Sura 2

1 Anakwa apendwa,ngiwandikera mambo aya kwenu ili mtie kata dhambi.Lakini kama amwe wenyu akikata dhambi,tinake wakili arevo na papa,Yesu Kristo ambaye ni mwene haki. 2 Warewe ni mpatanishi kwa dhambi shetu na si kwa dhambi shetu wengwa lakini pia kwa ulimwengu myima. 3 Kwa riri natimenya kwamba nalimmenya warewe kama tukishitunza amri shake. 4 Warewe akwamba,"Ningummenya Mrungu lakini takweta amri shake ni Mrungu na kweli tairevo ndeni yake. 5 Lakini yoyote atiekala na neno rake kweli katika motu aru upendo wa Mrungu ukamilishwa.Katika reri natimenya kwamba tindeni yake. 6 Ura akwamba nakala ndeni ya Mrungu na paswa mwene kago kama ogo Yesu aagi. 7 Anyasu,sikuandikira imwi amri emuya,bali amri ya kara ambayo mkala nayo tangu kate.Amri ya kara ni ambalo mrua. 8 Hata ogo ninguandikira imwi amri emuya ambayo ni kweli katika Kristo na kwenyu.Kwa sababu kivumbi na chipala na nuru ya kweli ukala tayari naikuangaza. 9 Ura akwamba a vene nuru na na msinywa ndugu yake akivunduni mpako mondi. 10 Oso a mwenda ndugu yake naishi katika nuru na takwi jambo lolote rira riweza kumkwaza. 11 Lakini ura a msingi ndugu yake akivunduni na nawela kivunduni,oso tamanya koyo akoji,kwa sababu kivundu chimbo vala medo ake. 12 Ningwandikira imwi,ana niaenda kwa sababu mmesamahewa dhambi shenyu kwa ajili ya jitwa rake. 13 Ninguwandikira akina papa kwa sababu na mmenya ura akeri tangu mwanzo.Ninguandikira imwa vesi kwa sababu mmshuda kwa mpelo.Nikuwandikira imwi ana adodo kwa sababu na mumenya papa. 14 Ninguwandikira akina papa kwa sababu na mumenya wa akeritangu mwanzo ndiwandwa imwi avasi kwa sababu mkeri imara,na neno la mrungu nankala ndeni yangu,na mumshunda mpei. 15 Mtae nyilacha dunia wala mambo ambayo marevo katika dunia.Akikala ura asanilacha dunia upendo wa kumlacha papa tausevo ndeni yake. 16 Kwani kila gito cha ndeni duniani,tamaa ya mweri,tamaa ya medo na kaburi cha uyima tashiduma kwa papa lakini nashiduma duniani. 17 Dunia na tamaa shike shisapala.Bali warewe aketa mapenzi ya Mrungu oso naduma milele. 18 Ana adedo,ni wakati wa mwisho.Kama ogo mwauma kwamba mpinga Kristo na kusa hata vinwao,apinga Kristo na makusa,kwa hali eno natimenyo kwamba ni wakati wa mwisho. 19 Makoji kuduma kwetu,kwani maleeri seo akwetu.Kama ura,makeri nia kwetu maleri endelea kukala vamwena iji.Lakini wakati makeji vyoo,ki nachukuonyesha kwamba aya seo a kwetu. 20 Lakini udunguja maguta ni ura mtakatifu,nanyi onde mnyimenya kweli. 21 Sakaandikira imwi kwa sababu tamnyimenya kweli,bali kwa sababu na mnyimenya na kwa sababu takori uvongo kwa ira kweli. 22 Wavo ni mvungu bali ni ara apinga kwamba Yesu ni Kristo?Oyu motu ni mpinga Kristo yara ampinga papa na mwana. 23 Takuri amleya mwana akakala na papa.Yayate amkiri mwana anake papa 24 Kama kwa ajiri yenyu ,kwa mwauwa toka mwanzo tia chiendelee kukala ndeni yechu.Kama kira mwauwa tangu mwanzo kisakala nleni yechu pia,msakala ndeni ya mwana na Papa. 25 Naeno ni ahadi atipatira ije uyima wa milele. 26 Ninguwandikira aya imwi kuhusu ara ambao madeni kuwalongozo imwi katika mapai. 27 Na kwa ajili yenyu,ara maguta mwavokera kuduma kwake na makala ndeni yenyu,na tamumlacha motu yoyote amifundisha bali kama maguta ake na maafundisha kuhusu mambo onde na ni kweli seo uvangu na hata kama makaya kuwafundisha akni ndeni yake. 28 Ndervo ana mkwendwa,kalani ndeni yake,ili vayo akidumira tiweze kala na ujasiri na seo kono naloni,moja yake wakati wa kusa kwake. 29 Kama na mmenya kwamba warewe ni mwenye haki,na mmenya kwamba kila mmoja akata haki asharwa ni waryewe.