Ngentseabee 7

1 A baada nama yamua hama Yesu hakamoichana hushonokwa kweya Galilaya,kwako nsokoko akwamosla'ati hakachana uyahudi kwako nsokoko wayahudibii bahaeami elasukwipii thodzo ma llowachane. 2 Atonena sikuku kuwicha Wayahudibii,sikukuko ya Vibada,bahaeakwa kupana. 3 Ndipo ukwate bema kwamehema,''Tsuaya'a yamuanina hama itahaka uyahudi,ili kwamba wanafunzi be'ena bebe'enaeta isel'iya itlekwa hamakwatitaelaha. 4 Hukuwa elahe lolote nena buhiya kweso bami ichinanema slaatiyeya !uyuchana eleana.kwese elasukwa yamua hama,!uyuwehe ichinanena yamuanina.'' 5 A ukwatebe ma kai akwameaminiito. 6 Ndipo Yesu kwamoheta ,tsifibikwa akwami gushika hupipi,lakini tsifibiina kila mara bahipii tayari. 7 Yamua akwesogumusea !iinachana etebe'e, bali !iikwete'e one kwako nsokoko thodzenee'e kuwa itlikwa ma thekeya. 8 Kahate hakacha kwako sikukuko;ono akwenehaka kwa sikukuko hako kwako nsokoko mudakwa akwamogushikera hupeya.'' 9 Baada ma thodzocha yamua bami biitina thaeyamo Galilaya. 10 A hihishinokwa,ukwa tebe'e ma kwame hake'e kwako sikukuko,a bami hakamo,akwe eleana bali nena bibiha. 11 Wayahudibii bahaeami kwakaibii kwako sikuko,a thodzo,''Tumi ikaya?'' 12 Bahaeamo athodzo aso ll'a'anamo emeda puhuna ma.Ichebee thodzowame,''Unu wa /'iehe.''Ichebe'e thodzowame,''ae,lakahape'e emeda.'' 13 A hihishinokwa ukuwa hamakwamothodzo eleana puhu nama nena islihichacho Wayahudi. 14 Kwakwa sikukuuko gushiko ll'aallaa'ana,Yesu kahamo hakacha ipondokanina a kamokutula chechekanuuchona. 15 Wayahudibii kami kwaminikukunya a kamilhodzo,''Kwadzo nsoko tumiko unu hamo tetaeya yamua aso?Akwamo somae ll'ama.'' 16 Yesu kamohicha a kamohicha,thodzokwa ono akwaya onene,bali ni bamieneyo bami hamakwaya /'ukwa. 17 Kweso yeyote slaatiyeya elasukwana slaatima bami,tetaoweya kuhusu thodzoma hama isa !uyuhepe kweya Haine oo isa thodzene'e hi!necha ininina ichinanekwa. 18 Kila thodze hi!nebe'e baminina ichinanema kwaeya ishiiyama ichinanema,bali kila kwae ishiiiya ma bami hamakweya /'uwa,unu hama hamateya,a chikina ma ukuwa elahacha nube'e. 19 Musa akwamokwihina etebe'e sheriako?lakini ukuwa a ichame ll'aanaina elate sheriako.Akwianinatita sla'ati ll'okwaachana? 20 Emeda kamothodzo,''Chokwaetete'e halugube'e.Akwanza sla'ate ll'owenachana?'' 21 Yesu kothodzo a kamoheta,''Elatanoo molemodako ichameko,aetebe'e wainaina kukunyatea kwako nsokoko ma. 22 Musa kihiyetamo toharako (akwe kai hi!niyako kweya Musa,bali nako hi!niyako kwapii bawamibii),a kwako sabatoko mnatahili unu. 23 Kweso unu tatsata toharako kwako tsifikosa sabatoko ili kwamba sheriako ma Musa ikoakwepothohe,Akwia ninateta ofakwa ono kwako nzokoko hihana'a unu iso amayegaehe lokolona kwako sabatoko? 24 Takwete hukumue k'umiina a ll;adzahe bali hukumuete kwako humako. 25 Ichebetata ma hi!necha Yerusalemu kathodzo,''Akweya hamae hamakwapikwaka //'owachana? 26 A che'e'e thodzaweya a'akwanaicha,a akwapiiithodzo ihia puhuna ma,akwisigumuseana kami kwamba !ukuslabii dzanipi humako kuwa hama ni Kristowa wezekanaeya humako? 