1 Vino ndiyo muhnu kochihesabu cheye,kama watu mishi wa Kristo na mawakili wa siri za kweli za Mulungu. 2 Katika dino chilonda kwa uwakili ni kwamba weye wa kutumainia. 3 Lakini kumwangu niye ni kihinu kidodo sana kuwanina hukumiwa na mweye au hukumu ya kibina damu kwa kuwa siyihukumu niye mwenyewe. 4 Sijihukumu niye mwenyewe ino haina maana kuwa niye ni mweye haki.Ni Bwana anihukumuye. 5 Kwa hiyo seke mtamke hukumu uchanya ya lolote kabla ya wakati,kabla ya kuja Bwana.Keza gala nuruni mbuli ya ivisile mdiziza na kugubula makusudi ya miyoyo.Ndipo kila imwe hukokela sifa yake kulawa kwa Mulungu. 6 Lelo kaka na dada zangu,niye mwenyewe na Apolo nitumia kanuni zino kwa ajili yenu.Ili kwamba kula wa kumwetu modaha kuifunza maana ya usemi seke wite hng'ani kama ivoyandigwe ."Ino ni kwamba habule imwe wenu yoigada uchanya ya imwenga. 7 Maana nina yoona tofauti kati yetu na imwenga?Ni nini chowili nacho kochi hokela bulekama kuwahi kuhokelabule habari koogoda kama hamtendile ivo? 8 Tayari mnavo ambavyo movilonda!Tayari mpata utajiri!Muanza kutawala-nakwamba mamiliki hngani yetu sisi kweli nawalondela umiliki mwena ili kwamba tumiliki hamwe na mweye. 9 Kwa via nigesaga Mulungu kachika cheye watumwa amuli kama kuonyesha wa mwisho katika mstali wa ruaandamano na kama wanhu wa hukumigwa kufa ,tumekuwa kama tamasha kwa ulimwengukwa malaika na kwa wana damu. 10 Cheye chawa kwa ajili Kristo,Lakini mweye heshima katika wabozi Krsisto.Tu wanyonge,lakini mweye una nguvu,moheshimika,lakini cheye ochidhalau. 11 Hata saa ino china nzala na hngilu,na chabutenguo,china mapigo,natena chabule hakukala. 12 Chotenda kazi kwa bidii,kwa mikono yetu mwenyewe.Tunapo dhalauliwa,twabariki wakati.Vochitesigwa,cho vumilia. Vochitesigwa,cho cumilia. 13 Wochiliga,"chobwerezela kidogo kidogo chiwa na tu bado chopeligwa kuwa kama kulemigwa na dunia na takataka kwa mbuli zose. 14 Sandika mbuli zino kuwaguma chinyala mweye lakini kuwarudi mweye kama wana wanangu niwapendile. 15 Hata kama mna walimu makumi elfu katika Kristo mwabule Tata wengi.Kwa via niwa Tati yenu katika Kristo kufosela injili. 16 Ivo nowasihi mui hige niye. 17 Iyo ndiyo sababu yoni mtumile kumwenu.Timotheo,mpendwa wangu ni mwangu mwaminifu katika Bwana.Komkumbu sani nzila katika Kristo kama ivowo fundi shingwa kila sehemu na kila kanisa. 18 Lelo baadhi yenu woisifu wahatenda kuwa kwamba bwela kumwenu. 19 Lakini nizakwiza kumwenu kitambo.Kama Bwana akipenda ndipo nitajuwa simbuli zao tu waisifu waisifu,Lakini nizao na nguvu zao. 20 Kwa kuwa ufalume wa Mulungu hauwa katika mbuli mbali katika nguvu. 21 Molonda choni?Nize kumwenu na fimbo au kwa upendo na katika roho ya upole?