1
Ndipo Festo gwajingile katika jimbo lyenelo na baada ya mova gatatu ashikwenda kushoka kaisaria madi Yerusalemu.
2
Kuhani mkuu na wayahudi Mashuhuri vashikwiyanago shutuma dhidi ya Paulo kwa Festo,na vashikukaunuka kwa nguvu kwa Festo.
3
Na washikumjunga Festo fadhili juu ya habari za Paulo apate kumshema Yerusalemu ili wakombole kummulaga mumpanda.
4
Lakini Festo ashikujangula kwamba Paulo ashikuva mfungwa katika kaisaria,na kwaumba jwenejo mmwene shauje kweneko haraka.
5
Ashikulugula,kwa nneyo vevala ambao wanakombola kwenda kweneko na uwe.Kama kuna shindu shibaya kwa mundu jweneju,mnapaswa kumshutaki.''
6
Baada ja tama mova nane au kunu zaidi gwanjile kaisaria.Na mova gofuete ashikutama katika kiti cha hukumu na kuamudu Paulo aletwe kwake.
7
Paishile Wayahudi kushoka Yerusalemu guvaji milenye tome,guvashoshi yenje mushtaka gamagwinji gatopa ambayo wangakombolanga kuyathibitisha.
8
Paulo ashikuitetea na kulugula,si dhidi ya lina lya Wayahudi;Si juu ya hekalu na si juu ya kaisari,njitenda mabaya.'
9
Lakini Festo ashikupinga kuipendekeza kwa wayahudi,na nneyo gwajangwile Paulo kwa kulugula,Buli unapinga kwenda Yerusalemu na kuhukumiwa na nne kuhusu mambo genega kweneko?'
10
Paulo ashikulugula ninajima mmujo ja kiti cha hukumu cha kaisari ambapo napaswa kuhukumiwa.Sijawakosea wayahudi;malinga pukumanya ugwe.
11
Ikiwa nimekosa na malinga njitenda shindu kinachostahili kifo,ngakana kuwa.Lakini malinga shutuma zao ngava shiindu,jwakwa mundu akombola kunikabidhi kwao.Ninakumjuga kaisari.'
12
Baada ja Festo kukungunika na baraza gwajangwile,''Unakumjua kaisari shiujende kwa kaisari.''
13
Baaada ja mova kadhaa mfalme Agripa na Bernike washikuiya kaisari kutenda ziara rasmi kwa Festo.
14
Baada ja tama penepo kwa mova gama gwinji,Festo ashikuwasilisha kesi ya Paulo kwa mfalme;Gwalugwile,Mundu jumo ashikulekwa penapo na Feliki kama mfungwa.
15
Punaliji Yerusalemu makuhani wakuu na ashambuje wa wayahudi washikwiyamago mashtaka juu ya mundu jweneju kumngwangu,nao vashiku uyangu juu ya hukumu dhidi yake.
16
Kwa lyeneli njikwajangulanga kwamba ngava desturi ja waroma kumshoya mundu kwa upendeleo badala yake,mtuhumiwa anapaswa kuwa na nafasi ya kuwakabili washitakiwa wake na kujitetea dhidi ya tuhuma hizo.
17
Kwa nneyo puvaishilenje pamo nanga kombola kulinda lakini mova gaishe nji kutama katika kiti cha hukumu na kuamuni mundu jwenejo aishe nkati.
18
Wakati washitaki puvajimilenje na kumshitaki njikuganishia kwamba gakwa mashitaka gamakulungwa gaishe dhidi yake.
19
Badala jake vashi kuvanganga na mabishano fulani pamo naye kuhusu dini yao na kuhusu Yesu ambaye ashikuwa,Lakini Paulo analonga kuwa ya nai.
20
Nilikuwa nimefumbwa jinsi ya kuchunguza suala,lyeneli gunimushie kama angeenda Yerusalemu kuchukumiwa kuhusu mambo genega.
21
Lakini Paulo pashemilwe avishwe chini ya ulinzi kwa ajili ya vamuzi wa mfalme,niliamuni avishwe hata pungupinga kumpeleka kwa kaisari.'
22
Agripa ashikukungunika na Festo,Ngunapinjile pia kumpili kanishioa mundu jweneju.''Festo, gwalugwile,''Malavi shiumpilikanishie.''
23
Nneyo malavi gake Agripa na Bernike washi kwiya na sherehe jajigwinji:wa shikuika katika ukumbi na maafisa wa kijeshi na vandu mashuhuri wa shilambo.Na Festo pashoshiye amri Paulo ashikwiya kumngwaonji.
24
Festo gwalugwile,''Mfalme Agripa na vandu vowe ambao yapalinji penepa pamo na ume mnakumwuona mundu jwenenji:Jumuiya yowe ya wayahudi kweneko Yerusalemu na penepa pia washipinga niwashauri,na venevo govagombilenje nyenye kwangune kwamba anaishi.
25
Nakulilola kwamba jwangatenda lyolyo we linalostahili kifo;lakini kwa sababu ashikumshema mfalme,nji kuamua kumpeleka kumngwake.