Sura 1

1 Paulo mtumwa wa Yesu Kristo kwa mpenzi ya Mrungu na Timotheo ndungu yetu. 2 Kwa aumini na ndugu aaminifukwa Kristo makakalevo Kolosai, neema ikale kwenu na amani kudumu kwa Mrungu Papa yetu. 3 Natidinye shukuranikwa Mrungu Papa wa Bwana wetu YesuKristona tikwaombea mara kwamara. 4 Tigua imani yenyu Yesu Risto na upendo mnago kwa araonde mategwa kwa ajili ya Mrungu. Mna upendo oyu kwasababu ya ningu tarajia uhakika wahifadhiwa kwa Mrungu kwa ajili yenyu. 5 Mwauwakuhusu taraja eso ya uhakika kabla nenola kweli injili, ambayo isasa kwenyu. Injili eno naishara tunda naiyena ulimwengu gonde. 6 Ikali ikiketaao ndeni yoo pia tangu erasiku mkauwa nagwifunza kuhus neema ya Mrungu kweli. 7 Eno ndeiyo injili mwaifunza kuduma kwa Epafra ndugu yetu mtumishi aruwetuambae ni mtumishi mwaminifu waKristo kwa niaba yetu. 8 Epafra akuuketa umenyekane kwetu upendo wenu wa ngoro. 9 Kwasababu ya upendo oyu, tangu mdenya oro tikauwa ao tatikatia kwaombe. Takalatikaomba kwamba msao sojwa na kumenya kwa ngoro. Taritikivoya kwamba msalata kwa usanilivu wa Bwana Sarani shipendeza. 10 Tarekitivoya kwamba msashara tunda kwa kila pata nzurimsakara na maarifa ya Mrungu. 11 Nativoya mpate mvinya kwa kila uwezo kulingana na mvinyesha mtukufu wake kuvumilila na kustahimili onde. 12 Nativoya kwamba kwa furaha msadinyashukrani kwa Papa, aketa imwi mweze kukala sehemuya ulithi wa umini anuru. 13 Atidinya katika utawalawa kivundu na na kudavijwa katika ufalme wa mwana wake mpendwa. 14 Katika mwana wake tinaukombozi msamaha wa dhambi. 15 Mwana ni mfano wa Mrungu atiakonekana ni mshalwa wa kwanza aombaji onde. 16 Kaogo kwake yeto shonde shaundwa ija shikala mbinguni na shikala duniani ito onekana na itoshikia konekana. Ikalanisha kala matuku mengi au mamlaka au usatawala au enemvinya, itoshonde shaundwa ni walewekwa ajili yake. 17 Warewe aliwavayo kabla ya itoshonde kwaora werwe, itoshonde na shikwatama vamwe. 18 Werewe ndewe motwe wa mweli yaani kanisa werwe ni mwanzo mshara wa kwanza kuduma miongoni ma agwa, ogo ananafasi ya kwanza miongoni mwaito shonde. 19 Kwa kuwa Mrungu apendezwa kwamba utimilifu wke wonde kukala ndeni yake, 20 nakupatanisha itoshonde kwa sera ya mwana wake. Mrungu aketa amani kapalela ndakame ya msalaba wake, Mrungu apatanisha itoshonde kwake mwene ikikala ni itosha duniani au itosha mbinguni. 21 Imwi pia kwa wakati omwe mwari ayeni a Mrungu na mwali maadui yake katika akili na maneno maovu. 22 Lakini ndevo mpatanisha imwi na mweli wake kupalela engwa. Aketao ili kuwaleta imwi atakatifu, matari lawama na bila dosali moja yake. 23 Kama ukiendelea na imani yaimalishwa kukalathabiti pasipokochwambali kuduma kwenye taraja la ujasirila injili mwanyua. Enonde injili yatangazwa kwa kila motu undwa endi ya mbingu, eno ndeyo injili ambayo kwaogo inye, Paulo ningukala mtumishi. 24 Ndevo ningu furahamateso akwa kwa ajili yenu. Nami nngutimiza mweri wakwa nngupunguakwamateso aKristo kwa ajiliyamweli wakwa ambao ni kanisa. 25 Inje ni mtumishi wakanisa reriswa sawa na wajibu na vawa kuduma kwa Mrungu kwa ajiliyenu kulosoja neno la Mrungu. 26 Oyu ni ukweli wa siri ya vidwa kwa miaka mengina ushar. Lakini ndevo ijolwa kwa wondemaamini kwa oso. Ni 27 kwa ara ambao Mrungualacha kujoraurevo utajili wa mtukufu kwa siri ya ukweli eno mongoni mwa mataifa. Nikwamba Kristo avayondeni yenuujasiri na utukufu ukosa. 28 Oyu ndwe tikumtangaza. Natimonya kila motu na kufundishakila motu na kumfundisha kila motu kwa hekima yonde ili kwamba timrete kila motu mkamilifu kwa Kristo. 29 Kwaajili yeno nnye ngwijibisha na ngwijitahidi kiligana na mvinya yake iketapata kwa kuweza,