Sura 2

1 Kwa malaika wa kanisa la Efeso andika :Aga ni madedo ga uja awadaga rija nyenyeri saba katika mkonu gwakegwa kujo. Ye agendaga kati ya vinara va dhahabu va taa saba adeda huwu," 2 Naichi ambacho wabonya na bidii yako ya chagu na uvumilivu, na wawageria wose wakiwangaga kuwa mlodi na kumbe siwo, na wawonekanaga kuwa ni watee. 3 Naichi okona subira na uvumilivu, na waidia mengi kwa sababu ya irina japwa, na ndokolie bado. 4 Ela iji nijo rikogho dhidi yako, wagusiga lukundo lwake lwa kwanza. 5 Kwa huwo kumbuka wanguia ukatubu na kubonya mabonyo wagabonya tangu imbiri, ukatubu nichaga kwako na kukiija kinara chako kufuma andu kwake. 6 Ela we ukona iji, urea gaja ambago wanikolai wagabonya, ambago hata nyi nageria. 7 Kama akona kudu, sikiria gaja ambago ngolo adedagoria makanisa. Na kwa ye ashindae nimnekaga kibali cha kuja kufuma katika mdi gwa mbanana gwako katika paradiso ya Mlungu.' 8 "Kwa malaika wa kanisa ja smirna andika: 'Aga ni madeddo ga uja ambaye ni mwanzo na mwisho ambae wafie na kwa mbanana: 9 "'Namanya mateso gako na umasikini gwako (ela we ni tajiri), na tee ra waja wakiwangaga ni wayahudi (ela sio-awo ni sinagogi ja shetani). 10 Usaboe mateso ga kupataga. Nguwa ibilisi wakundi kuwadaga baadhi yenyu gerezanyi ili mpate kugeriwa, na mtesekaga kwa maruwa ikumi. Kanyi waaminifu hadi kufwa, na niwaneliaga taji ya banana. 11 Kama okona kudu, sikiria ngolo awagoriaga makanisa. Ye ashindaga apataga madhara ga mauti ya kweli.' 12 "Kwa malaika wa kanisa ja pergamo andika: 'Aga nigo adedaga ye eko nawo ugo luamba hubirie, gokona kubia kawi. 13 "'Namanya andu uishi -andu kuko kifumbi cha enzi cha shetani. Hata huwo we wawada sana irina japwa na ndui kamie imani yako iko kwapwa, hata iruwa jija ja Antipasi shahidi wapwa, mwaminifu wapwa abogiwe miongonyi mwenyu aho niko shetani adaishi. 14 Ela neko na malago matini dhidi yako: akonago uko wandu wawadaga mafundisho ga Baalamu, ye wamfundisha Balaki kuwika vikwazo imbiri ya wana wa Israeli, ili waje vindo vyafumiriagwa sadaka kwa Milungu na kuzini. 15 Katika hali iyo iyo, hata we okonago baadhi yawe wawadaga mafundisho ga Wanikolai. 16 Basi tubu! Na ukasebonya huwo, nacha upesi, na nibonyaga wuda dhidi yawe kwa luemba lufumaga katika lwaka lwaka. 17 Kama okona kudu, sikiria Ngolo awagoriaga makanisa. Ye ashindaye, mneleaga baadhi ya ija mana yambisigwa, pia nimnekaga igwe ja chokwa jaandikwa irina ipya igu ya igwe, irina ambajo ndakundae ajimanyaga isipokuwa ye wajiwokera.' 18 "Kwa malaika wa kanisa ja Thiatira andika: "Aga nigo madedo ga mwana wa Mlungu, ye eko na meso gake kama mwali gwa modo, na mawadio kama shaba yasuguliwa sana: 19 "'Namanya ambacho wabonya - lukundo lwake na imani na huduma na uvumilivu gwake thabiti, na kwamba chija wakibonya huwu kavui ni zaidi ya chija wachibonya imbiri. 20 Ela nekonajo iji dhidi yako: udavumilia mka Yezebeli akiwangaga mweni mlodi mka. Kwa mafundisho gake, adawapotosha watumishi wapwa kuzini na kuja vindo va funyigwa sadaka kwa sanamu. 21 Namneka taimu gwa kutubu, ela ndeko tayari kuubia uovu gwake. 22 Nguwa! nimnekaga kuko kitanda cha maradhi, na waja wabonyaga uasherati na ye kuko mateso gabirie, vingine vyo watubu kwa wachibonya. 23 Niwakabaga wana wake wafwa na makanisa gose wamanyaga kwamba nyi niye achunguzaye mawazo na tamaa. Nimnekaga kila umweri wangu kadiri ya matendo gake. 24 Ela kwa baadhi yenyu mwabakia katika Thiatira, kwa waja wose msawadaga fundisho iji, na msaichi chija ambacho baadhi kuwanga mafundisho ga shetani, na deda kwenyu, siwikaga igu yenyu mzingo gogose.' 25 Kwa ilago jojose, lazima mke imara mpaka andu nichaga. 26 Yeyose ashindaga na kubonya chija nachibonya hadi mwisho, kwake ye nimnekaga mamlaka igu ya mataifa. 27 Wadima watawala kwa chagu cha chuma, kama mabakuliga ndoe, wadima wa wachukanya vipande vipande. 28 Kama andunawokera kufuma kwa Aba wapwa, nimnekaga pia nyeri nyeri ra asubuhi. 29 Ukaka na kudu, sikira chija ambacho Ngolo adagoria makanisa.