27 Tetaopii hama unu hi!neyamo tumika.Kristo,dzaya a hishinokwa, ukuwa kwesotetao tumiikaya isohi!one.'' 28 Yesu bamieamo thodze ll'uk'wa ma ipondoka nina,kwamofundishae a kamothodzo,''Etebe'e kwatah!ne.Akwanadza nena nkoloko kwa,bali bami hamakweya/'ukwa huma teya,a akwatetatetaome'e bami. 29 Tetaomene'e bami kwako nsokoko hi!nena'a baminina a /'ukwamo.'' 30 Bahaeami !etipii chiyachana,lakini ukuwa a ichame kweyahukwita ukwa ma puhuna ma kwa nsokoko ishokomo hupieakwa akwakwagushika. 31 Ahushinokwa asobee kweya emeda aminiitame.Thodzowame,''Kristo kwesodza //niiyonayo /'ukwateko asoko kwa ahabekweyaelaheta ununina hama?'' 32 Mafarisayo //neemani emeda kwamothokoko doe yamua hama kusu Yesu,a !ukuslabima makuhani a mafarisayo kami/'u/'u/'ukwa maafusabii ili isichiya. 33 Kamoa Yesu kwamothodzo,''Hupeya baheya muda /'itse bahene gugiyana aetebe'e a bama hakata baminina bami hamakweya /'ukwa. 34 Kwakaokwateta wala akwete/ikwa;nana kwenehaka,akwete tetao.'' 35 Kwako hiyo Wyahudibii kamithokokodzoe bibii ichinanihicha,''Unu hamo hakaya tumiika iba akwegumuseeana /'iyachana?Hkaya kwape.tsatsahe ll'a'anaeta Wayunanibe'e akamofundishaiyeta Wayunanibee? 36 Aku idigabee hama hamakwaya thodzo,kwakaokwateta a'a akwete/'ikwa nana kwenehaka akweteguseana dzachana?'' 37 Yamasa kwapi tsifibi ma shikihe,tsifiyako pakapa'ako sa sikukuuko,Yesu ikamo kamohukwita //'uk'wa kamothodzo,Hahama kweso akene'e a sodza uninina isofa. 38 Yeye aniaminiye mimi, kama maandiko yalivyosema, kutoka ndani yake itatiririka mito ya maji ya uzima." 39 Lakini aliyasema haya kuhusu Roho, ambaye wao wamwaminio watampokea; Roho alikuwa bado hajatolewa kwa sababu Yesu alikuwa hajatukuzwa bado. 40 Baadhi ya makutano, waliposikia maneno haya, walisema, "Kweli huyu ni nabii." 41 Wengine walisema, "Huyu ni Kristo." Lakini wengine walisema, "nini, Kristo aweza kutoka Galilaya? 42 Maandiko hayajasema kuwa Kristo atatokea katika ukoo wa Daudi na kutoka Bethlehemu, kijiji ambacho Daudi alikuwa? 43 Hivyo, pale ukainuka mgawanyiko katikati ya makutano kwa ajili yake. 44 Wengine kati yao wangelimkamata, lakini hakuna aliyenyoosha mikono yake juu yake. 45 Ndipo wale maofisa wakarudi kwa wakuu wa makuhani na Mafarisayo, nao wakawaambia, "Kwa nini hamjamleta?" 46 Maofisa wakajibu, "Hakuna mtu aliyewahi kuzungumza kama huyu kabla." 47 Ndipo Mafarisayo walipowajibu, "Na nyinyi pia mmepotoshwa? 48 Kuna yeyote kati ya watawala anayemwamini, au yeyote wa Mafarisayo? 49 Bali hawa makutano wasiojua sheria - wamelaaniwa." 50 Nikodemo akawaambia (yeye aliyemwendea Yesu zamani, akiwa mmoja wa Mafarisayo), 51 "Je sheria yetu inamhukumu mtu isipokuwa amesikilizwa kwanza na kujua anachokifanya?" 52 Walijibu na kumwambia, "Na wewe pia unatokea Galilaya? Tafuta na uone kwamba hakuna nabii aliyetokea Galilaya." 53 Zingatia: Baadhi ya maneno ya Yohana 7: 53 - 8: 11 hayamo katika nakala bora za kale). Kisha kila mtu alienda nyumbani kwake.