sula 1

1 Paolo, mndima ya yesu kristu mwekwetangwa kuwa mtume na kwenenga kwa ajii ya injili ya muungu. 2 Inu nee ida injili ekuiahidio kae kwembokea manabii wakwe mwe magondi matakatifu. 3 Ni kuhusu mwanawe mwekuvyaigwa kuawa mwango wa daudi ka jinsi ya mwii. 4 Yeye kabiika kwa mwana ya muungu kwa nguvu ya loho ya utakatifu ya ufufu wa watakakufa, yesu kristu bwana yetu. 5 Kwembokea yeye tihoka neema a utume kwa utii wa imani gati ya mataifa yose, kwa ajii ya zina dakwe. 6 Gati ya mataifa aya, nywinywi pia mwetangwa kuawa yesu kwistu. 7 Baua inu i n'kwa wwose weuko lumi wakundwao n;muungu wekwetangwao kuwa wantu watakatifu neema naiwe kwenu. na npeho kuawa kwa muungu tatietu na bwana yesu kristu. 8 Bosi namtogoa muungu yangu mwe yesu kristu kwa ajii yenu nyose kwa sibabu imani yenu yabiikiwa mwe dunia ngima. 9 Kwa maana muungu ni shahidi yangu, ambaye namtumikia kwa loho yangu mwe injii ya mwanawe na jinsi n'dumuvyo mwekuwatagusa. 10 Daima naomba mwe ala zangu kwamba kwa sia yoyose nipate mwishoe kua a mafanikio sasa kwa ukundiso wa muungu mwekwuza kwenu, 11 Maana nafaigwa kewaona, ili nipate za mweloho, nipat kutintimazwa. 12 Yani nakauwiiia kugewa moyo hamwe nanywi kwa sia ya imani ya kia yumwe yetu, yenu na yangu. 13 Sasa ndugu nkikunda mkose kumanya kwamba, maa nyingi nkikusudia kweza kwenu mia nikindiwa mpaka sasa nchonda ivi ili kuwa na matunda kwenu inga yeivyo pia gatigati ya wantu wa mataifa. 14 Natigiiwa na wayunani na wageni pia, wanyanyi na wabahu. 15 Kwa iyo kwa uoande wangu, mie n'tayali kubiika injii kwenu pia nywinywi mweuko loma. 16 Kwa maana nkionea soni injiii, kwa kuwa ni udahi wa muungu uetai uhnyi kwa kia aminie, 17 kwa myahudi bosi na kwa myunani pia, Kwa maana haki ya uungu izihilishwa kuawa imani hata imani, inga yekugondwavyo ''mwenye haki n'ndaekae kwa imani.'' 18 Mna maya ya mungu izihilishwa kuawa mbinguni zidi ya uai na uovu wose wa wantu mbao kwa sia ya uzalimu yaifisa kwei. 19 Inu ni kwa sibabu yose yadahayokumanyika juu ya muungu ni wazi kwao aana muungu kawatenda wamanye. 20 Maana mbui zakwe zesazokuoneka vyedi yawa wazi tangu kuumbwa ulimwengu. yaeleweka kwembokea vintu vyekuumbwavyo mbui izi ni kwa udahi wakwe wa kae na asili ya uungu matokeo yakwe, wantu awa nkawana uzulu. 21 Inu ni kwa sibabu , etiho wamanya kuhusu muungu nkawikumgimbika yeye inga muungu aka nkaokumwenka ntogoo badiii yakwe, watenda wabahau mwe mawazo yao a myoyo yao yenye ubahau nee igewa kiza. 22 Weetanga kuwa ni wanyanyi mia wakawa wabahau. 23 Ne wauhitua utukufu wa muungu mwesekuwa na ubanasi kwa mfano wa cheni cha binadamu mwenye ubanasi na ya wadege ya wanyama wenye miundi na ivumbe vitambaavyo. 24 Kwaiyo muungu nee kawabada watongee tamaa za myoyo yao uahama, kwa mii yao kwa kugewa soni gati yao. 25 Ni wowo wekuhituao kwei ya muungu kuwa umbea na ambao nee wavika na kutumikia viumbe baii ya muumbaji, ambaye atogolwa milele amina. 26 Kwa sibau inu, muungu nee awabada da watongee tamaa za za soni kwa kuwa wavyee wao nee wahitua matumizi yao ya asili kwa kia cheico kinyume na asili. 27 Hali kazalika, wagosi pia waeka matuimzi yao ya asili kwa wavyee na kuwakwa n'tamaa zidi yao wenye awa nee ni wagosi ambao wagosoa na wagosi wezwao yesato kugosolwa na ambao nee wahokea azabu yekustahilio ubanasi wao. 28 Kwa sibau waemea kuwa na muungu mwe umanyi wao kawaeka watongee akini zao zesazokufaa, wagosoe mbui zia zesazokutania. 29 Wamenuwa ni uzalimu wose waeu, tamaa na ubaya wameniwa nkinyuu ukomaji, nkumbinji, ufyaini, na nia mbaya. 30 Na wang'uanaji wasingiziao, na wenye maya na muungu wenye ngavungavu kibui na kwefyenya wowo ni watungao mabaya na wesaokutiii wavyazi wao. 31 Wao nkaana umanyi wasaokuamika, nkawana ukundiso wa asili a wesao na mbazi. 32 Wamanya kanuni za muungu, yakuwa wantu wagosoa mbui ya jinsi iiyo waondegwa wafe. akini nleio tu wagoswa mbui iizo, nao pia wakubali ana na wada wagosoao mbui iiyo.