Sula 13

1 Kwa ukati uo uo, kuwa na wantu wenkumwe wekumgonekao juu ya Wagalilaya ambao Pilato kawakoma na kuhanganya npome yao na sadaha zao. 2 Zumbe Yesu akamwandua na kumwamba, ''Je mwafikii kua Wagalilaya ao nee wana zambi kuliko Wagalilaya watuhu wose ndio mana wapatwa nmabaya ayo? 3 Chuu, namyambia, mia mkesekusosoa nanywi ninda mdagamie ivyo ivyo. 4 Au wada wantu kumi na mnape mwe Siloamu ambao mnaa ugwa na kuwakoma, mwaafyawo ne ni wenye zambi kwembosa watu watuhu mwe Yelusalemu? 5 Chuui, mie namba mia ati mkesekusosoa nywie vyose ninda mdagamie. 6 Zumbe Yesu kawambia mfano unu, ''Muntu yumwe ana mtini uhandwa mwe mnda wakwe na akenda kuonda ,matunda wanga yakwe mia nkee kupata. 7 Akamwamba yuda mwiima bustani, 'Kwa kwa myaka mitatu ncheza na kuondeza matunda mwe mtini unu mia ncheekupata. Uusenge kwani wete ubanasi wa alizi? 8 Mwiimi ya bustani akamwandua na kugombeka, 'Ubade mwaka unu niuhaie na kugea mbolea uanga yakwe. 9 Ati ukavyaa matunda mwaka wezao, ni vyedi, mia ati nkauna uvyae, uusenge!'''' 10 Sasa Zumbe Yesu nee akawahinya mwe dumwe da Masunagogi ukati wa Sabato. 11 Kawa hawa na mvyee yumwe mwekuawe kwa myaka kumi na mnane kawa na npepo mchana ya utamu, ye kawa kahohotolwa na nkadaha kabisa kugooka. 12 Zumbe Yesu ekumuonaho, akamwetanga, akamwamba, ''Mmaa, kuikwa hulu kuawa mwe utamu wako.'' 13 Akaika mikono yakwe uanga yakwe, na hamka mwii wakwe akegooa na akamtunya Muungu. 14 Mia mkuu ya sinagogi akakimwa kwa aju Zumbe Yesu kamhonya msi wa Sabato, ivyo mtawala akaandua akamwamba zumbe Yesu kamhonya msi wa Sabato. Ivyo mtawala akandua akawamba zumwe zumwe, ''Kunamisi sita ambayo ni lazima kugosoa ndima. Sni mhonywe basi, nkio mwe misi wa Sabato. ' 15 Bwana akamwandua na akagombeka, ''Wafyaimi! Nkakuna hata yumwe yenu mumchopoa npunda yakwe au ng'ombe kuawa mwe dewa na kumwengaa kunywa msi wa Sabato? 16 Ivyo pia mwana kivyee ya Ablahamu, ambaye npepo kamtaha kwa myaka kumi na mnane, je nkaondigwa kifungo chakwe chesekutoholwa msi wa Sabato?'' 17 Ekuaho akagombeka mbuie izo, wada wose wekuhiganao wagwiwa ni soni, bali zumwe zumwe dose da watuhu wesekeea kwa ajii ya mbui ya kihii ekugosoacho. 18 Zumbe Yesu akagombeka, ''Ufaume wa Muungu uiganywa na mbwai? Na nadaha kuwiganya na mbwai? 19 Ni inga mbeyu ya haladali yekuavigwayo ni muntu yumwe akaihanda mwe mnda wakwe, na ikahota ikawa mti mkuu, na wadege wa mbinguni wakazenga masasa yao mwe matambi yakwe. 20 Vituhu akagombeaka, ''Niuiganye na mbwai ufaume wa Muungu? 21 Ni inga chachu ambayo mvyee kaidoa na kuihanganya mwe vihimo vitatu vya unga mpaka ukaumuka.'' 22 Zumbe Yesu kemboka kia mwe mzi na kijiji siai akaelekea Yelusalemu na kuwahinya. 23 Muntu yumwe akauza, Bwana ni wantu wacheche ndio waooholwe?'' Ivyo akambamwa, 24 ''Mwekankamue kwengia kwa kwemboke uvi msisii kwa sibabu wangi nndawageeze na nkawanawadahe kwengia. 25 Hamka baada ya mmiiki ya nyumba kugooka na kuvugaa uvi, basi ninda mgooke chongoi na kutunda uvi na kugombeka, Bwana, Bwana, yee ndaaawaangue awambe nkimimanya nywie uko muawako.' 26 Nee ndiho mgombeke tida na kunywa mbele yako nawe kutihinya mwe mitaa yetu.'' 27 Mia yee ndaawandue, namyambia, nkimimanya muawako, mhauke aha hangu, nywie mgosoao yesayokutama.!' 28 Kwendakuwe na nkoo na kukuunguta meno ukati ndiho muwaone Ablahamu, Isaka, Yakobo, na manabii wose mwe ufaume wa Muungu, mia nywinywi wenye mwasigwa chongoi. 29 N'ndawabue kuawa Mashaliki, Mangalibu, Kaskazini na kusini, na kuhumwuiza he meza ya nkande ya guoni mwe ufaume wa Muungu. 30 Namanya idi, ya kiheo ni ya bosi na ya bosi n'ndaawe ya kiheo.'' 31 Mda mjihi baadaye, Mafalisayo wekumwe weza na kumwambaa, ''Hita na uhauke aha mana Helode aonda akukome.'' 32 Zumbe Yesu akaombeka, 'Hitani mkamwambe yuda mbweha, kauwa, nawaguusa npepo na kugosoa uhonyi ivyeo na kioi, na msi wa ntatu n'ndantimize nifaigwavyo. 33 Mwe hali yoyose ni mhimu kwa ajii yangu kuasongwa ivyeo, kioi na msi utongeao, kwa via nkaodahika kumkoma nabii hae na Yelusalemu. 34 Yelusalemu, Yelusalemu, n'ndai muwakoma manabii na kuwatoa maiwe wada wekuaajii wao kwenu. Maa nyingahi nchonda kuwakonga wana wana wenu inga via nkuku akongavyo vifalanga vyakwe sii ya mawawa yakwe, mia nkamokudikunda idi. 35 Kaua, nyumba yako iteekezwa. Nami namyambia nkamdaha kunigea mwe hata ndiho mgombeke 'Kabalikiwa uyo mweza kwa zina da Bwana.''