1
Akawaaho malaika ya shano nee atoa gunda dakwe nkiona ntooooooka kuawa mbinguni yekuayo ingwa mwe dunia nktooondo yenkugwa uvugiuo wa kumbwi dielekeado kwe tubwi deado na kiheo.
2
Kavugwa tubwi desado na kiheo na mosi iva mosi kuawa mwe tanuu nkuu zua na uko uanga vihituka vikawa kiza kwa sibabu ya mosi wekuowa mwe tubwi.
3
Umo mwe mosi sige waaawa kweza uanga ya dunia nao wenkigwa nguvu inga ua kisuse uanga ya dunia.
4
Wambiwa wesekubananga mani mwe sii au mmea wowose wa kijani au mti ikesekuwatu wantu ambao nkaokuwa na mhuli wa muungu mwe komo da vyeni vyao.
5
Nkaokwenkingwa uusa wa kukoma ao wantu bali kuwasuubusha tiu kwa miezi mishan, usungu wao nee ni inga uda wa kuumwa ni kisuse amumaho muntu.
6
Mwe misi iyo wanu n'nda waonde ufe moa nkawana wauoae n'ndawatamiwe ni kuumbwa mzimu, mia ufe n'ndauwaguuke.
7
Sige wafanana na falasi wekuandaliwao kwa nkondo kwe mitwi yao nee kuna kintu nga taji ya zahabu na yeni vyao nee ni inga vya binadamu.
8
Nee ana fii inga za wavyee na men yao nee inga ya simba.
9
Nee wana vifua inga vifua vya chuma na sauti ya mawawa yao inga nee ni sauti ya mawawa yao inga neee ni sauti ya magai mangi ya nkondo na falasi waguukao kuita kwe nkondo.
10
Nee wana mikia iumayo inga kisuse, mwe mikia yao nee wana nguvu ya kuzuu wantu kwa mvyezi mishano,
11
Nee wanae inga mfalme uanga yao malaika a tubwi desadokuwa na kuheo zina dakwe kwa kiebladia ni abandio na kwa kujuanani ana zina apoipni.
12
Ole ya bosi yemboka. kaua! baada ya id kuna maafa maidi yeza.
13
Malaika ya sita katoa gunda dakwe, na nikategeeza sauti ikaawa mwe npembe ya mazabaha ya zahabu ambayo u mbele za muungu.
14
Sauti imwamba malaika ya sita mwekuae na gunda ''waekee malaika wane ambao watahwa mwe mto mkuu eflata.''
15
Malaika wada wane wekuao waandaliwa kwa saa iyo maalumu msi uo na mwaka uo waekewa waawkome selusi ya wanadamu.
16
Idadi ya maasikini wekuao uanga ya falasi nee a 200,000,000. nkitegeeza idadi yao.
17
Ivi nee nekuonavyo falasi mwe maono yangu wada wekukweao uanga yao. vifua vyao nee viungwiika inga moto, uluu yekuiva na njano yesayokuiva mitwi ya falasi ifanan na mitwi ya simba na mwe miomo yao uawa moto mosi na saafa.
18
Selusi ya waadamu wakomwa ni aya mapigo matatu: moto, mosi na saafa yekuawayo mwe miomo yao.
19
Kwa kuwa nguvu ya falasi ne i mwe miomo yo na mwe mikia yao - kwa kua mikia yao nee ni inga ya nyoka, na nee waa mitwi ambayo watumia kuwagea vionda wanadamu.
20
Wantu wekusingaao, wada ambao nkawazati kukomwa na mapigo aya, nkawokusosoa ugosozi wekuao wakagosoa, wala nkawokueka kuvika mnpepo na miungu ya zahabu, feza, shaba, maiwe na miti = vintu ambavyo nkaividaha kuona, kutegeeza au kwenda.
21
Wala nkaokusosoa ukomaji wao, ukibebe wao au sia zao za ubavi.