Afamaraa 5

1 Gicadi hikee yawana losona guwayahuudi Yeesu ye hedakay Yerusaleemuge. 2 Yerusalemu ya wanta birikaa da afamaraa gu uge wara, dagati eledidina hari Ebranaanisoo Bethisayda, ya konta balasasu koani. 3 Fadoo da didiri ga da wana ya hida gwa ilahhame gw asletu komee hatingara yawanay higagagatiri balasa suu hhakesi.{ Komili gimbo gu guariri ba kitababa da gari ge"Bagagamidi maayi madigithrotloresi."} Gulou ilatha malaika higoliete waay guloinige ha tlotroresa maay. 4 Da kweeesi, hike gwa gijadu higuuma waay gu maayge digoili tloyto horesie dugwahhoesi ido lee ndee dugwadi saatesi. 5 Hedi wakuyayammavi korahaa miberii tami ha gwereti ya waaay gu bahasage wana. 6 Yeesu giyailiarimi higati waaygu balaaasage, kakhatlay giyailicalihi ya gati yagay gitisegu Yeesu gikay tuba," Slaada ma hhoadiyidi?" 7 Gavidi kira yagilakisi laimo komaba hedi giu etisa birikaage gatlay maay digoili tlotloresiwe,. Hagokoise liveta hedi waku gokwahe hinibali." 8 Yesu sugugikay,"Tlay, oyii fala dogu la wauta." 9 Cirikiray hedi kira ghii ayi. Higigioyi kitandaa gosi higiwaudi. ya letu da sabato. 10 Tegesagay yakuudi gikaayiri sa hedi kira da hhoesi," letuti di letu da sabaato kitlaku geregeda fala dogu." 11 Higiilaki, ina gnani khoesu sinakayi," Ayii falaa dogu waudi." 12 Gugimasiri,"Na namiyaa sugwakaw,moyii fala dogu la wauta?" 13 Hike , da hhosi giyacahhiba, sa gimba Yeesu ya waudi hari hhabo. Sa gimba ya wanay hida a baratesii. 14 Quarigangari Yeesu gugishay hedi viira maragu ilutleemu gee, sugugikayi," Haanti ha hhyoidi, Hhati yondita tlawakwaroo karaba ati slayida gimba gu tlaku hari khisla." 15 Heedi kira giwaudi gikaawakay sa giyadimies da Wayahudi, Tuba Yeesu ninihhoesi. 16 Tegesay sagambokee yahuudi gi labaasi ri Yeesu, sa gimba ya yondindi yandukee baloo da sabato. 17 Yeesu sigikay," Tataa gway yandimamidi inko see, anase sagani yandimamida." 18 Sa gimbake Wayahudi yailaginjiri dabiuu saa gaasara, sa gimba gu tlawekwesa da sabato suti, saa eteda da iliitleemu tata gosi higailakhukhusi, ian ubee na lee haa illteemu. 19 Yesu sigigui ilaki," Isi, misi, imbi nawe hidahhyasiba yondu ido lee nsee, hitiyondindi hikagiaririne tata gosi goyondi mamidi,mido tataa viyondimamidiye hate naweesee goyondindi. 20 Sa gimba tataa gishai nao, sugolagagana yondu giyo yondidiye, sugumalagana gimba gu bavay hii see, unkuray mabakaa diri." 21 Kwa tesagaysee tata agiyoilisha fimisiye hida gwakaka, ha hadisaro humpa yeyote ampendaye. 22 Kwa kuwa Baba ha,hukumu yeyote, bali amempa mwana hukumu yote 23 ili kwmaba wote wamuheshimu Mwana kama vile mwana anavyoheshimu Baba. Yeye asiyemuheshimu Mwana hamuheshimu Baba aliyemtuma. 24 Amini, amini, yeye asikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenituma anao uzima wa milele na hatahukumiwa. Badala yake, amepita kutoka mautini na kuingia uzimani. 25 Amini, amini, nawaambia wakati unakuja na sasa upo ambao wafu watasikia sauti ya mwana wa Mungu, na wote watakaosikia wataishi. 26 Kw akuwa kama vile Baba alivyo na uzima ndani yake mwenyewe, 27 kadhalika amempa mwana kuwa uzma ndani yake, na Baba amempa mwana mamlaka ili kwmaba ahukumu kw akuwa ni mwana wa Adamu. 28 Mshishangazwe na hili, kwa kuwa wakati unakuja ambao wafu waliomo makburini wataisikia sauti yake 29 nao watatoka nje: kwa walioytenda mema kwa ufufuo w auzima, na waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu. 30 Siwezi kufanya kitu chochote kwangu mwenyewe. Kama nisikiavyo, ndivyo ninavyohukumu na hukumu yangu ni ya haki kw akuwa sitafuti mapenzi angu, bali mapenzi yake aliyenituma. 31 Kama nikijishuhudia mweneyewe, ushuhuda wangu ungelikuwa wa kweli. 32 Kuna mwingine anayeshuhudia kuhusu mimi na ninajua kw ahakika ushuhuda ni wa kweli. 33 Mmetuma kwa Yohana naye ameishuhudia kweli. 34 Hata ivyo, uhuhuda ninaupokea hautoki kwa mwanadamu. Ninayasema haya ili mweze kuokolewe. 35 Yohana alikuwa ni taa iliyokuwa ikiwaka na kung'ara, na mlikuwa tayari kuifurahia kw amuda kitambo nuru jake. 36 Ushuhuda nilionao ni mkuu kuliko ule wa Yohana, kwa kazi ambao Baba amenipa kuzikamilisha, hizo kazi nizifanyazo zashuhudia kuwa Baba amenituma. 37 Baba aleyenituma yeye mwenyewe ameshuhudia kuhusu mimi. Hamjawahi kusikia sauti yake wala kuina umbo la wakati wowote . 38 Hamna neno lake likikaa ndani yenu kw akuwa humwamini yeye aliyetumwa. 39 manyachunguza maandiko mkidhani ndani yake mna uzima wa milele, na hayo maandiko yanashuhudia habari zangu 40 na hamtaki kuja kwangu ili mpate uzima wa milele. 41 Sipokei sifa kutoka kwa watu, 42 lakini ninajua kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu ninyi wenyewe. 43 Nimekuja kwa jina la Baba yangu, hamukuweza kunipokea. Kama mwingine akija kwa jina lake mngempokea. 44 Je mnawezaje kuamini ninyi ambao mnapokea sifa kutoka kwa kila mmoja wenu lakini hamfuti sifa itokayo kwa Mungu wa pekee? 45 Msidhani mimi niatawashitaki mbele za Baba. Anayuewashitaki ninyi ni Musa, ambaye ninyi mmeweka matumaini yenu kwake. 46 Kam mngekuwa mnamwamini Musa, mneniamini mimi kw asabbau aliandika kuhusu habari zangu. 47 Kama hamuamini maandiko yake, mtawezaje kuamini maneno yangu?