Suma 13
1
Athokwa ukwa Yesu thipemi garima mini gwahi geri bathoni.
2
Umathi gano kusanyikano zungukamumi othi ndani mtumbwi au (dau) gwahi ndani isuu. Umathi akale athe sadei geri bathoni.
3
Yesu onzina jome kaime mifano, onzi, Keki, bua rathana bua.
4
Bua baadhuu
5
Mbeju wathe mwambathe luthukumi ambalio baka patatsi dokee toshani. Gafla chipukano sababu dokee bakeni kina.
6
Saka chomozakuni chomwani sababu bakeni miranga, kaukaziniwa.
7
Mbeju wathe luthuku kati koro amamethe. Koro fumathe gaponi songano.
8
Mbeju wathe luthuku too wine luini mbeju, wathe mara mia wathukwe zaidi wathe olo sitini olo wathe thelathini.
9
Athe gatsi ethithtiwa.
10
Wanafunzi ratsiwa onzi yesu, "onzinawa mkutano mifano?"
11
Yesu jibuthe onzina. Kamiwa pendeleano fahamuno siri ufalme wakatha, bali isuu bakeni kamiwa.
12
Akale kamiwa isuu uthu ongezakuni zaidi, patatsi faida gano, Bakani kito athai kamiwa nyanyanyiziniwa.
13
Onzi usuu mifano sababu waawa bakani waawa ireni, ethithiwa baka ethithigwa fahamutho.
14
Unabiini isaya timizakutho isuu onzi, ethithiwa baka ethithigwa, mamna akale baka elethe, wakathi waana baka waawa, mamna akale baka elethe.
15
Ruhu guo kae othi guthe, baama ethithiwa, fumbano ila isuu, baka waana ila isuu, au ethithiwa gatsi isuu. Au fahamutho Ruhu isuu. Ukwa birike thena, chinino.
16
Bali ila isuu barikiwakuni, waawa, agatsi kunuu ethithiwa.
17
Hakika onzi manabii kaime guo aroni haki hamu waawa mapo waana bakeni waawa. Thamanitho ethithiwa mapo ethithiwa bakeni ethithigwa.
18
Sasa ethithiwa mfano mpanzino.
19
Wakathi akale ethithiwa jome ufalme baka fahamuthe, ndio mbithe ratsi nyakuatho bue ndini Ruhutha isuu. Mbeju bue geri leeni.
20
Uthu bue kali ami ethithiwa jome pokeano haraka furaha.
21
Bado mirunga ndani isuu, vumiliano kipindi amina. Wakathi matatizo olo mateso thipemi sababu jome baka paikakuna ghafla.
22
Athe bue kati kore ami ukwa ethithiwa joma masumbuko ulimwengutha olo dukuduku tajirari baka songano jome bakani luini agema.
23
Athe bue too wine, ukwa ethithiwa jome olo fahamutho ukwa luini agema endeleatho luini wathukwe zaidi mara mia wathe sitini, wathe thelathini.
24
Yesu kamiwa mfano wathe. Onzi, Ufalme wakatha fananakuni guo bue mbeju wine mta isuu.
25
Guo adui isuu ratsi pia bue thami kati ngano kisha rathana isuu.
26
Baada isuu ngano thipemi luini agema isuu, thami thipemi pia.
27
Watumishi nyaii mta ratsi onzi. Bwana baka bue mbeju wine mta isuu? Ratsiwa thami?
28
Athe onzi. Adui falano ukwa. Watumishitho athe onzi. Ruune pooneji.
29
Ako muta Onzi, Hapana wakathi ngoathe thami ngoa wathukwe ngano.
30
Wachee ngano olo thami wathukwe wakathi mavuno. Wakathi mavuno onzina vunamumako, mwathoni ngoatho thami lupi matita matita egani, kusanyano ngano ghala isuu.
31
Yesu thipemi mfano wathe. Onzi, ufalme wakatha fananako mbeju haradalini guo bue kati muta isuu.
32
Mbeju ukwa hakika amina likoni mbeju wathe akale. Meano gano kuliko mmea akale bustani. Kore kiasi hithiwa gaponi ratsi jenga vioto stanzu isuu.
33
Onzi mfano wathe ufalme wakatha kaka chachu othi nathe changanyamumako vipimo kaba ungano mpakano umukano.
34
Akale yesu onzi umathi mifano bakani mfano bakani onzi akale isuu.
35
Kila onzi thabara nabii timiano, onzinawa, pashikutsi afo nyii mifano, onzi mapo sikutsi misingi ulimwingutha.
36
Yesu adano makutano rathana mini. Wanafunzi isuu rathana onzina, fafanuano mfano thami muta.
37
Yesu jibutho onziwa, bue mbeju wine gwitso Adamu.
38
Muta ulimwengutha. Mbeju wine, ukwa gwitso ufalmeni. Thabi gwitso mbithe. Adui athe pandano wathimo.
39
Mavunoni mwisho ulimwengutha. Vunamumako malaika.
40
Kaka thami kusanyano lupi egani naina ukwa mwisho ulimwengutha.
41
Gwitso Adamu thumano malaika isuu, kusanyano thipemi ufalme usuu mapo akale athe sababishano dhambi olo matendo mbithe.
42
Athe athehe akale tanunu ega, aini ekei sagani kalathi.
43
Ndio guo aro haki athe ngaa kaka saka ufalme Baba usuu. Uthu athe gatsi ethithiwa.
44
Ufame wakatha kaka hazina sirikutsi mfano. Guo waawa sirikutsi. Furaha isuu rathana uzano akale vitu isuu, nunuano muta.
45
Ufalme wakatha kaka biashara faliwa lulu thamanini.
46
Wakathi waawa rathana uzano kila kitwani ekiwa nunuano.
47
Ufalme wakatha kaka nyavu ndani bathoni, kusanyano viumbe aini aini.
48
Jaano wavuvitho wathe ufuothei geri bathoni. Gwahi giritha kusanyamumako vitwani wine ndani vitwani bakani thamani lupiku honi.
49
Naina uko mwisho giritha. Malaika ratsi tangamumiwa guo mbithe thipemi miongo kunuu aro hakini.
50
Lupiku ndani tanuru egani, ombolenzo sikuna olo sagano kalathi
51
Fahamutho mapo akale ukwa? Wanafunzi jibuthe, Ndio.
52
Yesu onzi, kila mwandishino kuwano mwanafunzi ufalme fananamumako aro mini thipema hazina isuu vitwani vipya olo zamanini bwana.
53
Yesu malizano mifano akale ukwa ukethi sehemu ukwa.
54
Yesu ratsiwa gosa isuu futano guo sinagogini mathokeo isuu shangaazimumi onzina, wapi guo ukwa patatsi hekima ukwa olo miujiza ukwa? Tugu isuu bakani yakobo, yusufu, simioni oloyuda?
55
Tugu isuu bakani yakobo, yusufu, simioni olo yuda?
56
Natha isuu ukwa atha? Basi guo ukwa patatsi ukwa akale.
57
Thukiamumako Yesu onzi, Nabii bakani heshima isuu guthe isuu.
58
Bakani faleno miujiza kaime sababu bakani imani isuu.