1
Ndevo, ndugu, tiombeeni kwamba neno ra Bwana rikale kujena na kurora, kana irevo pia kwenyu.
2
Ombani kwamba tiweze kuokolewa kuduma katika uovu na atu mahasi kwa kukala se wonde ene imani.
3
Lakini Bwana ni mwaminifu ambae asaimarisha imwi nakuwaringa kuduma kwa ora mwovu.
4
Tina ujasiri katikati ya Bwana kwa ajili yenu kwamba na mketa ne msaendeleakuketa maneno ambayo tikuwalagiza.
5
Bwana aweze kutiongoza ngoroshetu katika kwendana katika uvumilivu wa Kristo
6
Ndeva ndu kutoma ndugu katika jetwa la Bwana Yesu Kristokwamba umwepuke kila ndugu ambaye naishimaisha ya uvivu seo aduma na desturi ambasho mshivokera kuduma kwetu.
7
Kwa ogo imwi ene nammenyani sawa kwenu kutiiga ije, tafaishi mongoni kwenyu kama ara ambao tamari nidhamu.
8
Na tata aya ngande ya motu yoyote bila kureva. Badala yake taketa kazikivunda na mndenyakwa kazi nyomu na shida ili titiekara mizigo kwa wowote kati ya imwi.
9
Maketao si kwasababu tateri mamlaka. Badala yake tikaketao ili tikale mfano kwenu ili kwa mweze kutiiga ije.
10
Wakati tikakara vamwe naimwi taaragiza ikikaramotu wenyu wowe taiada kuketa kazi atie koya."
11
Kwakuwa natigua kwamba baadhi namakojinauvivu miongoni moo, tamaketapata baada yake ni atu matari utaratibu.
12
Ndevo asonao natikwatoma natikwaera jetwa ra Bwana Yesu Krito lazima maketepatakwa utulivunakoya ngande shoene.
13
Lakini imwi ndugu, mtie kogwa ngoro tisaketa sahihi.
14
Ikikara motu yoyote taracha kupatiliza neno retu wavaka oyu amakere makere makini nake mtie kara na ushirika nake ili aweze kudongorwa ni ndoni.
15
Mtie mgeurekama adui lakini mwonyeni kama ndugu.
16
Bwana wa amani mwene aave amani wakati wowote na sherashonde, Bwana akare na imwionde.
17
Eno ni salamu yakwa, Paulokwa kokokwakwa mwene ambayo ni alama yawaraka. Ogondego nigwandika.
18
Neema ua Bwana wetu Yesu Kristo iweze kara naimwi onde.