Sula 5

1 Nkabinda nikaona mwe mkon wa kume wa yuda mwekuae kekaa he kiti cha enzi gobo dekuandikwado mbele na nyuma na diwa digewa mihuli saba. 2 N'kamuona malaika mwneye nguvu akabiika kwa sauti kuu, n'nai mustahili kudivugua gombo na kuitua mihuli yakwe?'' 3 Nkakuna mntu mbinguni au duniani au sii ya dunia mwekudaha kudivugua au kidisoma. 4 Nikaia kwa usungu kwa kuwa nkekuvumbika yeyose mwekustahili kudivugua gombo au kudisoma. 5 Akini yumwe mwe wada akanamba ''usekuiia kauwa! simba ya kabilada yuda sina da daudi kashinda na adaha kudivugua gombo na mihuli yakwe saba.'' 6 Hei ya kitu cha enzi na wenye uhai wan na wekumwe ni wdae nkiona mwang'oto kagooka aonekana inga mwe kuko,wa kawana mahembe saba na meso saba- izi ni loho saba za muungu zekutumwazo duniani kose. 7 Akaita akadidoa gombo kulawa mwe mkono wa kuume wa yuda mwe kwekaa he kiti cha enzi. 8 Ekudidoaho gombo, wenye uhai wane na wadeo ishiini na wane wakenama mpaka sii mbele ya mwanang'oto kia yumwe kawa na kinubi na bakui da zahabu yekumemayo uvumba yekwayo ni maombi ya waamini. 9 Wakaimba wiya mhya wastahili kudidoa gombo na kudivugua mihuli zakwe kwa ajii kuhinjwa na kwa mhome yako ukamhwia muunu wantu wa kia kabia, luga, jamaa na taifa. 10 Ukawatendo ufaume na makuhani kwa ajiii ya kuntu mikia muungu wetu nao watawala uanga ya sii.'' 11 Nibindaho nikakauwa a nikasikia sauti ya malaika wangi kuzunguuka kiti cha enzi kisabu yao iwa 200,000,000 na wenye uhai na wadaa. 12 Wakagombeka kwa sauti nkuu, ''stahili mwanangoto mwekuchinjwa kuhoka uweza utaajii viungo nguvu heshima utukufu, na ntogoo.''' 13 Nikasikiakia chekuumbwaco chekuwacho mbinguni na duniani na si ya sii na uanga ya bahali kia kintu ndani yakwe kikagombeka. kwakwe yee mwekaa uanga ya kiti cha enzi na kwa mwanangoto, kuwe na ntogoo, heshima, utukufu na nguvu ya kutawala milele na milele.'' 14 Wenye uhai wane wakagombe, amina' na wadaaa wakenamasi na kuabudu.