Mlango 13

1 Kila nafsi na iwe na utii kuna yamamlaka ya kuchamya kwa via kwa bule mamlaka isipokuwa ilawa twa Mulungu.na mamlaka zilihano ziikigwa na Mulungu. 2 Kwa ija yopinga imamlaka iyo kopinga amri ya Mulungu;na waja woipinga wezahokela hukumu wao wenyeo. 3 Kwa via watawala sio tishio kwa waja wotenda mema bali kwa waja wotenda ya maovu.Vino kotamani seke udumbe mamlaka?Tenda yeli mema,na kwiza sifiwa nayo. 4 Kwa via ni mtumishi wa Mulungu kumwako kwa ajili ya mema.Bali kama kuzatenda yeli maovu,dumba;kwa via habeba upanga bila sababu.Kwa via mtumishi wa Mulundu,mlihaji kisasi kwa ghadhabu kwa ija yotenda uovu. 5 Kwa hiyo yokupasa utii,si kwa sababu yaghadhabu muhala,bali ivia kwa sababu ya dhamiri. 6 Kwa ajili ina ivia koliha kodi.Kwa via wenyewe mamlaka ni watumishi wa Mulungu waja woendelea kutenda mbuli ino. 7 Miliheni kila imwe chiya cho wodai:Kodi kwa ija yosta hili kodi,ushuru kwa ija yostahili ushuru;hofu kwa ija yostahili hofu;heshima kwa ija yostahili heshima. 8 Seke mdaigwe na muhnu chinhu chochose,isqokuwa kuipenda mwe kwa mwe.kwa via yeye yampendaye jirani yake katimiza isheria. 9 Kwa via,"Hwizakuzini bule,hwizakukoma bula,hwiza kubawa bule,hwizakutamani bule,'na kama kuna amri imwenga ivia,ijumlishwa muna isentensi ino:Kuza mpenda jirani yako kama weye mwenyeo." 10 Upendo laumdhuru jirani ya muhnu bule.Kwa ivo,upendo uwo ukamilifu wa isheria. 11 Kwa sababu ya dino,muumanya uwakati,kwamba tayari ni wakati wa kulawa nzihnongo.Kwa via wokovu wetu wahabeli zaidi ya wakati uja chiami nie kwanza. 12 Chilo chiendelea,na karibia inuisi.Na chiyeke hang'gwazo matendo ya ziza,na chivale silaha za nuru. 13 Na chite sawa sawa,kama muna inuru,si kwa sherehe za uovu au ulevi.Na seke chite nuna izinaa au tamaa haidahika kuthibitisha,na nunaifitina au wivu. 14 Bali chimvale Yesu Kristo,na seke chiike nafasi kwa ajili ya lukuli,kwa izitamaa zake.