Sura ye 17

1 Masoba sita baadae Yesu atikwatola pamope naye Petro,na Yakobo,na Yohana nongowe, na atikuwatola mpaka kunani ya kitombe kirefu bembe bene. 2 Atibadilishwa nnonge yabe. Minyo bake wang'aa kati liumu,na ngobo zatibonekana zibile na ng'ara kati bweya. 3 Lola. palo baichile Musa na Eliya longela nakwe. 4 Petro kanyangwa na kummakiya Yesu, "Ngwana, ni vema kwetu twenga tama mahali pano. Mana watamania, naichenga pano vibanda vitatu-chimo chako,na chimo kwa ajili ya Musa, na chimo kwa ajili ya Eliya." 5 Wakati alongela, lola libendo leupe lyapangite kivuli,na lola, mana ipangite lilobe boka mu libendo, lyabaya, "Ayee nga mwana wango mpendwa nakwe. Mumsikilize ywembe." 6 Banafunzi payoine ayo, batombwike kifudifudi na bayogopa muno. 7 Boka po Yesu aichile kuakamwa na baya, "Muyeme kana muyogope." 8 Nao bakakatua minyo zabe kunani lakini bamweni lii mundu ila Yesu kichake. 9 Na pabauluke boka pakitombe, Yesu kawagiza abaya, "Kene muitoe habari ya maono ayo mpaka Mwana wa Adamu pa ayoka boka mu kiwo." 10 Banafunzi bake bannaluye, babaya, "Ni kwa namani baandishi babaya kuwa Eliya aicha kwanza? 11 Yesu kayangwa na baya, "Eliya aichile kweli na atarusha makowe yote. 12 Lakini niamakiye mwenga, Eliya ayomwile icha, lakini bandangite lii. Badala yake, bampangie makowe bayataka bembe. 13 Nga nyo nyo Mwana wa Adamu ywateseka katika maboko gabe." Nga nyo banafunzi batangite panga abile alongela habari za Yohana Mbatizaji. 14 Bapaikite katika kipenga sa bandu, mundu yumo ayenda kwake, akapiga magoti nnongi yake, na kummakiya, 15 "Ngwana, umuhurumie mwana wango, mana abile na kifafa na teseka muno. Kwa mana mara yanambone atomboka mu mwoto au mu mache. 16 Ninnetike kwa banafunzi, lakini baweza lii kumponya. 17 Yesu anyangwile, "Mwenga mwa kibeleki chakiaminiya lii na chakiharibike, natama na pamope na mwenga mpaka lini? Navumiliana na mwenga hata lichuba gani? Nnete pano kwango," 18 Yesu ankemea,na pepo akamtoa. Muiche atikwaponya tangu lisaa lee. 19 Boka po banafunzi baichile kwa Yesu kwa siri na kunnaluya, "Kwa namani twaweza lii kumfukuza?" 20 Yesu kaamakiya, "Kwa sababu ya imani inu njene. Kweli naamakiya, kati mtakuwa na imani hata njene kati punje ya mbegu ya haradari,mwaweza kuumbia nnema wolo,hama boka pano uyende kolo, nao wahama na papangite lii na kilebe chochote cha shindikana kwenu. 21 (Zingatia: Maneno ya mstari wa 21 Lakini,aina yee ya mbepo yawezekana lii boka,ila kwa maombi na kufunga" yabonekana katika nakala bora za kale). 22 Wakati babile bado Galilaya, Yesu kaamakiya banafunzi bake, "Mwana wa Adamu atatiwa mumaboko ga bandu. 23 Na batamvua,na lichuba lya tatu ayoka." Banafunzi batihuzunika muno. 24 Bembe pabaikite Kapernaumu, bandu bakusanyao kodi ya nusu shekeri bamwendea Petro na baya, "Je mwalimu winu alepa kodi ya shekeli?" 25 Abaya, "Elo" Lakini Petro paajingile munyumba, Yesu alongela na Petro kwanza na baya, "Wafikilia namani Simoni? Wafalme wa dunia,upokea kodi au ushuru boka kwa nyai? Kwa balo baatawala boka kwa ageni? 26 Na wakati Petro paabaya, "Boka kwa ageni" Yesu ammakiye, nga nyo watawaliwa bationdolewa katika lepa. 27 Lakini tuiche lii kuwapanga atoza ushuru bakapanga zambi,yenda baharini,tupa ndoano,na umtole yolo omba ywaicha kwanza. Baada ya kumfungua nkanwa wake, utakuta mu nkanwa wake shekeli jimo uitole na uwapeye watoza ushuru kwa ajili yango na wenga.