Sura 12

1 Awa nee makuhani na Walawi wekwezao hamwe na Zerubabeli mwana Shealueli, hamwe na Yoshua Seraya, Yeremia, Ezra, 2 Amaria, Maluki, Hatushi, 3 Shekania, Harimu na Meremothi. 4 Ne kuwa na Iddo, Ginethoni, Abiya, 5 Miyamini, maazia Bilgai, 6 Shemaya, Yoyaribu, Yedaya, 7 Salu Amoki, Hilkiya na Yedaya. Awa neee ni wakuu wa makuhani na wzwaao mwe siku za Yoshua. 8 Walawi nee ni Yeoshua, Binui, Kadmieli, Sherabia, Yuda na Matania mwe kuwa akaongoza nyimbo za kushukuu hamwe na weziwe. 9 Bakbukia na uno, wezwaao wagooka nkandani yao wakati wa huduma. 10 Yoshua nee ni tati yakwe da Yoyakimu, Yoyakimu nee ni tati yakwe da Eliashibu, elioeshibu nee ni tati yakwe da Yoyada. 11 Yoyada kamvyaa Yonathani, Yonathani akamvyaa Yadua. 12 Mwe izo siku za Yoyakimu awa nee ni makuhani, wakuu wa jamaa; Meraya nee ni mkuu wa Seraya. Hanania nee ni mkuu wa Yeremia. 13 Meshulam nee ni mkuu wa Ezra, Yehohanani nee ni mkuu wa amari. 14 Yonathani nee ni mkuu wa Maluki na Yusufu nee ni mkuu wa shekania. 15 Kwa kuendeea, Adna nee ni mkuu wa Harimu, Helkai mkuu wa Meremothi, 16 Zekaria nee ni mkuu wa ido, Meshulami nee ni mkuu wa ginethoni na 17 Zikri nee ni mkuu Abia wa Miyaamini, Piltai nee ni mkuu wa maazia. 18 Shamua nee ni mkuu wa Bilgai, Yehonathani nee ni mkuu wa Shemaya, 19 Matenai nee ni mkuu wa Yoyaribu, uzi nee ni mkuu wa Yedaya. 20 Kalai nee ni mkuu wa Salu, eberi nee ni mkuu wa Amok, 21 Hashabia nee ni mkuu wa Hilkia, na Nethanel nee ni mkuu wa Yedaya. 22 Mwe izo siku za Eliashibu, Walawi Eliashibu, Yoyada, Yohana na Yadua waandika enga nee mitwi ya familia (Ukoo) na makuhani woadi kwa wakati wa utawala wa Dariyo wa Persia. 23 Wana wa Lawi na wakuu wao wa ukoo waandikwa mwe kitabu cha taehe mpaka siku za Yohana mwana Eliashibu. 24 Wakuu wa Walawi nee ni Hashabia, Sherebia, na Yoshua mwana wa Kadmieli, hamwe na wezwaao wekuao wagooka mbee yao kumwemua na kumshukuu, akajibu sehemu mbai mbai kwaa kutii amri ya Daudi mntu wa zumbe Muungu. 25 Matania, Bakbukia, Obadiya, Meshulamu, Talmoni na Akubu nee ni askai wa miango we kuwao wagooka kwe vyumba vya hea. 26 Watumika mwe siku za Yoyakimu, mwana Yoshua, mwana Yosadaki, na mwe siku za Nehemiya, gavana na Ezra kuhani na mwandishi. 27 Mwe kujitolea kwe kiwambaza cha Yerusalemi, Wantu wawaondeza Walawi hohose wekuaho wakaishi, wakawaeta Yerusalemu kusheherekea kweviiza kwa nyemi, hamwa na kushukuu na kuimba kwa ngoma, maimba na mazumai. 28 Uhamwe wa waimbi ukusanyika kwe wilaya izunguukayo Yerusalamu na kuawa kwe mizi ya wanetofathi. 29 Weza kuawa Beth-gilgali na kuawa kwe minda ya Geba na Azmawethi, maana waimbi nee wazenga mizi hehi na Yurusalemu. 