1 Kwa ivo kikale ka kifunzile kwanza kuhusu ujumbe wa Kristo cholondigwa kuwa na juhudi kugendelela kwenye ukomavu simechike kaidi misingi ya toba,kulawa katika kazi sibure na ugima na imani katika Mulungu, 2 wala misingi ya mafundisho ya ubatizo,na kuwe kila mikono,ufufuo wa wafile na hukumu ya milele. 3 Nachotenda vino ikawa Mulungu koruhusu. 4 Kwakuwa haidahika kwa waja ambao wapata nuru waidi ambao waonja kipa wa cha mbinguni,na kutendigwa kuwa washirika wa Roho ho mtakatifu, 5 na ambao waonja unovu wambuli ya Mulungu na kwanguvu za muda ukwiza, 6 na hamara wagwa haidahika kuwa bweleza kaidi katika katoba ino ni kwa kuwa wamtesa mwana wa nawa Mulungu mara ya kaidi kwa nafsi zao,wakamtenda chombo cha kudharauliwa. 7 Kwa kuwa ardhi ihokela mvula itonya mara kwa mara mchanya yake,ilava mazao muhimu kwa wao watendileka katika ardhi yohokela baraka kula kwa Mulungu. 8 Lakini yokuwa yolela miwana magugu,ya bure kaiditha manina yabaho katika hatari ya kulani gwa mwishowake ni koteketezigwa. 9 Ijapo kuwa cholonga vina mbuga wapenzi cha shawishiwa na mbuli ino gile yo husu mweye nambuli yahusu wokovu. 10 Kwa via Mulungu siyo mdhalimu hata hazini kazi yenu na kwa upendo ujamulaguswe kwa ajiri ya zina jake kila imwe wenu yadahe kulagusa kwa ajiri ya zina jake katika dino muwatumikia waamini na mng'hali mwowafumikia. 11 Nacholanda ng'hani kuwa kila imwe wenu adahe kulagusa bidii ijaija mpaka mwisho kwauha kika wa ujasiri. 12 Hakilonda muwe wavivu,lakini muwe wako mwowinza wawaja warithi ahadi kaila kwa nafsi yake kwavia ya imani na uvumilivu. 13 Kwa maana Mulungu kamwing'ha Abrahamu ahadi kailaha kwa nafsi yake kwa via sigambe ya ilahe kwa imwenga kwa yoyose yawile Mkulu kuliko ija. 14 Kalonga,"Hakika nokubariki nanokongeza mbeleko yako zaidi. 15 Kwa nzilain Abrahamu kahokela alongili gwe baada ya kugozela kwa uvumilivu. 16 Maana wanadamu waila hakwa ija yawile mkulu kuliko wao,nakumwao ukomowa kuihuma yose ni kuilaha kuhakikisha. 17 Muda Mulungu kaamua kulagusa kwauwa kulagusa kwa uwazi zaidi kwa warithi ahadi kusudi jake dinogile hadi badilika kadisibitisha kwa kwilaha. 18 Katenda vino ili vinhu vidi havidaha kubadilika kwaivo katika ivo mulungu hada ha kulonga uvwizi chee kimbilila hifadhi kipate kugeligwa moyo kutozelela kwanguvu tumaini dikigwe mbele yetu. 19 Kina Ujasiri uno kama imara na kutegemea ya Roho zetu ujasiri ambavo ko kwingila sehemu ya mgati kukisogoya pazia. 20 Yesu kengila sehemu ija kama mulongozi wetu kamara katendeka kuhani mkulu hata milele baada ya utaratibu melkizedeki.