Sula 1

1 Iki i kivoko cha injiiya yesu kwistu mwana ya muungu. 2 Kama yekuandikwayo mnabii isaya kaua namtuma mjumbe yangu mbele yako, nee ndiye agosoe sia yako. 3 Sauti ya muntu mwefanga nyikani igosoeni sia ya bwana, zinyoosheni sia zakwe.'' 4 Yohana keza, akabatiza nyikani na kubii kia ubatizo wa toba kwa msamaha wa zambi. 5 Sii yose ya yudea, na wantu wose wa yelusalemu waita kwakwe ne wakabatii zwa mwe mto yolodani wakaungama zambi zao. 6 Yohana neee akavaa vazi da mazoya ya ngamia na mkanda wa ababu mwe kigudi chakwwe na nee akada sige na hasai ya mzitui. 7 Ne akabiikia a kugombeka, kuna mweza badii yangu ana nguvu ana nguvu kuliko mimi, na hin hazi hata ya kwenamasi, na kutaha sigi za viatu vyakwe. 8 Mimi nkiwabatiiza kwa mazi akini andaawabatiize nywinywi kwa loho mtakatifu.'' 9 Ikatenda mwe iyo misi mwe iyo misi kwa zumbe yesu keza kuawa nazaeti ya galilaya, na akabatizwa ni yohana mwe mto wa yolodani. 10 Ukati zumbe yesu ekwemukahi kuawa mwe mazi, tikaona mbingu zikepanga chazae na loho akaseea ai kwa mfano wa ngiwa. 11 Na sauti kuawa mbinguni ikagombeka, weee nee mwanangu mkundwa, weutamwae naye.'' 12 Akabinda baada ya hada loho akamkuo ngumiza kuita nyikani. 13 Kekaa nyikani misi alubaini uku ageezwa ni shetan nee yuhamwe na wanyam wa mzituni na malaika ne wakamhudumia. 14 Bbaada ya yohana kugwiwa zumbe yesu akeza galilaya uku akiikiia injii ya muungu. 15 Akamba, mda ubua na ufaume wa muungu uhehe sosoani na kuamini mwe injii.'' 16 Ne akenda nkandankanda ya bahali ya galilaya akamwona simoni na andrea nduguye watambika nyavu zao mwe bahali, ne ni wavuvi. 17 Zumbe yesu akawamba joani, nitongeani na nndaniwatende wavuvi wa wantu.'' 18 Saa iyo wakabada zia nyavu wakantonngea. 19 Ukati zumbe yesu ekubuaho hae kidogo akamwona yakobo mwana wa zebedayo na yohana mdigye ne wa mwe mtumbwi uku wagosoa nyavu zao. 20 Hamka akawetanga, na wowo wakambada tati yao zebedayo mwe mtumbwi, a wandima we kukodishao wakamtongea. 21 Na wekubuaho kabehaumu mzi wa sabato zumbe yesu akengia mwe singapi na kuwahinya. 22 Wakadunduwaaa hinyoo dakwe kwa via ne akawahinya kama via mntu wenye mamaka na mkinyo kama wagondi. 23 Ukati uouo nee kuna muntu mwe sinagog dao ana npepo, atoa vuzo, 24 Uku agombeka, tina mbwai cha kugosoa na wewe, zumbe yesu wa nazareti kweza kutidagamiza? tamanye undai, wee ni mtaatifu ukedu wa muungu!'' 25 Zumbe yesu akamkea npepo na kugombeka, nyamaa na ulawa ndani yakwe!'' 26 Na loho mchana akangu sa, akalawa uku akema kwa saudi nkuu. 27 Wantu wose wakadunduwaa wakauzama wenye kwa wenye, ivi havyo ni mbwai hinyo dihya denye mamlaka? hata kuamuru npepo wachama nao wantii!'' 28 Na mbui izi uhusu yeye maamwenga zikatangaa kia hantu mwe mzi wa galilaya. 29 Hamka baada ya kulawa mwe sinagogi wakengia nyumbai mwa simon na andrea ukuwana yakobo na yohana. 30 Sasa mkwewe da simoni ya kivyee, nee kagona ana homa, wakamamba zumbe yesu izi mbui. 31 Ivyo akeza akamtoza mkono na kunawenua akahoma na akawahudumia kaa kawaida. 32 Dia guoni ukati zua dengia kae wakamwetea wada wose wekuao watamu au wenye npepo. 33 Mzi wose ekekonga hada he, uvi. 34 Akambonya wengi wekuao watanu wa ntanu mbaimbai na kulavya npepo uangi, bila ya kumruhusu kuutamuiia, maana wammanya. 35 Akenuka kiokio dia keo ukati kuke na kiza, akahauka akaomba he ukedu akaomba. 36 Simon na wose ekuaonao wakantongea. 37 Wakampata na wakamwamba, kia muntu akuondeza. 38 Akawamba, titeni hatuhu, hae kidogo mwe ida mizi yekuzungukayo, ui kubiikia mbui izi uko nako pia nee viekavyo ncheza aha. 39 Akaita kwembokea galilaya uku abiikia mwe masinagogi yao na kukemea npepo. 40 Mwenye ukoma yumwe aleza kwakwe akamhembeeza uku akika mavindi na kumwamba kana wakunda wadaha kunitenda ningae. 41 Kamwonea mbazi, zumbe yesu akanyoosha mkono na kumdonta akagombeka, mafaigwa uwe mtanda.'' 42 Hamka ukoma ukahona ukamuawa nae akangazwa. 43 Zumbe yesu akamuonya vikai, na kumwamba akanye kuhauka. 44 Akamwamba, hakikisha nkutamwia mbui izi kwa muntu yoyose akini hita kuonyese kwa kuhani na ulavyezabihu kwa ajiii ya ung'azi ambao msa kaagizia kwao kana ushuhuda.'' 45 Akini akaita na kuvoka kumwambikia yumwe na kueneza mbui zaidi hata yesu nkekudaha vituhu kwengia mwe mzi kwa uhuru kwa uhuru, ivyo akekaa hantu he ukedu na wantu wakeza kwakwe kuawa kia hantu.