Ashi kutenda mnei ili kwa jombalanga vevala valinjinji ja sheria,ili kwamba tuposhele hali ja wa mbuti wana. 6 Kwasababu mmanganya ni wana,Mnungu ashikumtuma Roho jwa mwanangwe mnyumba ja mitima jenunji,Roho ashemwaga,''Abba,Baba.'' 7 Kwa jene sababu ji mmwe mngaa mmatumwa tena bali mwana.Kama ni mwana,bai mmwe mnepeila ni mmarithi kupilila Mnungu. 8 Hata kabla ,muda guka mmanyangaga Mnungu,Mchikuwanganya watu mwa kwa vevala ambao kwa asili mngaa miungu kabisa. 9 Lakini lelo mnikummanyanga Mnungu,au kwamba mnimanyikananga na Mnungu,kwa indi mnaujanga tena ku kamuni dhaifu ya kwanza na ingali ya thamani?Je mnapinganga mmanganje watumwa tena? 10 Mkamulanje kwa uangalifu lyuva maalumu,kuandama kwa miei,majira na yaka.Najigipa kwa ajili jenunji. 11 Najogopa kwamba kwa namna fulani nji kwianganisha gayoyo. 12 Nakumgusianga,ashapwanga,mmanganje mbuti puni,kwa mnepeila puni mbuti pumninginji.Mwangangoseanga. 13 Bali mmumanyinji kwamba ishi kuwa ni kwa sababu ja ugonjwa gwa shilu kwamba njikutangasha ionjili kwenunji kwa mara ja kwanza. 14 Ingawa hali jangu ja shilu jishi kummikanga katika majaribu,mwanganizalaunji au kungana.Badala jake mchi kumboshelanga kama malaika wa Mnungu,na kwamba njikwa Krsto mnyene. 15 Kwa mneyo,kujili kwei furaha jenunji?Kwa kuwa nashuhudia kwenunji kwamba,iwezekanaga,mkatutumbwilenje meyo genunji na kumba mne. 16 Kwa mneyo lelo,Je njiva adui venunji kwa sababu na kummalanjilanga ukweli? 17 Wana kumnoleyanga kwa hamu,bali mngaa kwa wema.Vanapinganga kumtenganishanga mmanganya na mne ili mwakagulanje. 18 Ni vizuri daima kuwa na hamu kwa sababu ili yuammbone,na mngape muda gunguwa pamo na mmanganya. 19 Wana wangu wawashiki,nalwala uchungu kwa ajili jenunji tena mpaka Kristo aumbwe mnyumba jenunji. 20 Ngapinjile kwa pepala na mmanganya na kulingeuza lisauti lyangu kwa sababu njikola wasiwasi juu jenunji. 21 Mmalanjilanje,mmanganya ambao mnatamani nji kuwa pai ja sheria,mkapili kananga sheria pujiveleketa? 22 Kwa kuwa ishijandikwa kwamba Abrahamu ashikukola na wana wa shileu vavili jumo ni jwa jwejula mwanamke mtumwa na jina ni jwa mwanamke huru. 23 Mkali mneyo jwejula jwa mtumwa ashikuvelekwa kwa shiilu pe,bali jwe jula jwa mwanamke huru ashikuvelekwa kwa ahadi. 24 Aga mambo ga ganaweza kuelezwa kwa kutumia mfano,kwa kuwa awa wanawake vanalandananga na maagano gawili .Limo kushoka katika shitumbi sinai kukola vana ambao ni watumwa.Hajui ni Hajiri. 25 Lelo Hajiri ni shitumbi guli Arabuni.Gunalandangwa na Yerusalem ja nneino,kwa kuwa ni mtumwa pamoja na wana vake. 26 Bali Yerusalemu ambajo jili kunani ni huru,na jeneji ndio mama jetu. 27 Kwa kuwa jishijandikwa,''Mfurahi,mmwe mmandonja mkakola.Mchoye lisauti na mkome nyenye kwa furaha,mmwe ambaye mmangali uzoefu gwa kola.Kwa maana ambaye vavajinji ni vana valinginji tasa,zaidi ja vevalanji va jwejula akwete jwashileu.'' 28 Lelo ashapwanga,kama Isaka,mmanganya ni wana wa ahadi. 29 Kwa gwegula muda ambao mundu ambaye ashikuvelekwa kwa mujibu gwa shiilu ashikumtesa jwejula avelekwe kwa mujibu Roho.Kwa mneino ni mnepeila. 30 Maandiko ganaveleketa,'Mumchoyanje mwanamke mtumwa pamoja na mwana jwakwe jwa shileu.Kwa kuwa mwana jwa mwanamke mtumwa akarithi pana mwana jwa mwana mke huru.'' 31 Kwa mneyo,mpwanga,uwe mngaa ni wana wa mwanamke mtumwa,bali ni wa mwanamke huru.