Sura 17

1 Roho yangu watimilaha, na machobe yangu iyomwike, kaburi libile tayari kwaajili yangu nenga. 2 Hakika kuna bena mzhalango pamope nane, mi lazimaha saima liyo lyangu lilinge kasirisha kubo. 3 Unipehi nambeyambe ahadi, ube uthibitisho kwangu pamope na wenga mwebebe, nyahi ywenge yuwabile palo ambaye anisaidia nengaa shalihi wabe kunani yangu nane. 4 Kwa kuwa wenga Nnungu ameitunza mioyo yabe boka katika ufahamu; kwa hiyo, wenga uwaheshimishalihi wabe kunani yangu nane. 5 Yuwembe ambaye huwapinga mbwiga lyake hadharani kaajili ya tuzo, minyo ya bana bake yateshindwo bona. 6 Lakini anipangite nenga panga neno la kukulongela na bandu bembe banihuniya mataha katika minya yangu nenga. 7 Liyo lyangu lilolalihi safi kwasababu ya honi, sehemu zangu zoti yaa hiyega ni njene njene kati kiwili. 8 Bandu wanyoofu wabalapendelwa na hake; mundu yuwabilelihi na makosaha apala kuijeya mwene kunani ya shindana dhidi ya bandu hawamtangilihi Nnungu. 9 Mundu mwene hukweli hapaendelea katika ndela yake; yuwembe habilena maboko ya bile safi ayendelea panga mwene ngupuhu muno muno. 10 Lakini kati yahibile kwinu mwenga mwaboti, muhiche nambeyambe, nenga mbalakumpata mundu mwenye heshimaha miongoni mwinu mwenga. 11 Machobe yangu yapite, mipango yangu hikotwike na nyohoo ni matumaini ya moyo wangu. 12 Bandu haba, bene kejeli, badili kiloho panga mumtwekati; mumtwekati ubile papipi panga kiloho. 13 Tangu nenga nilolehe katika kuzini kati nyumba yangu; tangu nenga nitandaya kiti changu katika kiloho. 14 Tangu nenga nibahite na lihembwa wenga ni tate bangu, na kwa funza, wenga ni maho wangu dada yangu. 15 Likwako kaye tumaini lyangu? kati kwa tumaini langu; nyahi wakati lola chochoti? 16 Tumaini lipalayenda pamope na nenga katika minyango ya kuzimu wakati twenga tuyenda katika mavumbi?