Sura 16

1 Namkabizi kwenyu Fibi dadiye wenyu, ambaye ni mtumishi wa kanisa ambajo jiko kenkrea, 2 ili kwamba mwadima kumbokera katika Mzuri. Bonyeni huwu katika kicho cha thamani cha waamini, na msimame andu kumweri naye katika ilagho jojose akagha na uhitaji najo. Huwo ye mweni wakaie mhudumu wa wengi, na kwaajili yapwa nyimweni. 3 Mlamuse Priska na Akila, wabonya kazi andu kumweri nanyi katika Kristo Jesu, 4 Ambawo kwa maisha ghapwa waghahatarishie maisha ghawe weni. Nafunya shukrani kwawo, na siyo tu nyi, bali pia kwa makanisa ghose ya masanga. 5 Jilamuse ikanisa ambajo jiko nyumbenyi kwawo. Mlamuse Epanieto mkundwa wapwa, ambae ni mwalwa wa wosi wa Kristo katika Asia. 6 Mlamuse mariamu ambaye wabonyie kazi kwa bidii kwa ajili yenyu. 7 Mlamuse Androniko na Yunia, Jamaa wapwa, na wafungua andu kumweri nanyi. Ni wa muhuimu miongoni mwa Walodi, ambawo pia wakirie kummanya Kristo kabla yapwa. 8 Mlamuse Ampliato, mkundwa wapwa katika Mzuri. 9 Mlamuse Ubano, mbonya kazi andu kumweri nanyi katika Kristo, na Stakisi mkundwa wapwa. 10 Mlamuse Apele, akundwe katika Kristo. Walamuse wose ambawo weko katika nyumba ya Aristobulo. 11 Nilamuse Herodioni, jamaa wapwa. Nilamusie wose weko katika nyumba ya Narkiso, ambawo weko katika Mzuri. 12 Nilamusie Trifaina na Trifosa, wabonya kazi kwa bidii katika Mzuri. Mlamusie Persisi mkundwa, ambaye watenda kazi kuchumba kwa Mzuri. 13 Nilamusie Rufo, asaghulwe katika Mzuri ni mae na mawe wapwa. 14 Mlamusie Asinkrito, Flegon, Herme, Patroba, Herma, na wambari wose weko andu kumweri nawo. 15 Nilamuse Filologo na Yulia, Nerea na dadie, na Olimpa, waumini wose weko andukumweri nawo. 16 Nilamusie kila umweri kwa ibusu Itakatifu. Makanisa ghose katika Kristo ghawalamusa. 17 Idana nawasihi, wambari, kutafakari ighu gha awo ambawo wasababisha mghawanyiko na vipingamizi. Waghenda kinyume na mafundisho ambagho mwameria kukufunza. Aghukenyi mfume kwawo. 18 Kwa huwo wandu kama awa ndewamtumikia Kristo Mzuri, bali vifu vawe wenyi kwa madedo ghawe laini na pongezi ra tee wadaemba ngolo ra wasadae hatia. 19 Kwa mfano gwa wenyu mwamfikia kila umweri. Kwa huwo, naboirwa ighu yenyu, ela namikunda inyo mke na busara katika hali ya wema, na kulemwa kukaia na hatia imbiri. 20 Mlungu wa sere ndechelewagha kumwangamiza shetani ndonyi ya chunyo renyu. Neema ya Mzuri Jesu Kristo akaie andu kumweri nainyo. 21 Timotheo, mbonya kazi andu kumweri nanyi, amilamusa na Lukio, Yasoni na Sospeter, jamaa wapwa. 22 Nyi Tertio, naandika waraka ughu, namilamusa katika irina ja Mzuri. Gayo anitunzie na kwa ikanisa jose jamilamusa. Erasto, mtunza hazina wa muzi, anilamusa, andu kumweri na Kwarto ambaye ni mbari. (Zingatia: katika nakala halisi ra wosi, mstari ughu ndaghuko. Gowa warumi 16: 20 "Neema ya Mzuri Jesu Kr 25 Idana kwake ye uja uwezo kubonya msimame kulingana na injili na mafundisho gha jesu Kristo,kulingana na ufunuo gwa siri ya cisua kwa mida mlacha. 26 Ela idana yameriwa kufunuliwa na kubonywa kumanyikana na maandiko gha ulodi kulingana na amri ya Mlungu wa kala na kala utii gwa imani miongoni mwa masanga ghose? 27 Kwa Mlungu mwenekeri ekona hekima,kuidia jesu Kristo,like na utukufu kala na kala yose.Amina