1
Baada ya mbui izi nkitegeez sauti inga ua muio mkuu wa bunga kuu da wantu mbinguni ikamba, ''haleluya wokovu, utukufu, na nguvu ni vya muungu yetu.
2
Kuaha kwakwe ni kwei na haki na haki, kwa kua kamuacha mkianga mwekuibanaga sii kwa ukianga wakwe, kagosoa nkee kwa npome ya wandima wakwe, ambayo kayetia yeye mwenye.''
3
Kwa maa ya kaidi wagombeka, ''haleluya! mosi waawa kwakwe kae na kae!
4
Wada wagosi wagima ishiini na wane na viumbe hai wane wakasujudu na kumvikia muungu mwekaa mwe kiti chakwe cha enzi nee wakamba, ''amina haleluya!''
5
Nee sauti yekuawaho he kiti cha enzi, ikagombeka; mtogoeni muungu yetu nywie wandima wakwe wose, nywie mumchao yeye, wose wesao na umhimu na wenye nguvu.''
6
Nee nekutegeezaho sauti inga sauti ya bunga kuu da wantu, inga sauti nkuu ya tundumo da mazi mangi, na inga tuni umo da umbaua, ikagombeka, ''haleluya! bwana ni muungu yetu, mtawala uanga ya wose atawala.
7
Na tishangilie na kutamiwa na kumwenka muuungu utukufu ka sibabu wia na shehele ya mwana nkoto yeza na mwai mvyee yu tiali.''
8
Nee kaluhusiwa kitani ntana na yekung'aayo kitani ntana ni ugosozi wa haki wa wauini ).
9
Malaika akagombeka nami, ''yagonde aya: wabalikiwe wekwetangwao kwa nyemi ya wia wa mwana ngoto viavia akanambia, izi ni mbui za kwei za muungu.''
10
Nkisujudu mbele ya miundi yakwe nikamvikia mia akanamba wesekugosoa ivi! mie ni mndima mwezio na ya ndunguzo muutoza ushuhuda wa ni loho ya unabii.''
11
Akabinda nikaona mbingu zikazuguka na kaua nee kuwa na falas mwekung'aa! na yuda mwekuae kamkwea etangwa mwaminifu na wakwei nkuahwa kwa haki kugosoa nkondo.
12
Meso yakwe ne ni inga mwal wa to na uanga ya mutwi wakwe ana taji nyingi ana zina dekugondwado uanga yakwe esadokudimanya muntu yoyose ikesekua yee mwenye.
13
Kaha dekugintwado mwe npome, na zina dakw ketangwa mbui ya muuungu.
14
Majeshi ya mbinguni nee yakamtongea uanga ya falasi wang'aao wahambwa kitani ntana zing'aazo na safi.
15
Kanwai mwakwe kaawa uhamba mkai ambao wadagamiza mataifa aye n'nda awatawale kwa ngonda ya cuma naye ayata vyombo vya mvinyo kwa maya makai ya muungu, atawala uanga ya vyose.
16
Naye kagondwa uanga ya nguo yakwe na mwe komo dakwe zina, MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA.
17
Nkimuona malaika kagooka mwe zua kawetanga kwa sauti nkuu wadege wose wapuukao uanga. ''sooni mwekonge hamwe kwa nkande nkuuu ya muungu.
18
Sooni mde nyama ya wfaume, nyama ya majemadali, nyama ya wantu waku, nyama ya falasi na wakwea falasi, na nyama a wantu wose we hulu na watumwa.''
19
Nkimuona mnyama na wafaume wa sii hamwe na majeshi yao na wepanga kwa ajii ya kugosoa nkondo ya yumwe mwe kukwea falasi na jeshi dakwe.
20
Mnyama kagwiwa n'nabii yakwe ya umbea mwekugosoa utangio mwe kuwaaaho kwakwe kwa utangio mwe kuwaaaho kwakwe, kwa utangio unu kawahufya wada wekuihokea chapa ya mnyama na wekusujidiao kimuu chakwe wose waidi wasigwa wake meso wmwe ziwada moto dakado kwa kibiiti.
21
Wada wekusigaao wakomwa kwa uhamba wekuawao mwe kanwa cha yumwe mwekukwea uanga ua falasi wadege wose wada vibudu vya mii yao.