1
Baada ya siku tano, Anania kuhani mkulu, baadhi ya walala na mlongaji imwe kotangigwa Teltulo, wakaita hadya. Wanthu wano wagala mashitaka dhidi kwa gavana.
2
Pauli aho atimalale kulongozi ha gavana, Teltulo akandusa kumshitaki na kulonga kwa gavana, ''kwa sababu yako china amani nkhulu; na kwa maono yankho yogala mageuzi yanogile katika taifa dyetu;
3
basi kwa shukulani zose chohokela kila kinthu kokitenda, Wasalam mheshimiwa Feliki.
4
Lakini sekenikuchokoze zaidi, nokusihi unitegeleze mbuli ndodo kwa fadhila zankho.
5
Kwa maana chipata munthu yuno mkolofi, na kosababisha Wayahudi wose kuasi muiisi. Kaidi ni kilongozi wa madhehebu ya Wanazolayo. (Zingatia: Hanthu ya mbuli ya msitali uno 24:6
6
Na kaidi kageza kuditanga hekalu unajisi hivyo tukamgwila, hauhali mui nakala zinogile za umwaka). (Zingatila: Msitali uno
7
Lisiasi, afisa, keza na akamsola kwa nguvu muimikono mmwetu, hauhali mui nakala za maandiko ya umwaka).
8
Ukimuuza Pauli kuhusu mbuli zino, hata naudahe kujifunza ni kinthu gani chimshitaki.''
9
Wayahudi nao wakamshitaki Pauli, wakilonga kwamba yano mbuli yakala kweli.
10
Liwali ahoamuingile mkono ili Pauli alonge, Pauli alijibu, ''Nomanya ya kwamba kwa miaka mingi kukala mwamuzi wa taifa dino, na nina seko kujieleza mwenyewe kumwako.
11
Kodaha kuhakikisha kuwa hazifosile siku zaidi ya kumi na mbili tangu nikwelile kwita kuabudu Yelusalemu.
12
Na wanithinkhile muna hekalu, sibishane na munthu yeyose, na sitendile fujo muna mkutano, wala muna masinagogi wala mgati ya mji;
13
na wadya hawadaha kuhakikisha kumwako mashitaka woyashitaki dhidi yangu.
14
Ila nokili dino kumwako, ya kwamba kwa nzila idya ambayo woitanga dhehebu, ka nzila hiyo hiyo nomtumikila Mulungu wa tati zetu. Nie ni mwaminifu kwa yose yauko mui shelia na maandiko ya walotezi.
15
Nina ujasili udya udya kwa Mulungu ambao hata hao nao wougozela, kwiza kwa fufulo wa wefile, kwa wose wenye haki na webule na haki pia;
16
na kwa dino, notende sankhani ili niwe na dhamila yabule na hatia kulongozi ha Mulungu na kulongozi ya wanthu kufosela mbuli zose.
17
Lelo baada ya miaka mingi niza kugala msaada kwa taifa dyangu na zawadi ya fedha.
18
Nitendile vino, Wayahudi fulani wa Asia wakaninthikana mgati ya shelehe ya utakaso mgati ya hekalu, bila kundi da wanthu wala ghasia.
19
Wanthu ambao iwapasa kuwapo kulongozi yako sambivi na walonge kila wawilenacho kuchanya mmwangu gesa wana mbuli dyodyose.
20
Au wanthu wano wenyewe na walonge ni kosa dilihi wadionile kumwangu ahonitamalale kulongozi ha balaza da kiyahudi;
21
isipokuwa kwa ajili ya kinthu kimwe nikilongile kwa lwangi ahonitimalalile mgati mmwao,' ni kwa sababu ya ufufulo wa wefile mweye monihukumu.''
22
Feliki kakala katalifiigwa goya kuhusu nzila, na akauahilisha mkutano. Akalonga, ''Lisia jemedali ahoeze hasi kulawa Yelusalemu nanilave maamuzi dhidi ya mashitaka yenu.''
23
Ndipo akamwamulu akida amlinde Pauli, ili awe na nafasi na hata sekeaweaho munthu wakuwalola mbuya zake sekewamsaidile wala wasimgendelele.
24
Baada ya siku kadhaa, Feliki akabwela na Dlusila mkake akalile Myahudi, akatuma kumtanga Pauli na akategeleza kulawa kumwake habali za imani mgati ya Kilisito Yesu.
25
Ila Pauli akalile akijadiliana naye kuhusu haki, kuwa na kiasi na hukumu naize, Feliki akapantha hofu akajibu, ''genda kutali kwa sasa, ila nikipantha muda kaidi, nanikutange.''
26
Muda huo huo, kategemela kwamba Pauli naamwinkhe fedha kwa hiyo akamtanga mala nyingi akalonga naye.
27
Ila miaka miidi ifosile, Polkio Festo akawa Liwali baada ya Feliki, ila Feliki akalonda kujipendekeza kwa Wayahudi, hivyo akamleka Pauli hasi ya uangalizi.