1 Kwa huwo nawasihi, kwa mbazi rake Mlungu, ifunyeni miwi yenyu ikaie dhabihu iko banana, takatifu, ikubaliagha kwa Mlungu. Ihi niyo ibada yeenyu iko na maana. 2 Wala msaifuatishe nama ya dunia ihi, bali muaghusw kwa kubonywa upya nia renyu. Bonyeni huwu mpate kumanya mapenzi gha Mlungu gheko ghaboie, ghakumpendeza na ghakamilika. 3 Kwa kughora nadeda, kwa sababu ya neema nanekwe, kwamba kila mundu ambaye weko miongonyi mwenyu ndapaswagha kufikiri zaidi ighu yake mweni kuliko ipasagha kufikiri. Bali, yampasa kufikiri kwa hekima kama ambavyo Mlungu wawaneka kila umweri kiasi fulani cha imani. 4 Kwa kughora nikona viungo vingi katika muwi ghumweri, ela siyo viungo vose vikona kazi imweri. 5 Woruwo huwo, isi diko wengi da muwi ghumweri katika Kristio, na viungo kila umweri kwa mbawe. 6 Dekona karama riko mbalimbali kwa kadiri ya neema mwanekwa. Ikiwa karama ya mundu ni ulodii, na ibonyeke kwa kadiri ya imaninyake. 7 Ikakaia karama ya mundu ni huduma, na itumike. Ikakaia umwi akona karama ya kufundisha, basi, afundishe. 8 Ikakaia karama ya mundu ni faraja. basi, afaraji. Ikakaia karama ya mundu ni kufunya, abonye huwo kwa ukarimu. Ikakaia karama ya mundu ni kulongoza, na jibonyeke kwauangalifu. Ikiwa karama ya mundu ni katika kubonyera mbazi na jibonyeke kwa kuboirwa. 9 Lukundo lusake na unafiki. Zamiwenyi ni uwiwi wadirienyi gheko ghaboie. 10 Kuhusu lukundo gwa mbari, kundanenyi inyo kwa inyo. Kuhusu heshima, heshimianenyi inyo kwa inyo. 11 Kuhusu bidii, msakaie waleghuku. Kuhusu ngolo, ike ni shauku. Kuhusu Mzuri, mtumikienyi. 12 Boiwenyi katika ujasiri mkonagho kuhusu matuku ghachagha. Muke na subira katika matatizo ghenyu. Mdumu katika kulomba. 13 Mshiriki katika mahitaji gha waumini. Lolenyi chia nyingi ra kubonyera ukarimu. 14 Wakundienyi baraka wose wawatesagha inyo, muwabariki na wala msawalaani. 15 Boriwenyi andukumweri na waboiwagha, lilenyi andu kumweri na walilagha. 16 Muke na nia imweri inyo kwa inyo. Msafikiri kwa kujunuka, ela wakubali wandu wa hali ya ndonyi. Msake na hekima ighu gha mawazo ghenyu wenyi. 17 Msamshane mundu wowose uwiwi kwa uwiwi. Bonyenyi malagho ghaboie mesonyi kwa wandu wose. 18 Kama idadimikena, kama iwikiwe kwenyu, mkaie na sere na wandu wose. 19 Wapenzi, msakisharirie kisasa inyoweni, ela ibarienyi ghadhabu ya Mlungu, kwa kughora yaandikigwe, " 'kisasi ni chapwa; nyi napatie, wadeda Mzuri. 20 " Ela ikakaia adui wako akona njala, mlishe. Akakaia akona kau, mwenyweshe. Kwa kughora ukubonya huwo, wadima wampalia maka gha modo ighu ya chongo chake." 21 Usalemwe ni kuzama, bali ushinde kuzama kwa wema.