1 Baada ja yaka kumi na me njikwenda tena Yerusalem pamoja na Barnaba.Alafu njikumtola Tito pamoja na mne. 2 Njikwenda kwa sababu a Mnungu vashikwidhihirisha kwangu kwamba njikupingwanyende.Njikuwika mmujo jaoni injili ambayo njikutangaza kwa wanduji wa mataifa.(Lakini njia kuveleketa kwa siri kwa walugwilwenje kuti viongozi muhimu).Njikutenda mnei ili kuhakikisha kwamba ngautukaga,au njikuutuka givayoyo. 3 Lakini mkali Tito,alijipamo na mne,aliji Myunani,ashikulazimishwa kung'andwa. 4 Ali lijamboli lishikukoposhela kwasababu ja ashopwanga wa unami wajilenje kwa siri kupeleleza uhuru gutwa kwete katika Kristo Yesu.Vashi kupinganga kutulenda uwe watumwa wa sheria. 5 Twanga ishoya kwa heshimunji wala kwa lisaa limo,ili kwamba injili ja kweli jiigale bila kubadilishwa kwenunji. 6 Lakini wewala walugwilenje kuti vashikuwanganga viongzoi,vanashanjilanga shashowe kwangune.Shoshoowe shivatendangaga shangakola maana kwangune.Mnungu haka kubali upendeleo gwa wanadamu. 7 Badala jake, Vashikumunanga kwambanjiaminiwa kujitangaza Injlikwa wewala ambao wanangandwaga. Ishikiwa kama Petro atangaze injili kwa vangandilwenje. 8 Kwa maana a Mnungu,uashi kutenda liengo ndani jika petro kwa ajili ja utume kwa wewa la wang'a ndilwenje,alafu vashi kutenda liengo mnyumbajangu kwa wandu wa mataifa. 9 Wakati Yakobo,kefa,na Yohana,Vashi kumanyikanga kuti vashi kushenganga kanisa,Vashikujimanyanga neema jimbegwile mne,vashikutuposhelanga katika ushirika mnena Barnaba.Vashikutenitanga mnei ili kwamba wakombolanje kwenda kwa wewala wang'andilwenje. 10 Alafu vashikupinganga uwe twakumbukanje masikini.Na mnepeila njikutamani kulilenda ali lijambo li. 11 Muda kefa gwaaishe Antiokia,njikumbisha waziwazi kwa sababu ashikukosea. 12 Kabla ja wandu kadhaa kwia kushoka kuka Yakobo,kefa atendega lya pamo na wandu wa mataifa.Lakini awa wandunje puvaikengenenje,ashikueleka na kujaula kushoka kwa wandu wa mataifa.Atendajogopa wandu ambao vatenda pinganga tohara. 13 Mnepile wayaudi wananji vashikuungananga na unafiki guu pamoja na kefa.Matokeo yake gashikuwa kwamba hata Barnaba ashikutolwa na unafiki gwawonji. 14 Lakini pumweni kwamba vakakagulangaga ijili ja kweli,njimku malanjila kefa mbele ja wowenji mwanaga mmanganya ni waijahudi mnata manga tabia ya wandu wa mataifa badala ja tabia ja kiyahudi,kwa indi mnakwalazimishanga wandu wa mataifa kutama kama wayahudi?'' 15 Uwe ambao ni wayahudi wa welekwa na mngaa''Wandu wa mataifa tukwete dhambi'' 16 muumanye kwamba jwakwa ahesabiwa hakikwa matyendo ga sheria.Bada la jake wanahesabiwanga haki kwa imani mnyumba jika Yesu Kristo.Tushikwia kwa imani ndani ya Kristo Yesu ili kwamba tunahesabiwa haki kwa imani mnyumba jika Kristo na mngaa kwa matendo ga sheria.Kwa matendo sheria shakwa shiilu shipinga hesabiwa haki. 17 Lakini mbuti putu kumnolea mnungu kwa kutuhesabu haki ndani ya Kristo,tunakwimana tuvayene mnepeila kuwa tushikola dhambi,Je Kristo ashikutendwa mtumwa jwa shambi?Mngaa mneyo! 18 Maana njengaga litegemeo lyangu ja kutunza sheria,litegemeo ambalo nalishoshie,na na kwilanguya nemwene kwa mvunja sheria. 19 Kupitila sheria njikuwa kwa sheria,kwa mneyo napingwa kutama kwa ajili ja Mnungu. 20 Njiteswa pamo na Kristo.Mngaa mne tena mbgutama,bali Kristo anatama Mnyumba jangu.Maisha gungutama katika shiilu natama kwa imani mnyumba ja Mwana jwa Mnungu,ambaye ashikumbinga na shikwishoya kwa asjili jangu. 21 Nga kujikana neema ja Mnungu,maana kama haki japali kupitiliza sheria,bai Kristo akaliji awile gayoyo.