Uvwandulilo 13
1
Ikighono ikio vakiimba ikitabu kya Mose mumbughututo gha vanhu. Jikavonela jilembilue munkate kuuti nakweiva uMwamoni nambe uMoabu juno anoghile kuva palikimo nu lukong'hano lwa Nguluve anoghile kuva palikimo nu lukong'hano lwa Nguluve, jaatu.
2
Ulu lwale ulwakuva navalisie kuvaana va Isilaheli nu nkate na malenga, neke aveeni vakansuma u Baalamu aghune avana va Isilaheli. Poope Unguluve ghwitu asyetuisie ulughuno luuve tufunyo.
3
Vakati vapulike indaghilo vakavabaghuula avana va Isilaheli ni fikolo ifinge.
4
Baho u Eliashibu untekesi akavikilue mufijumba fya nyumba ja Nguluve ghwitu. Akava manyani ghwa Tobia.
5
U Eliashibu akanosekesia ikiumba ikivaha kino ulwa akwanda mukavikuagha ilitekelo ni kinu kimo mufinu kijigho ifya filyavikilue vwimila Avalevi, vano vakimbagha, avaloleeli va malyango nifyakusangula kuvatekesi.
6
Neke une, unsiki ghwoni ughu nakwenaala ku Yelusalemu umwaka ughwa fijigho fitatu na fivili muvu ntua u Altashasta ughwa ku Babeli, nikaluta kwa ntua, pa mbele nikansuma u ntua kuuti nivuu
7
ke nigomoke ku Yelusalemu, penikakagula gheni ghano u Eliashibu avombile pikumpeela uTobia ikiumba kyakuviika mukiumba kya vuhighi, munyumba ja Nguluve.
8
Nikava ni lyojo kyongo, pe nikajughuja ifitabu fya Tobia kunji.
9
Nikavalaghila kuuti vavalasie uvuvo vwa kuviika, neke une nikagomosia munkate muveene a makala gha nyumba ja Nguluve, ilitekelo lya finu fya maghunda nu vuvumba.
10
Nikakagula kuuti ifinu fino vatavwile kukuvapeela Avalevi na vakatavwile pe pano vavukile munyumba imbaha ija kufinyila vakimbile kuluta kumaghunda ghave ndavule na vavao vakimbagha vakavuuka.
11
Pepano nikajova na vimiliili nikavavuula nikati, 'Lwa kiki mujilekile inyumba ja Nguluve? "Nikavaviika pa mbombo saave.
12
Pepano Avayuda vooni vakaleeta ikinu kimo mu finu kijigho ifia, maghunda, uluhuje ulupia na mafuta muvuvo vwa kuviika.
13
Pe nikaviika avimiili kufinu fino fivikilue, nikam'bika uShelemia untekesi, u Sadoki umulembi nava Levi, u Pedaya. U Hanani, umwana ghwa Zakuri, umwana ghwa Matania, alikuwa na wafuasi wao, kwa sababu walihesabiwa kuwa waaminifu. Kazi yao ilikuwa kusambaza vifaa kwa washirika wao.
14
Nikumbuke, Ee Mungu wangu, juu ya hili, wala usiondoe matendo mema niliyoyatenda kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu na huduma zake.
15
Siku hizo nikaona watu wa Yuda waliokanyaga mvinyo siku ya Sabato, na kuleta makundi ya nafaka, na kuwapakia punda, na divai, na zabibu, na tini, na kila aina ya mizigo nzito, waliyoleta Yerusalemu siku ya Sabato. Nikashuhudia kuwa walikuwa wakiuza chakula siku hiyo.
16
Watu kutoka Tiro waliokaa Yerusalemu walileta samaki na kila aina ya bidhaa, na
17
wakawauza siku ya Sabato kwa watu wa Yuda na katika mji! Kisha nikawaambia viongozi wa Yuda, "Je! Ni ubaya gani huu mnafanya,
18
kuinajisi siku ya Sabato? Je! Baba zenu hawakufanya hivyo? Je, Mungu wetu hakuleta mabaya haya juu yetu na juu ya mji huu? Sasa unaleta ghadhabu zaidi juu ya Israeli kwa kudharau Sabato."
19
Mara ilipokuwa giza kwenye milango ya Yerusalemu kabla ya Sabato, niliamuru milango ifungwe na kwamba haifai kufunguliwa hadi baada ya Sabato. Niliwaweka baadhi ya watumishi wangu kwenye malango ili mzigo wowote usiweze kuletwa siku ya Sabato.
20
Wafanyabiashara na wauzaji wa kila aina ya bidhaa walikimbia nje ya Yerusalemu mara moja au mbili.
21
Lakini niliwaonya, "Mbona mnakaa nje ya ukuta? Ikiwa mtafanya hivyo tena, nitakuweka mikononi!" Kutoka wakati huo hawakuja siku ya sabato.
22
Nikawaamuru Walawi kujitakasa, na kuja kulinda milango, ili kutakasa siku ya Sabato. Nikumbuke kwa hili pia, Mungu wangu, na kunipatia huruma kwa sababu ya uaminifu wa agano ulilonalo kwangu.
23
Katika siku hizo niliona Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake wa Ashdodi, Amoni na Moabu.
24
Nusu ya watoto wao walizungumza lugha ya Ashdodi, lakini hawakuweza kuzungumza lugha ya Yuda, lakini lugha ya mmoja wa watu wengine.
25
Nami nikawasiliana nao, na mimi niliwaadhibu, na nikawapiga baadhi yao na kuvuta nywele zao. Naliwaapisha kwa Mungu, nikisema, Msiwape wana wao binti zenu, wala msiwachukue binti zao kwa ajili ya wana wenu, wala ninyi wenyewe.
26
Je, Sulemani mfalme wa Israeli hakufanya dhambi kwa sababu ya wanawake hawa? Miongoni mwa mataifa mengi hapakuwa na mfalme kama yeye, na alipendwa na Mungu wake. Mungu akamfanya awe mfalme juu ya Israeli wote. Hata hivyo, wake zake wa kigeni walimfanya atende dhambi.
27
Je, tunapaswa kukusikiliza na kufanya uovu huu hata kumhalifu Mungu wetu na kuwaoa wanawake wageni?
28
Mmoja wa wana wa Yoyada, mwana wa Eliashibu, kuhani mkuu, alikuwa mkwewe na Sanbalati Mhoroni. Kwa hiyo nilimondoa kutoka mbele yangu.
29
Wakukumbushe, Mungu wangu, kwa sababu wameunajisi ukuhani, na agano la ukuhani na Walawi.
30
Kwa hiyo nimewatakasa kutoka kila kitu kigeni, na kuimarisha kazi za makuhani na Walawi, kila mmoja kwa kazi yake mwenyewe.
31
Nilitoa sadaka za kuni wakati uliowekwa na matunda ya kwanza. Nikumbuke, Mungu wangu, kwa mema.