30 Mkuhai na walawi wesuntha halafu wakasuntha wantu, miango na kiwambaza. 31 Ikabinda nkiwa na wakuu wa Yuda kuita uko uwanga kwe kiwambaza, nami kusagua mikuntano miidi mikuu ya ao wa kushukuu. Yumwe kaita upande wakuume uwanga mwe ki wambaza kuelekea hwe mwaango wa kifusi. 32 Hoshaya na nusu ya Wakuu wa Yuda wambasa, 33 na baadaye akaita Azaria, Ezra na Meshulamu, 34 Yuda, Benyamini, Shemaya, Yeremia, 35 na wana wa makuhani wekuwao na magunda, na Zekaria mwana Yonathani, mwana Shemaya, mwana Mataniya, mwana Mikaya, mwana Zkuri, mwana Asafu. 36 Naho jamaa wa Zekaria, Shemaya, azareli, Milalai, Gilalai,Maai, Nethaneli, Yuda, Hanani hamwe na vyombo vya mziki vya Daudi mntu wa Zumbe Muungu. Ezra mwandishi nee yu mbee yao. 37 Na kwa mwango wa chemichemi waita mwanga kwa mwenga na madaaja ya mzi wa Daudi uwanga kukweo kwe kiwambaza, uwanga ya nyumba ya Daudi, kwe mwaango wa mazi upande wa Mashariki. 38 Na waimbi watuhu ambao washukuu, wakaita upande mtuhu. Nkiwatongea uwanga kwe kiwambaza na nusu ya wantu, uwanga ya mnaa wa vinyago hadi viwambaza vikuu. 39 Na uwanga ya mwaongo wa efraimu, na mwaango wa kae, na kwa mwaango wa samaki na mnaa wa Hananeli na mnaa wa Hamea, kwe mwaango wa ngoto na wakagooka kwe mwaango wa asikai. 40 Kwaiyo mikutano miidi mikuu ya wada wakushukuruo wakapata nafasi yao kwe nyumba ya Zumbe Muungu, nami nikadoa nafasi yangu na nusu ya viongozi hamwe na mimi. 41 Na makuhani wakadoa nafasi zao, Eliakimu, Maaseya, Miyamini, Mikaya Elioenai, Zekaria, na Hanania wenye Magunda. 42 Maaseya na Shemaya, eleazari, Uzi, Yehohanani, Malkiya, Elamu, ezeri, waimbi waimba na Yezrahia enga wagookeaji. 43 Waavya sadaka nkuu siku ido, wakafurahi mana Zumbe Muungu nee kawafurahisha sana. Pia wavyee na wana wadodo wafurahi. Kwaivyo furaha ya Yerusalemu ikasikiwa toka hae. 44 Siku iyo wantu wasagulwa kwe nymba ya hea kwa ajii ya misango, matunda ya bosi, na zaka ili zikusanywe ndani yao kwe sehemu zendako zihitajike kwe sheria za makuhani na Walawi. Kia yumwe kasagulwa kugosoa ndima kwe minda hehi na mizi. Mana Yuda kafurahishwa ni makuhani na Walawi wekuao wagooka mbee yao. 45 Wagosoa utumishi wa Zumbe Muungu wao, na huduma ya utakaso kwa agizo da Daudi na mwanawe Sulemani, kwaiyo. 46 Aho bosi kwe siku za Daudi na Asafu, nee kuwa na Wagookeaji na Waimbi, naho nee kuna nyimbo za ntogezi na shukurani kwa Zumbe Muungu. 47 Mwe siku za Zurubabeli na mwe siku za Nehemia, Israeli yose iavya sehemu za kia siku za waimbi na asikai wa mwango. Wakaika nkandai sehemu ya Walawi, na Walawi wakaika sehemu ya wana Haruni.