1 Au ndemwichi, wambari wapwa (kwa kughora nadeda na wandu waichi sheria), kwamba sheria yamtawalagha mundu akogho banana? 2 Kwa kughora muka walowolwa wafungwa ni sheria kwa uja mndu wawomi wake arikogho banana, ela ikakai mndu wa womi wake, wadimafwa, akagha wawikwa huru kufuma sheria ya ndoa. 3 Huwo basi, wakati mumi wake akogho akiishi, akaka adaaishi na mndu mumi umwi, adimawangwa mzinzi. Ela ikaka mumi wake wafwa, ako huru dhidi ya sheria, huwo ndekaghe mzinzi ikaka adaishi na mndu wawomi mzima. 4 Kwa huwo, wambari wapwa, inyo pia mwabonyigwe waja kwa sheria kwa chia ya muwi gwa Kristo. Yakaia huwu ili mpate kuunganishwa na umwi, kwa uyo ambaye wafufuliwe kufuma wafu ili didime kumvalia Mlungu matunda. 5 Kwa kughora dirikogho katika hali ya muwi, tamaa ra dhambi rawusiriwe katika viungo vedu kwa chia ya sheria na kuivaia mauti matunda. 6 Ela idana dafunguliwa kufuma katika sheria. Daifuya ija hali idifungie. Ili isi dipate kutumika katika hali mpya ya Ngolo, na isi katika hali ya kala ya iandiko. 7 Didedie idana? sheria ni dhambi? La hasha. Hata huwo, sirimanyagha dhambi, ndayakagha kwa chia ya sheria. Kwa kughora simanyagha kutamani kama sheria ndayaridedagha, usatamani." 8 Ela dhambi yapatie nafasi kwa ija amri na ikareda ndenyi yapwa kila aina ya kutamani. Kwa kughora dhambi pasipo sheria yafwa. 9 Nanyi nirikogho binana aho wosi bila sheria, ela ikacha ija amri, dhambi yapatie mbinana, nanyi wikafwa. 10 Ija amri na ambayo yaredagha binana yaghalikie kukaia mauti ghapwa. 11 Kwa kughora dhambi yapatie nafasi kwa ija amri na ikaniemba. Kuidie ija amri, yanibwaghie. 12 Huwo sheria ni takatifu, na ija amri ni takatifu, ya hachi na sere. 13 Huwo basi ija iko sere yakogho maidi ghapwa nyi? Isake huwo kamwe. Ela dhambi, ili iwonekane kuwa ni dhambi hasa kuidia ija sere, yaredie mauti ndenyi yapwa. 14 Kwa kughora daichi ya kughora sheria asili yake ni ngolonyi, ela nyi na mundu wa muwinyi. Nauzwa ndonyi ya utumwa gwa dhambi. 15 Kughora nibonyagha, sijielewagha dhahiri. Kwa kughora jiji nijikundagha kujibonya, sijibonyagha, na jija jinizamiagha, nijo wijibonyagha. 16 Ela kama nikajitanda jija nisajikundagha, nakubaliwa na sheria ya kughora sheria nisere. 17 Ela idana sinyi nafsi yapwa nitendagha ijo, bali ni ija dhambi ikaia ndenyi yapwa. 18 Kwa kughora naichi ya kughora ndenyi yapwa, yaani ndenyi ya muwi, ndejikagha ilagho ja sere. Kwa kughora tamaa ya jiko sere jiko ndenyi yapwa, ela sijitendagha. 19 Kwa kughora jija ja sere nijikundagha sijitendagha, bali jija iwiw nisajikundi nijo nijitendagha. 20 Idana kama natenda jija niosajikundi, si nyi nafsi nijibonyagha, bali ni ija dhambi ikaia ndenyi yapwa. 21 Namanya, sena, yeko kanuni ndenyi yapwa ya kukunda kutenda jiko sere, ela uwiwi hakika gweko ndenyi yapwa. 22 Kwa kughora naiboirwa sheria ya Mlungu kwa undu gwa ndenyi. 23 Ela nawona kanuni iko tofauti katika viungo va muwi gwapwa. Yakaba kondo dhidi ya kanuni mpya katika akili rapwa. Yanibonya nuji mateka kwa kanuni ya dhambi iko katika viungo va muwi gwapwa. 24 Nyi na mundu wa huzuni! Nani aniokogha na muwi ughu gwa mauti? 25 Ela Lakini shukrani kwa Mlungu kwa Jesu Kristo Mzuri wedu! Huwo basi. Nyi mweni kwa akili yapwa naitumikia sheria ya Mlungu. Bali, kwa muwi naitumukia kanuni ya dhambi.