Sura 40

1 Yahweh atiyendelea longela na Ayubu na baya, 2 "Buli mundu yoyoti yuwataka kukosoa na ajaribu kumkelebuya mwene enzi? Na yuwembe anaye lokiyana na Nnungu, na ayangwe yuwembe" 3 Nnga Ayubu atiyangwa yahweh na baya, 4 Linga, nenga si mundu muhimu; uvecha buli kuniyangwa? Ni ubeka luboko wangu kunani ya mkono wangu kunani ya mkono wangu. 5 Nilongela mara jimo, na nikayangwalihi; hakika, mara yanahibele, lakini niyendelea lihi munoho" 6 Kabe yahweh atiyangwa Ayubu boka katika dhoruba kali ja baya, 7 "Ujitabe nambe mkanda mukibuno mwako kati mnalome, kwa kuwa nipala kukulokiya maswali, nawe lazima huniyangwe. 8 Buli uwecha baya kwa hakika kwamba nenga nibileli na haki? buli upalakunihukumu nenga ubaye wenga ni mwene haki? 9 Buli ubile na luboko kati wa Nnungu? buli uweza piya kishindo kwa lilobe kati yuwembe? 10 Ujiwekelye nambeyambe katika utukufu na katika utu, uwale mwene heshima na enzi. 11 Sambazaha ziadaha ya hasira yako; linga kila umo mwene kiburi na humuhuruye paye. 12 Umlole kila yumoho mwene kiburi na umbeke payehe: uwatimbe paye bandu walahuu sehemu pabayema. 13 Ubachike aridhini pamope; uzitabehe nyuso katika sehemu zilizo sitirika. 14 Ngaa kaye nipalayeketya yakwamba luboko lyako wa mmalyo uweza kukuokoa. 15 Umlinge nambeyambe kiboko, ambaye niwapangite kati kahikupangite wenga; nilyanyasi kati ng'ombe. 16 Lora nambeyambe ngupu yake yoti katika vibuno vyake, ngupu yake zibile katika mishipa ndumbo lyake. 17 Yuwembe andaboya mkela wake kati mkongo wa mwerezi; mishipa ya libando lake itiunganishiwa pamope. 18 Mihupa yake ni kati ya mirija yashaba; na migulu yake ni kati hipande ya chuma. 19 Yuwembe ni mkoloho wa viumbe vya Nnungu, ni Nnungu pekee, ambaye alimwumba, awecha kumshinda. 20 Kwakuwa kitombe humpatya; hayawani wa mng'unda hucheza papipi. 21 Hungoja payehe ya mimea ya uwili katika makao ya mianzi, na katika libende la matope. 22 Mikongo yene kiwili humuwekelya katika uwila wake, mierebi ya kijito hitila pande yoti. 23 Linga, kati libende utazigharikisha kingo zake, hahinohinalihi, yuwembe andajiamini, hata kati libende la Yordani utweleya hadi katika mbulo yake. 24 Buli mundu yoyoti awecha kumnasa kwa ndoano, au kuitiniya mbulo yake kwa mtego?